Hahahahaha...tulia mzee tupate stori - Tunafundishwa kumwaga pesa mzee...kila mtu akigusa tu pesa...Acha habari zako sisi sio watoto bhana wewe Kwa hii stori Yako ni Chao yaani unazungumza kaam unadanganya watoto wa chekechea sio yaani we ni mzee wa kutoa tu hela hovyo hata mo ushawahi kumuona anatoa hela hovyo hovyo sisi sio wajinga malizia stori Yako kudanganya wengine Mimi nimeishia hapa nimeona napigwa kamba ya katani
Achaaa tuendelee na stori yetu