Ushawahi kujichanganya kimapenzi mpaka ukawa unawaza hapo nyuma ulikosea wapi?

Penzi lake na Mary... first love ina nguvu sana..Na ndio hiyoo imemfanya aishi hayo maishaa...
kabisa mkuu mm kuna mmoja japo nilikuwa nimepitapita kwingine ila it was the first real love, ana maisha yake na mm yangu ila kila tukipata muda wa kuongea huwa tunaulizana "hv kwa nn hatukuoanaga" juz kat uzalendo umemshinda kaniambia lazima atatafuta siku tukumbushie japo anampenda sana mumewe, ila kitu napenda anamjali na kumuheshimu sana mumewe, mwamba anang'aa tu, kuna siku nikamtani muache mumeo uje kwangu, akajbu natamani hvo ila nikimuacha huyu hatomaliza mwaka atakufa.
 
don't do that man, hakuna kitu kibaya kama kuamsha hisia za zamani, mtakuja kugombana tena and this time itakua worse, hebu endeleeni kuheshimiana tu sana sana saidianeni mambo ya maisha tu mkuu
 
nitazingatia ushaur wako mkuu, story ya maisha yako inalingana na yangu kwa 90%, nilipoteza almas, nikakutana na vivuruge wakanivuruga nikavurugika, huwa sitaki hata kukumbuka, nachomshukuru Mungu bado nipo hai.
 
Story nzuri sana mkuu,
Usingizi ulikata nikaona hii thread, loh kumbe ina love story tam hivi. Wakati wenzetu mmepasua bikra 3+ sisi hiyo moja tu ilikuwa mtihani.

Huu uandishi unahitaji appreciation, yaani jasho la kalamu na muda wako, walau huku tano tano tu...story inafundisha sana hii.
 
Aisee kusema na ukweli hiyo familia kuanzia mama na watoto wake wote hawana maadili yaani hapo haiusiani na kwamba wao ni familia ya uswahilini… familia haina nidhamu hata kidogo

Hivi mama unawezaje kwenda kwa mkwe wako hovyohovyo hivyo… tena binti yako alishaachwa et unapeleka binti yako ambae ni mdogo kabisaa akashinde nyumbani kwa shemejii yake.. inahitaji akili finyu kabisaa mpk mtu afikie hatua hiyo

Hiyo familia haina adamu na 90% mama amechangia kuharibu mabinti zake.. mtoto kulikuwa kuna uwezekano wa Patric kumuona akiwa hukohuko kwa mama mkwe wake.. yaani binti mdogo sana huyo Grace anafanyiwa ukatili na shemejii mtu.. familia ya kishenzi sana hiyo[emoji41]
 
kabisa mkuu mm kuna mmoja japo nilikuwa nimepitapita kwingine ila it was the first real love, ana maisha yake na mm yangu ila kila tukipata muda wa kuongea huwa tunaulizana "hv kwa nn hatukuoanaga" juz kat uzalendo umemshinda kaniambia lazima atatafuta siku tukumbushie japo anampenda sana mumewe, ila kitu napenda anamjali na kumuheshimu sana mumewe, mwamba anang'aa tu, kuna siku nikamtani muache mumeo uje kwangu, akajbu natamani hvo ila nikimuacha huyu hatomaliza mwaka atakufa.
Umeona sasa...hata mie mkuu ninayo hiyoo..Nashukuru Mungu nimeweza kuovercome... first love sio mchezooo..
 
Aisee kusema na ukweli hiyo familia kuanzia mama na watoto wake wote hawana maadili yaani hapo haiusiani na kwamba wao ni familia ya uswahilini… familia haina nidhamu hata kidogo

Hivi mama unawezaje kwenda kwa mkwe wako hovyohovyo hivyo… tena binti yako alishaachwa et unapeleka binti yako ambae ni mdogo kabisaa akashinde nyumbani kwa shemejii yake.. inahitaji akili finyu kabisaa mpk mtu afikie hatua hiyo

Hiyo familia haina adamu na 90% mama amechangia kuharibu mabinti zake.. mtoto kulikuwa kuna uwezekano wa Patric kumuona akiwa hukohuko kwa mama mkwe wake.. yaani binti mdogo sana huyo Grace anafanyiwa ukatili na shemejii mtu.. familia ya kishenzi sana hiyo[emoji41]
Mwanaume sio kumwacha na mtoto wa kike tena wengine hutomba hadi dada zao ,ndugu zao sembuse shemeji
Ukute ni idea ya mama mtu ameona kuna kauwezo grace aolewe hapo hapo
 
Ndio maana nasema familia ya hovyo hii… mama anaejielewa hawezi kuzoeana na mkwe wake nAmna hiyo.. hata wamama wa uswahilini wana adabu kwa wakwe zao japo wanajichetua ila huyo amezidi akili kisoda
 
Aisee kusema na ukweli hiyo familia kuanzia mama na watoto wake wote hawana maadili yaani hapo haiusiani na kwamba wao ni familia ya uswahilini… familia haina nidhamu hata kidogo

Hivi mama unawezaje kwenda kwa mkwe wako hovyohovyo hivyo… tena binti yako alishaachwa et unapeleka binti yako ambae ni mdogo kabisaa akashinde nyumbani kwa shemejii yake.. inahitaji akili finyu kabisaa mpk mtu afikie hatua hiyo

Hiyo familia haina adamu na 90% mama amechangia kuharibu mabinti zake.. mtoto kulikuwa kuna uwezekano wa Patric kumuona akiwa hukohuko kwa mama mkwe wake.. yaani binti mdogo sana huyo Grace anafanyiwa ukatili na shemejii mtu.. familia ya kishenzi sana hiyo[emoji41]
Maisha acha tumwombe Mungu atupe uwezo,hiyo family imeathiriwa na hali ngumu ya maisha,mara nyingi umasikini hauna heshima
 
Back
Top Bottom