Ushawahi kujichanganya kimapenzi mpaka ukawa unawaza hapo nyuma ulikosea wapi?

Huyo baba yako mdogo jau gambe limemkolea hafati script inavyotaka anajitungia mwenyewe eti “Kijana wetu naona ameamua kuunganisha undugu” 😹😹😹
Yaan anasifia uharamia. Angeanza kuna tatzo limetokea nahisi kuna jambo haliko sawa kwa racheli na mwenzake pat afu ndio aanze. Sema mwamba nae hakumoanga babake mapema ili waende na script imekamilika
 
Vyovyote watakavyoona tu mi sipo kumfurahisha mtu hapa, naamini kuna watu wanaweza kujifunza kitu Kwa niliyopitia mimi
Mkuu unachoandika sio jambo geni kwenye jamii zetu dada kamkataa mtu wake mdgo mtu kachukua uskukan yapo sisi wabantu au unatwanga wote hata zaidi ya 2 wa familia moja
 
Yaan anasifia uharamia. Angeanza kuna tatzo limetokea nahisi kuna jambo haliko sawa kwa racheli na mwenzake pat afu ndio aanze. Sema mwamba nae hakumoanga babake mapema ili waende na script imekamilika
Ashukuru alikunywa balimi, angejichanganya kunywa pingu au chipapa ba mdogo angeomba naye akazie undugu kwa mama mkwe ili walee wajukuu 😹
 
Ila Baba mdogo ni Comedian kabisa
 
Ashukuru alikunywa balimi, angejichanganya kunywa pingu au chipapa ba mdogo angeomba naye akazie undugu kwa mama mkwe ili walee wajukuu 😹
Umenikumbusha story ya dj ally b anasema akilewa anajionaga mtu flani Mkubwa,
Ndo kama babaake mdogo Patrick alivokuwa anajiona ukweni ila watu wakilewa sijui wanajionaje😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…