Ushawahi kujichanganya kimapenzi mpaka ukawa unawaza hapo nyuma ulikosea wapi?

Hahahahaha...tulia mzee tupate stori - Tunafundishwa kumwaga pesa mzee...kila mtu akigusa tu pesa...
Achaaa tuendelee na stori yetu
 
Mkuu tuwekee huo uzi tuishi nao bhana huenda tukaokota cha kujifunza huko
 
Hii stori chai kama sio chai we hujielewi mtoto wa kiume huwezi kuendeshwa kama ng'ombe we ukitajiwa pesa tu unatoa we ni mtoto wa bakhresa nini hii chai ya rangi na Leo ndio mwisho kuinywa
Kuna watu wana pesa mzee ohoo
 
Hadi leo nina kesi na wife nilimshika matako mdgo ake. Hii story naisoma kwa kujificha asije sema najifunzia huku, na kumbe ndio tabia yangu, Lkn nipo siti ya mbele hapa namcheki Rachel aache usumbufu
Sasa kumshika tu ndy kesi
 
Hii stori chai kama sio chai we hujielewi mtoto wa kiume huwezi kuendeshwa kama ng'ombe we ukitajiwa pesa tu unatoa we ni mtoto wa bakhresa nini hii chai ya rangi na Leo ndio mwisho kuinywa
Usiseme hakuna hela, sema sina hela, nchi hii kuna taaasisi zina hela Acha kabisa, malupulupu ni mara mbili mpaka tano ya mshahara.
 
Wewe huna Hela na mleta mada Hana hela wore ni apeche alolo tu
Kweli mimi sina hela kama mo, lakini za kusafiri kokote duniani, kula chochote na kuishi pazuri na kuwasaidia wahitaji zipo.
Usichukulie poa wanachama wanaochati humu Jf, wengine kwenye maisha ya kawaida ni ngumu sana kuonana naye bila itifaki. ISHI NAYO HIYO.
 
Hadi leo nina kesi na wife nilimshika matako mdgo ake. Hii story naisoma kwa kujificha asije sema najifunzia huku, na kumbe ndio tabia yangu, Lkn nipo siti ya mbele hapa namcheki Rachel aache usumbufu
Ulikula ? Kama hujala ni fedheha, bora shari kuliko nusu shari
 
Narudia tena we huna Hela na mtoa mada Hana ha full stop
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…