Ushawahi kujichanganya kimapenzi mpaka ukawa unawaza hapo nyuma ulikosea wapi?

Nilidhani nimeona mimi tu. Mtu akishaanza kuquote mazungumzo ya miaka 2 au zaidi nyuma kama vile yamefanyika jana huwa inatia mashaka.
Yaani kuna watu sijui mnakua na maisha gani? Mimi nimejiunga jf 2012 hii thread ni ya pili kuanzisha, mwaka 2014 nilipandisha uzi hapa Kuna ipads na computer nilikua nauza kipindi hiko Niko chuo, sijawahi kuanzisha thread tena mpaka hii hapa, mpaka Sasa nimeanzisha threads mbili tu

Lakini hilo gap la miaka 10 sijawahi kupitisha siku 3 lazima ntaangalia jf nini kinaendelea, kuna msemo wanasema ukiwa mjanja penda Sana kusikiliza kuliko kuongea

Na ndo maana hua napita tu naona members wanasemaje hata bila ya kucomment

Unavyodai mtu hawezi kukumbuka mazungumzo ya Miaka miwili? Mi nimeweka ya Miaka 7 nyuma......

Navyofanya kuquote ni kama relevance tu lakini si Kila neno Lina asilimia 100 kwenye kumbukumbu, Mzee wangu alifariki kitambo ila mpaka Leo naweza kukaa na ndugu tukakumbushana maneno yake, imepita zaidi ya miaka kumi? Kama huwezi kukumbuka maongezi basic ya watu wako wa karibu ya hata miaka iliyopita sijui nakuweka kundi gani,

Kuna story za mwamba UMUGHAKA nimezisoma zote sijawahi hata kucomment, na nimesoma mpaka mwisho, Kuna watu wengi walimponda Sana wanasema anasimulia uongo, ila kuna mahali alinifurahisha akawajibu "Hawa wanaoniponda ndo Kila saa wanachungulia waone nimeishia wapi"

Kuna story za Analyse nilizisoma mpaka mwisho, ila Kuna story nyingi Sana jf nilianza kuzifatilia ikafika mahali sipati vibe nazo kabisa nikaacha njiani, nyingi tu, ila sijawahi kucomment kuponda story ya mtu nikiona haivutii tena nakaa pembeni maisha yanaendelea...... It's that simple,jf hakuna anayemlipa mwenzake Sasa sielewi we unahisi mimi nafaidika vipi, na mimi ni mzito nimepata pm nyingi tu ila nimejibu mbili tu, Moja Kuna kijana tulikua tunaongea nae kuhusu mambo ya kazi, ya pili Kuna mtu tulikua tunataniana tu na hayupo hata hapa Tanzania, kama nasema uongo naruhusu mtu aje aniumbue

Ukiona unakua na mashaka na kitu kwanini usiachane nacho tu? Kuliko kuanza kulalamika???

Hua mnanishangaza sana
 
achana na hao jamaaa story ni nzuri sana tunajifunza mengi hongera sanaaaa ,Endelea kushusha vitu mkuu
 
hii comments ilifaa iwe episode
 
Nakazia
 
Kijana utanitag next episode. Hao wa kuponda achana nao watajiponda wenyewe
 
Ahahahah nasikiaga zaman dada Mtu anaweza pinduliwa na Mdogo wake akachukua mme jumla na wakazaa watoto kuna hizo familia zipo
Mimi nilianza kuchapa mdogo mtu badae nikahamia Kwa dadake. Ugomvi niliowaachia huko nyuma ni balaa.
Sikukoma baadaye tena nikala mama mdogo mtu nikamalizia Kwa mwanaye (mtoto wa dadaake).🙈🙈
 
Yaani kuna watu sijui mnakua na maisha gani? Mimi nimejiunga jf 2012 hii thread ni ya pili kuanzisha, mwaka 2014 nilipandisha uzi hapa Kuna ipads na computer nilikua nauza kipindi hiko Niko chuo, sijawahi kuanzisha thread tena mpaka hii hapa, mpaka Sasa nimeanzisha threads mbili tu

Lakini hilo gap la miaka 10 sijawahi kupitisha siku 3 lazima ntaangalia jf nini kinaendelea, kuna msemo wanasema ukiwa mjanja penda Sana kusikiliza kuliko kuongea

Na ndo maana hua napita tu naona members wanasemaje hata bila ya kucomment

Unavyodai mtu hawezi kukumbuka mazungumzo ya Miaka miwili? Mi nimeweka ya Miaka 7 nyuma......

Navyofanya kuquote ni kama relevance tu lakini si Kila neno Lina asilimia 100 kwenye kumbukumbu, Mzee wangu alifariki kitambo ila mpaka Leo naweza kukaa na ndugu tukakumbushana maneno yake, imepita zaidi ya miaka kumi? Kama huwezi kukumbuka maongezi basic ya watu wako wa karibu ya hata miaka iliyopita sijui nakuweka kundi gani,

Kuna story za mwamba UMUGHAKA nimezisoma zote sijawahi hata kucomment, na nimesoma mpaka mwisho, Kuna watu wengi walimponda Sana wanasema anasimulia uongo, ila kuna mahali alinifurahisha akawajibu "Hawa wanaoniponda ndo Kila saa wanachungulia waone nimeishia wapi"

Kuna story za Analyse nilizisoma mpaka mwisho, ila Kuna story nyingi Sana jf nilianza kuzifatilia ikafika mahali sipati vibe nazo kabisa nikaacha njiani, nyingi tu, ila sijawahi kucomment kuponda story ya mtu nikiona haivutii tena nakaa pembeni maisha yanaendelea...... It's that simple,jf hakuna anayemlipa mwenzake Sasa sielewi we unahisi mimi nafaidika vipi, na mimi ni mzito nimepata pm nyingi tu ila nimejibu mbili tu, Moja Kuna kijana tulikua tunaongea nae kuhusu mambo ya kazi, ya pili Kuna mtu tulikua tunataniana tu na hayupo hata hapa Tanzania, kama nasema uongo naruhusu mtu aje aniumbue

Ukiona unakua na mashaka na kitu kwanini usiachane nacho tu? Kuliko kuanza kulalamika???

Hua mnanishangaza sana
Kaka hapo ndo unakosea

Acha kupambana na wajinga wachache kama hawa ...ni wajinga mana anaxhangia kitu ambacho hakipend ndo mana nawaita wajinga

Watakupotezea mda hao achana nao na hata usiwajibu mana ukiwajibu utaangukia kwenye kund lao
 
Yaani kuna watu sijui mnakua na maisha gani? Mimi nimejiunga jf 2012 hii thread ni ya pili kuanzisha, mwaka 2014 nilipandisha uzi hapa Kuna ipads na computer nilikua nauza kipindi hiko Niko chuo, sijawahi kuanzisha thread tena mpaka hii hapa, mpaka Sasa nimeanzisha threads mbili tu

Lakini hilo gap la miaka 10 sijawahi kupitisha siku 3 lazima ntaangalia jf nini kinaendelea, kuna msemo wanasema ukiwa mjanja penda Sana kusikiliza kuliko kuongea

Na ndo maana hua napita tu naona members wanasemaje hata bila ya kucomment

Unavyodai mtu hawezi kukumbuka mazungumzo ya Miaka miwili? Mi nimeweka ya Miaka 7 nyuma......

Navyofanya kuquote ni kama relevance tu lakini si Kila neno Lina asilimia 100 kwenye kumbukumbu, Mzee wangu alifariki kitambo ila mpaka Leo naweza kukaa na ndugu tukakumbushana maneno yake, imepita zaidi ya miaka kumi? Kama huwezi kukumbuka maongezi basic ya watu wako wa karibu ya hata miaka iliyopita sijui nakuweka kundi gani,

Kuna story za mwamba UMUGHAKA nimezisoma zote sijawahi hata kucomment, na nimesoma mpaka mwisho, Kuna watu wengi walimponda Sana wanasema anasimulia uongo, ila kuna mahali alinifurahisha akawajibu "Hawa wanaoniponda ndo Kila saa wanachungulia waone nimeishia wapi"

Kuna story za Analyse nilizisoma mpaka mwisho, ila Kuna story nyingi Sana jf nilianza kuzifatilia ikafika mahali sipati vibe nazo kabisa nikaacha njiani, nyingi tu, ila sijawahi kucomment kuponda story ya mtu nikiona haivutii tena nakaa pembeni maisha yanaendelea...... It's that simple,jf hakuna anayemlipa mwenzake Sasa sielewi we unahisi mimi nafaidika vipi, na mimi ni mzito nimepata pm nyingi tu ila nimejibu mbili tu, Moja Kuna kijana tulikua tunaongea nae kuhusu mambo ya kazi, ya pili Kuna mtu tulikua tunataniana tu na hayupo hata hapa Tanzania, kama nasema uongo naruhusu mtu aje aniumbue

Ukiona unakua na mashaka na kitu kwanini usiachane nacho tu? Kuliko kuanza kulalamika???

Hua mnanishangaza sana
Kijana achana nao hao shusha episode
 
IMG_9075.jpeg
 
Back
Top Bottom