Ushawahi kujichanganya kimapenzi mpaka ukawa unawaza hapo nyuma ulikosea wapi?

We jamaa una matukio kama Analyze aisee!!🤣🤣
 
🤣🤣🤣🤣
 
Mbona hamkusubiri hata mimba ikue ndo mseme
Sio kusubiri mimba ikue ilitakiwa wapige kimya tu,angemuachia G ndo ajue atamwambia vp mama ake kuhusiana na huo ujauzito,sjaona umuhimu wa kwenda kujisema ni kama walikuwa wanaenda kujigamba kwa mama mkwe kwamba sie ni kiboko wa kuto mb

hAta hvyo hii ni hadithi tu kwasasa,(mwanzo tuliambiwa Recho alikuwa hawajui wale wazee,leo tunaambiwa mzee mmoja Recho alikuwa anamuita babu na Pati aliwah msaidia hela ya kung'oa jino Recho akasema huwajui hawa watahamishia shida zao zote kwako)
 
Man down....
 
Hakuna kitu sipendi kama " kuahirisha tatizo"

Maana yote ni Yale Yale, alafu Binti anakaa na mama yake mimba Ina miezi mitatu, unadhani angeenda mpaka miezi mingapi bila mama yake kumshtukia?
Hapo sawa
 
Kwenye stori kuna kujichanganya Jamani si tuenjoy 😜
 
Mna catch Sana ma feelings ila uzuri mnarudi tu, siku ya kujitambulisha tulikutana na wazee kama 6, Rachel ndo overall akaniambia " sijui hata mama kawatoa wapi"... Huyu Mzee katika kubadilishana namba ndo akaniambia mimi Rachel ananiita Babu!!!

Na kuhusu kutuma hio Hela ndo Rachel akaniambia Hawa sio wa kuwaendekeza watahamisha shida zao kwako,

Sasa ni kipi ambacho hakieleweki hapo?
 
Ni bora kuweka wazi mapema kuliko kuwachia wenyewe waijadili mimba G angeweza kumezeshwa maneno kwa vitisho akubali kua alibakwa wakati wanaenda kulala kule na mtoto, familia zetu za ki africa unazijua, bora hivyo kuliko kupewa kesi ya kubaka
 
Pia yawezekana awali recho alimdanganya kua hawajui wale wazee ili kuepusha maswali mengi badae ikabidi awe muwazi kua anawafahamu, mbona simple tu, hawezi elezea kila kitu hapa vingine ni vya kujiongeza tu
 
Mkuu huu wa kuwajbu hawa vivuruge ….uwe unaandaa episode nyingne ikifka sa1 jion ushushe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…