bright pledge
Senior Member
- Feb 12, 2021
- 139
- 274
Duuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🔥🔥Jamaa kashusha vipande kinoma, nikuagizie popcorn?
Tulishakubaliana mi nasoma story nikirudi jioni nakusimulia au umesahau?Mpaji Mungu wewe sio wa kushindwa kuniita kumbe story imeendelea jmn
Ndiyo Mkuu 🤭🔥🔥Jamaa kashusha vipande kinoma, nikuagizie popcorn?
Ngoja niagize ya kutoshaNdiyo Mkuu 🤭
Nazisubiri, halafu njoo chimbo 🦦 kuna jambo 🤣Ngoja niagize ya kutosha
mkuu unashusha vipande vingine au nilale mana nimechoka kuchungulia kama umewaka mwendelezo shingo inauma.Acha tu najua nimeacha kamanda kule kumbe hakuna kitu
Ngoja nikamuone kwanza mama G😂Nazisubiri, halafu njoo chimbo 🦦 kuna jambo 🤣
😃😃😃 sawa ila fanya hivyo aiseeNgoja nikamuone kwanza mama G😂
Ili unilishe matango pori😀😀Tulishakubaliana mi nasoma story nikirudi jioni nakusimulia au umesahau?
Tulio iona Na Kusoma New Year 2025 TujuaneEpisode 6
Hapo akili ikaanza kuwaza kwa kasi, nikakumbuka kuanzia Mary namuona kule shuleni kwao, that innocent girl leo hii anakua hivi kwasababu yangu, nikajikuta chozi linatoka,nikamtumia sms, nakuja mke wangu nakupenda, sikuaga hata mtu nikaondoka zangu ofisini kwenda nyumbani, hapo samira nae anapiga simu sipokei, sms sijibu, ikaingia roho nikaanza kama kumchukia tena samira, ila nikawaza she is just another innocent girl mimi ndo mwenye makosa, hakuna namna ya kurekebisha hapa....huyu nae akijua, amejitunza kote huko leo hii ajue nilimtoa usichana kumbe nina mke, nikasema hapa there is no winning nimejichanganya tu tena sana
Nafika home nakuta Mary ashalewa tena, analia tu, dah nikasema ndo maisha gani haya tena, ikawa hakuna namna nambembeleza tu ikabidi pombe zote nitoe ndani nikazifungia kwenye gari, imefika muda nikatoka kwenda kumtafutia chakula nae katoka kuna grocery pembeni kaenda kanunua wine tena, narud hayupo kumkuta ndo huko tena analia tu watu wanamshangaa nikajiskia vibaya sana, sikuwahi kumuona hata amelewa tangu nimjue, nikambembeleza tukaenda home, yule dada wa grocery akaniambia mdogo wangu badae uje
Nikarudi home Mary kula akagoma nikambembeleza akawa amelala, nikatoka mpaka grocery hapo kichwa kina moto nikabugia konyagi ndogo kwanza bila hata kupumzika, yule sister wa grocery alikua mshkaji wangu kiaina ila Mary hakua na mazoea kabisa na majirani, ananiuliza kulikoni wifi kafanyaje ikabidi nimueleze tu ilivyokua, nae akaanza kunchamba na mwenzake "kaka una mke mzuri hivo anafanya kazi nzuri unataka nini tena"
Akili ikaruka, kazini sijaaga, kuna Mary hapa sijui nadeal nae vipi, Kuna samira hapa nae namfanyaje, aisee sikuwahi kua na siku nzito kiasi hiko
Hahaha mwaka huu wa kwetu. Sema wadau wataona ni chai ila hzi timbwili ni kibokoS3 epi 13
Sasa mimi nakuaga na maamuzi yangu nikashafanya hata iweje siwezi kubadili, nikapiga mahesabu story za Kanda hizo kweli nazijua, katika kukaa mwanza Kuna msiba ulitokea wa rafiki yangu alifiwa kwao nikamsindikiza, Ile kufika center akukutana na wajomba zake pale tukaanza kupiga bia kwanza kabla hatujafika msibani, mmoja wao akazidiwa akashindwa kwenda kuzika, kesho wamekaa kikao mjomba anaambiwa lala chini apigwe viboko mjomba kagoma hapo na watoto wake wapo kabisa, badae wakatumwa vijana waende bomani kwake wachukue ngombe watatu kama faini, Mzee kuskia ivo akashuka tu chini wakamlamba viboko, hivyo kwanza nikasema hata mbingu ishuke swala la mimi kwenda kwenye Hilo tambiko siwezi kujaribu, Hawa watu swala la viboko hua ni la kufikia tu
Muda ukaenda Sasa mawazo yamehamia Kwa G, najiuliza huyu mtu yupo wapi? Hapo imefika usiku ulizia naambiwa hajaja, kazini najua hakufika maana yule dada bosi wake alinitumia sms " naona huyu Binti ni kama hataki kazi, na Leo hajaja".... Nikawaza pale nifanye nini Sina Cha kufanya, nikiwaza misala inayonisubiri mwanza nachoka kabisa
Sasa Kuna muda naona namba mpya inapiga, kabla sijapokea nawaza hapa inawezekana ni G huyu, au ukute mama mkwe au Rachel maana hao wapo blacklisted, au ni mtu mwingine tu, nikaona ngoja nipokee, nikawa naskilizia sauti kwanza mbinu za kibaharia, nikaja kujua ni Rachel... Nikakata simu
Nakaa kidogo zikaanza mvua za sms Sasa.... Lawama kama zote, mara nataka kumuua mama Yao, yaani maneno kama yote naonekana mimi ndo Malaya Dunia nzima, ila Sasa paliponichosa zaidi akaniambia kuanzia Leo hesabu huna mtoto tena na mimi, D naondoka nae na hutokaa uje umuone tena labda nikiwa nimekufa, ukitaka hata mahakamani tutaenda..... Nikasema mbona hili balaa Sasa, hapo nikapigwa na biti akaniambia " yaani we dawa Yako Iko jikoni ni swala la muda tu utanitambua vizuri"
.
Nikawaza sasa huku nafanya nini, mbona kule mambo ndo yanazidi kuharibika, G nae yupo wapi? Nawaza mtoto kweli akiondoka huyu Rachel naanza kumtafutia wapi, nikakata shauri hapa inabidi nirudi mwanza tu nikapambane na hizi ishu maana kukimbia sio suluhisho kabisa
Nikatoka zangu pale Kuna bar nikaenda piga piga gambe pale, narudi Nina mawazo Sana... Navuta hisia za nyuma naona kama nimeharibu maisha yangu mwenyewe, sijui nikapata hisia gani bana, nikachukua Simu nampigia Mary mara upande wa pili inapokelewa naskia sauti ya kiume, naambiwa huyu kapumzika mpigie kesho!!! Basi tu Kuna ka roho flani ivi kakaingia nikajiskia vibaya nikasema maisha ndo hivo lazima yaendelee
Kesho yake napiga plan jinsi ya kumuaga mama Sasa, nikaita fundi pale nikapiga nae hesabu arudishie rangi ukuta wa fence ulianza kupauka nikampa Hela za material pale, hua tuna utaratibu Kila tukirudi nyumbani na sister ni kujaribu kurekebisha chochote pale nyumbani, badae mama namuaga namwambia kesho narudi mwanza.... Akaanza kucheka, namuuliza unacheka nini we Mzee, ananiambia " hivi Kwa akili zako ulitegemea flani(ba mdogo Sasa) ndo ataenda kurekebisha ujinga uliofanya? Naona umeamua kwenda mwenyewe"
Hapo kumbuka simuambii chochote kinachoendelea, nikampotezea tu, badae akaniita akanipa zawadi za mjukuu wake tukakaa Sasa akaanza kunipa ushauri, kaniambia kua makini Sana mwanangu huko upo ugenini watu wanaweza kukufanyia Hila usichukulie mambo kirahisi nikamwambia sawa....
Kesho mimi huyo safarini narudi mwanza, njiani kuulizia si kazini Wala nyumbani G haonekani, nikasema nikifika ntajua.... Nikafika salama Sasa hapo tupo na ba mdogo tukaanza kupanga mbinu pamoja, jioni tunatoka nampeleka mahali anakataa ananiambia twende sehemu flani ndo Kuna watoto kule, nikamuambia naona ushakua mwenyeji, wewe ndo maana kazi ilikushinda unawaza watoto tu....
Sasa nafika mwanza G nae kimya tu sijui hata yupo wapi, ila nikawa najipa moyo huyu kwao watakua wanajua yupo wapi la sivyo wangenisumbua Sana.....
Wale wazee wakaja kumpigia ba mdogo hesabu pale tukakamuliwa pesa sijui ndo na Hilo tambiko, hapo namwambia ba mdogo we tutoe tu tutaona mwisho wake ni nini, akasema sawa tukapanga siku wakaja kuzichukua, Sasa kama bahati yule dada wa kazi wa mtoto nae sio mjinga alishakuja kujua nini kinaendelea pale, akaja akapata taarifa Kwa kuskia skia kumbe G alienda Kwa shangazi yake mmoja akawa amekaa huko, nikasema afadhali Sasa najua mtu yupo salama na nini
Hapo karata iliyobaki tuwasubiri hao wazee wafanye Hilo tambiko lao, wakae Sasa na mama mkwe kifamilia wao ndo watatupa jibu nini Sasa kifanyike pakawa hakuna ujanja zaidi ya kusubiri, hapo na mimi siku zinaenda nawaza hii ishu inatakiwa iishe kabla likizo haijakata...
Hapo siwezi hata kwenda kumuona mtoto yaani ni vurugu mechi tu
Zikapita kama siku 2 nipo na ba mdogo home mara G huyo kaja na mama Fulani nilikua simjui, tukawakaribisha pale ndo akajitambulisha kua ni shangazi yake( upande wa baba Sasa).... Yaani mama mkwe wanaitana wifi, Sasa tumeongea pale mimi nipo kimya hapo baba mdogo nae anajikuta ana busara muda wote yeye ndo anaongea pale wanamskiliza, Sasa sijui ndo ma wifi hawapatani au yule shangazi ni kama alikua mtulivu Sana, anamwambia ba mdogo Hawa ni watoto wetu haya yashatokea Sasa tufanyaje, ni kwenda nayo tu hivo hivo, nikasema afadhali Sasa hata na huyu
Siku ya kufa nyani Sasa.....
Tumekaa pale geti linagongwa, ba mdogo alikua karibu na mlango wa kutokea mara kainuka kaenda kufungua, badae sijui ni kama nilipatwa na wazo gani nikasogeza pazia nijue ni nani anagonga, geti kufunguliwa namuona Rachel na yule rafiki yake wa mgahawa, ba mdogo akasalimiana nao pale sijui aliwaambia nini yeye akawa anakuja wao wamebaki tu pale karibu na geti ila washaingia, jamaa kuingia ndani hakujali hata kama tuna wageni ni kama alipata wenge ivi ananiambia "mzee mwaka huu wa kwetu"
Pole aiseeeS3 epi 13

Noma sana kwa kweli.mzee mwaka huu wa kwetu"
Vyovyote watakavyoona tu mi sipo kumfurahisha mtu hapa, naamini kuna watu wanaweza kujifunza kitu Kwa niliyopitia mimiHahaha mwaka huu wa kwetu. Sema wadau wataona ni chai ila hzi timbwili ni kiboko
😂😂😂mzee mwaka huu wa kwetu