Ushawahi kujichanganya kimapenzi mpaka ukawa unawaza hapo nyuma ulikosea wapi?

Ushawahi kujichanganya kimapenzi mpaka ukawa unawaza hapo nyuma ulikosea wapi?

Muache huyo ngoja tuendelee, naona laki 6 imemtibua kweli, ngoja siku na yeye aende kuoa
Acha mambo yako patrickk Yaani ulienda na bajeti ya kumalizana na mama. Hiyo bajeti ya ghafla ya wazee ya laki 6 imetoka wapi? Hata kama ulikuwa nayo lakini kama mbongo huwezi kuitoa bila bajeti! Sio lahisi kutoa hela kindezi hivyo mwamba! Hapa umetupiga fix! ☺🙂😛😛
 
Sina haja ya kukuhakikishia mkuu, na huna haja ya kuniamini.... Soma vizuri Kuna mahali nimeandika kua ilibidi niende kuwatolea....

Laki 6 Ili nimalizane na Hawa wazee nayo imekua pesa ya kushangaza?😀.

Ngoja nisiongee Sana ila tujaribu tu kuongeza maarifa ya kuongeza kipato
 
Mim pia imeniuma sana hicho kipande nimewaza rejesho la laki 2 linanitoa jasho sipokei simu za mhasibu😀 alafu unachezea laki 6 kweli ngoja nitafute sana ela 😀😀😀
Achana nao malizia story
 
😀😀😀Kuna wanaume wako hivo
Yan wao ukiwapa maneno km ela ipo ni kufungua wallet 😀
Najitahidi Sana nitafute pesa Ili mwenzangu akitumia za kwake hata kama ni Kwa ujinga zisiniume

Kuna madogo wawili nilisoma nao, connection wakapata kazi wizara ya fedha, Hawa Kila siku hua wananiambia wanachowaza wao sio kupata tena pesa ni jinsi ya kuzitumia

Waliwahi Kuja huku likizo, mtu anakodi V8 Kila siku laki 3 Kwa siku 21, hio hata mimi iliniuma nauliza kwanini usinunue tu Sasa la kwako, anakuambia tutanunua tu sa hivi Bado Bado kazini watatushtukia

Sasa mimi laki 6 tu watu roho zinawatoka
 
Haloooo, me ntakuwa mbishi mno, yaani watu waliojaribu kwenda kuniharibia kazini, mara nzengo.... Hao mpaka kwenye wosia nawaandika wasipewe senti yangu
Wew unapenda ubishi mm ni dizain ya Patrick Yan hata mtu akinichokoza Huwa nakubalig yaishe tu Kuna jirani yangu alinidai deni ambalo nilishalipa na nakumbuka na mashahid wapo nikaona sio kesi nikalipa Tena mdogowangu alinilaani 😀😀😀
 
Back
Top Bottom