Ushawahi kujichanganya kimapenzi mpaka ukawa unawaza hapo nyuma ulikosea wapi?

Na mimi nimeshangaa sana yani laki 6?? Nikajua milioni 6 maana nilikua sijajua chanzo cha kelele ni nini?

Halafu kwa waelewa ni kwamba hii kesi sio ndogo kimila na kiutamaduni..sasa ili mambo yako yakae poa na uendelee na kazi kwa amani lazima utoe hela..mbona hela zenyewe ndogo sana.

Hebu watupishe watutolee makasiriko...watu wana hela bana tunafautiana matumizi na moyo wa kutoa tuu..
 
Mkuu tuwekee huo uzi tuishi nao bhana huenda tukaokota cha kujifunza huko
 
Aisee
 
Hebu nitag kwenye huo Uzi
 
Hii chai ya moto sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ