Ushawahi kujichanganya kimapenzi mpaka ukawa unawaza hapo nyuma ulikosea wapi?

S3 epi 10

Mama namjua akianza kuongea hamalizi Leo sikumjibu chochote nikampotezea, kesho yake Sasa nawasiliana na ba mdogo yaani tunapanga mbinu utasema tuko vitani, kwanza akaniambia amefanya mawasiliano Kuna mtu kampata mwanza Mzee mmoja wa kwenda nae, akaniambia yule Mzee wa kwanza tulieenda nae wakati wa kujitambulisha Kwa Rachel hafai, anadai yule ni mlaini Sana hii vita hatoiweza inahitaji makamanda kweli, hapo mimi simbishii kitu chochote nipo kimya maana nilishamuachia msala apambane nao....

Ba mdogo akaja Sasa na idea Moja, operation ya kuua ndege wawili Kwa jiwe Moja....

Akaniambia hapa inabidi tulipue mabomu kotekote ibaki tu kazi ya kukabiliana na madhara yatakayojitokeza, jumapili akienda Kwa mama mkwe na mimi huku nikae na mama nimuambie tu Kila kitu, maana hata nisiposema akasema mama mkwe ni lazima tu atampigia mama, hapo Sasa naona nimeruka nimejichanganya tu, mama yangu namjua ataongea mpaka nyumba ipate ufa, ila nikiwaza msala wa mama mkwe kule naona Bora nipambane tu huku kule ni kwa moto zaidi, hapo Rachel yeye Bado Sasa, nawaza huyu nae hawezi kuacha ipite hivi hivi lazima tu ataleta vita ya aina yake,

Hua sifanyi kitu bila ya kua na plan b, nawaza haya mambo yanaweza yakaenda tofauti kabisa na tunavyotarajia hivo plan b yangu ni kua nikiona mambo yameharibika Sana nifanye mpango mtoto nimlete huku Kwa mama maana nilihofia Rachel anaweza pata sababu ya kumchukua mtoto....... Nikashamleta huku mimi Sasa nibaki nipambane na lolote litalokuja

Usiku wa deni haukawi kufika, jumapili hio hapo, nipo busy na askari wangu( ba mdogo) tunapanga mipango wa mwisho, nikampa idea usiende mikono mitupu nunua zawadi za mama mkwe na mtoto kwanza mpate hata pa kuanzia mkienda, Sasa ba mdogo hii ishu yeye anachukulia simple tu yaani anasema " hii ya Leo Haina Cha zawadi Wala nini, Leo tunaenda uwanja wa vita zawadi za nini tena"

Mimi huku swala la kumuambia mama likanishinda, Kuna rafiki yake mmoja mama mtu mzima Sana tulikua tunatenganishwa na ukuta tu huyu mama alikua mcheshi na simple Sana, nikawa nimeshamuambia majanga yote nikamwambia jumapili we njoo umueleze tu huyu Mzee mwenzako akasema hakuna shaka.........

Hio siku yule mama kafika Sasa home, tumekaa Kaa pale ikabidi mi nizuge nikatoka zangu nimuache Sasa afikishe msala huku, nimetoka nimekaa bar Moja nampigia ba mdogo kujua kafikia wapi, anapokea anauliza vipi wewe uko wapi? Namuambia npo bar hapa natuliza kichwa kidogo, jamaa nae anacheka anasema na si tumepitia hapa tunapiga Moja Moja kwanza hii vita sio ya kwenda ivi ivi

G hapo tunawasiliana kawaida ila sijamwambia chochote asije akavujisha taarifa akaharibu, ikafika muda ba mdogo ananiambia wapo njiani wanakaribia kufika....

Mimi ni nani??

Nikachukua Simu yangu, mama mkwe nikamtupia kwenye blacklist, Rachel nae nikamuunga huko huko.... Hapa nasema mpaka nipate kwanza feedback kutoka Kwa ba mdogo ndo ntajua Cha kuongea nao....

Basi wao wakafika kule hapo tukaacha kuwasiliana, hapo Nina mawazo najiuliza mbona nimejiingiza kwenye matatizo kiasi hiki, upande wa mama Wala siwazi Sana najua tu atasema mpaka nikome, huku Sasa Kwa mama mkwe.... Nikakaa pale yaani navyosubiri Simu ya ba mdogo ni sawa na mtu amepeleka mwenzie uzazi yupo nje anasubiri kuambiwa kajifungua salama...

Nikiwa nashusha bia taratibu pale, mama yangu akaanza kupiga nikawa kimya tu Wala simpokelei, akapiga kama mara tatu mie kimya tu.... Nakaa kama dakika 10 naona sms kutoka kwake

" Hivi wewe hizo akili zako umejitoa wapi , mbona baba Yako hakua na akili kama hizo"

Nikawaza hapa bomu la kwanza lishalipuka...

Sijapata hata muda wa kuwaza ba mdogo nae anatum

" Hivi wewe hizo akili zako umezitoa wapi , mbona baba Yako hakua na akili kama hizo"

Nikawaza hapa bomu la kwanza lishalipuka...

Sijapata hata muda wa kuwaza ba mdogo nae anatuma sms

" Mzee hii Ngoma nzito, tushachemka huku"
🤣🤣🤣🤣 ba mdogo ujanja mfukoni
 
S3 epi 11

Sms ya mama huku nikaachana mayo kwanza, shauku kubwa nataka kujua kimejiri nini kule Kwa ba mdogo, nikampigia Simu, akaikata.... Imepita kama dakika katuma sms "Mzee tulia kwanza ntakupigia, hapa ni kama tupo msibani"

Dah nikasema hiki nini tena, nikaanza ku speculate tu pale labda kimetokea hiki, labda kile basi tu mawazo hayaishi, nawaza nimchek G? Mbona ye hajanitafuta kama Kuna shida? Nikasema hapana utakuta yupo nao ntachochea moto

Sijakaa vizuri sister yangu anapiga( hio siku ilikua majanga tu).... Nikawaza huyu kashapewa umbea, ila huyu nammudu, nikapokea..... Akaanza kucheka..... "Hivi dogo una shida gani aisee? Au mganga wako kakuambia lazima uoe pale?"

Hapo namwambia "acha hizo wewe hebu tulia hapa yenyewe Nina majanga mia kidogo, mama Yako mwenyewe najua Leo sitalala ataongea mpaka kesho"

Akaendelea " ndo katoka kunpigia hapa anashangaa tu, ila dogo na wewe kiboko aisee Sasa ndo umefanya nini?"

Nikamwambia hebu tulia kwanza kichwa kikitulia tutaongea vizuri nikakata Simu, hapo Simu ya maana naona ni ya ba mdogo tu Hawa wote ni kama wananipotezea muda tu

Ikapita kama Lisaa ivi ba mdogo ndo ananipigia Sasa.... Napokea anahema kweli badae akaanza kucheka, namuuliza unacheka nini Sasa Kuna nini huko? Akaanza " we Mzee mwenzangu tunaheshimiana Sana, mbona umeniingiza kwenye msala mzito hivi? Hapo simuelewi na anavyocheka Sasa ndo ananichanganya tu, nikamwambia hebu acha mafumbo basi niambie imekuaje huko mbona sikuelewi, akaniambia ngoja nitulie basi Mzee tupo na huyu Mzee tuagize hata chakula na kinywaji maana kule hatujalamba hata maji

Hapo namuambia sawa agizeni tu ila niambie basi kwanza Kuna nini, akaanza Sasa

" Unajua Mzee hii ishu tulikua tunachukulia simple Sana ila imekua tofauti kabisa, hapa Mzee mwenzangu umeharibu Sana sijui hii Ngoma tutaicheza vipi'

Ndo akaanza Sasa kuniambia kilichotokea, wamefika pale wamepokelewa vizuri tu, akaletewa mtoto pale amekaa Kaa nae, G yupo jikoni ba mdogo anavyopenda misosi Sasa anasema anaskia harufu tu akajua hapa mambo mazuri, Ile kuzuga zuga ndo Sasa akaanza kujielezea na yule Mzee, Sasa Hawa jamaa nao sijui walivyopita bar kabla ya kwenda walishauriana nini bana, katika kumuelezea mama mkwe eti badae wanamuambia "kijana wetu naona ameamua kuzidi kuuanganisha undugu kabisa"

Mama mkwe anawauliza kivipi, ndo wakamueleza Kila kitu, naskia mama Wala hata hakuonyesha kupanic, akamuita G, G nae anakuja anashangaa tu pale amekaa ameshika Simu, mama hapo akawa mkali akachukua Simu, anamwambia we unaitwa na watu wakubwa upo busy umeshika Simu mbona huna adabu, akamnyang'anya Simu pale..... Akamgeukia Sasa G anamuuliza mwanangu nimepewa taarifa hizi na hizi, je ni za kweli? G akaitikia Kwa ishara ya kukubali Kwa kutingisha kichwa

Aisee naskia mama alipiga ukunga mmoja hatari Sana, akaanza kulia pale, anaongea mambo hayaeleweki, badae majirani nao washajaa, wanamuuliza vipi Kuna msiba mama Fulani? Mama hajibu analia tu, G nae hapo kaingia mitini sijui ndo alienda chumbani, Sasa mama analia tu hasemi nini shida majirani wanazidi kujaa....

Badae Kuna jirani akawageukia kina ba mdogo Sasa na yule Mzee "nyie wazee mmemfanya nini huyu mama?"

Hee msala ukageukia Sasa Kwa kina ba mdogo, watu Wana hasira wanawauliza nyie kina nani kwani mmemfanya nini huyu mama, hapo yule Mzee aliyeenda na ba mdogo akawa anatetemeka tu, anamwambia ba mdogo hapo mambo yashaharibika hapa dawa ni kuingia socket(kukimbia) tu....

Kuna majirani wakamkokota mama mkwe Sasa wakaenda nae kwao huko kumtuliza, ba mdogo ndo anawaambia majirani sisi ni wajumbe tu Kuna habari tumezileta Kwa huyu mama naona kidogo zimemchanganya tutakuja wakati mwengine, majirani nao Sasa wanataka kujua ni habari gani(watu wambea Sana)..... Ba mdogo akawaambia ni mambo ya kifamilia siwezi kuliongea hapa, basi wakaaga wakaondoka

Basi tukaongea pale, nikamwambia sawa nyie kuleni tu na huyo Mzee usisahau kumpa posho yake Ili kama ikitokea Kuna kurudi tena asije akakataa, ba mdogo nae Sasa "huyu Nampa posho kidogo, jinsi jasho lilivyokua linamtoka, huyu hawezi kurudi kule hata Kwa fimbo"

Nafanyaje Sasa? Nikapiga Simu ya Grace haipatikani, mama mkwe na Rachel Hawa waache waendelee kukaa blacklist kwanza mpaka Nije nipate plan nyingine....

Nikakaa pale mpaka badae nikarudi home namkuta mama amekaa nje Bado wapo na yule mama jirani Sasa, kuniona tu akaanza

"Naona kidume ndo kinaingia"
 
Umeyakanyaga kiongozi
 
Nilikua sijawai comment ila hapa siwezi vumilia hapa ndo unaelewa wanaume tumeumbwa Mateso kuhangaika, af sijui nini yaani,
Baada ya kusoma ulicho mfanya Mary najikuta nakuombea misala uzidi kuitimba tu.

SAMAHANI LAKINI MKUU
 
Back
Top Bottom