[emoji1787][emoji1787][emoji1787] eti nisije kunyooshwaS2 episode 2
Sijakaa sawa dada wa mgahawa anapiga tena, " Shem upo wapi?" Nashangaa huu ushem wa lini tena, nikamuelekeza nilipo akaniambia tunakuja akakata simu. Baada ya muda kweli nawaona huyu hapo na rachel, Rachel amevaa kigauni flani ivi amejibeba kweli kweli, yule dada wa mgahawa alikua mcheshi sana akafika akaniambia " haya mtu wako huyo hapa mbembeleze mwenyewe mi nimechoka"... Nikamvuta rachel namuuliza kuna shida gani akaniambia tu we futa hio picha ndo tutaelewana, basi bana wakala pale na vinywaji kidogo yule dada wa mgahawa nikamuambia tafuta usafiri wako mapema sisi leo hatujamaliza kubembelezana... Rachel ni kama alianza kusita ila badae akakubali tukaenda kulala wote kwangu hio siku safari mpya ya mapenzi ikaanza
Kuhusu rachel sasa, ye aliishia la saba, kalelewa familia duni na mama tu na ana wadogo zake wawili mmoja wa kike alikua form 1 bado mwingine wa kiume mdogo yupo la pili, mama yake nae kazi haieleweki yani ni kujishkiza hapa na pale tu, basi tukaanza penzi la rachel sijui hata niliwaza nini miezi mitatu tu ya kwanza mimba tayari, hapo nimemchunguza kidogo sana ila nikasema sawa tu, akawa anakuja kwangu anapika, anafanya usafi kuna muda ni kama alihamia tu kwangu kabisa
Tofauti sasa nikaanza kuiona rachel kwao ndo tegemezi kwa hiyo bills zote nikawa nalipa mimi kupitia yeye, mara sijui ana michezo anadaiwa, yaani vitu ambavyo sikuzoea kutoka relationships za nyuma, ila nikawa siwazi kwani financially nilikua sipo vibaya na nawaza huyu anabeba mtoto wangu sitaki apate stress, sasa kuna siku nipo kazini, ikaingia sms namba mpya "mwanangu mna mpango gani na mwenzako na hio hali yake mtakuja lini kujitambulisha?"
Nikawa kama sielewi elewi hivi, jioni nikamuuliza rachel hii namba ya nani akaangalia akasema hii ya mama nilimpa namba yako, nikabaki nashangaa, nikaanza kuona red flags, mbona kama uswahili sasa huu, mama mkwe anaanza kuntafuta mimi alafu tena kwa sms, nikasema something is not right hizi familia nazoingia huku nitanyooshwa tu
Hii story nzuri sana, nadhani ni story ya kufungia mwakaBampa to bampa
Haha uzuri wake wengi wameshamuelewa ila ndio hivyo ataondoka kwa hizi kero na hili naliweka wazi kabisa. How will I be happy with all these disappointing thing in entire of my life.? The wedding lock bado sana kwangu labda kwenye 40's hukoMkuu umeliwa na usipoangalia hicho kibarua kitaota nyasi
Jana nimemaliza season 1, kua mvumilivu tu mkuu story haishii kwa rachel tu, ila ntajitahidiInabidi utimize ahadi yako,ulihaidi kuimaliza saa saba usiku jana . Ukweli mgumu lakini wanaume tunaongea yaliyonyooka.
Ulikutana na vichwa zaidii yako nacheka mnoJana nimemaliza season 1, kua mvumilivu tu mkuu story haishii kwa rachel tu, ila ntajitahidi
Tulia dada hii story bado sana yanii hapa ni trela tu, ngoja niandike hata episode moja hapa nikiwa napata kinywaji kidogoUlikutana na vichwa zaidii yako nacheka mno
Maisha bana, jamaa ana kistori flan hivi Kama movie, Kisha Kisha nyingii? Anyway mim naomba MUNGU nipate mwanamke mwema, awe mzuri, asiwe mzuri, awe mweupe, awe mweusi, awe bikra asiwe bikra vyovyote vile naomba mwanamke mwema I'll be loyal to her.Episode 6
Hapo akili ikaanza kuwaza kwa kasi, nikakumbuka kuanzia Mary namuona kule shuleni kwao, that innocent girl leo hii anakua hivi kwasababu yangu, nikajikuta chozi linatoka,nikamtumia sms, nakuja mke wangu nakupenda, sikuaga hata mtu nikaondoka zangu ofisini kwenda nyumbani, hapo samira nae anapiga simu sipokei, sms sijibu, ikaingia roho nikaanza kama kumchukia tena samira, ila nikawaza she is just another innocent girl mimi ndo mwenye makosa, hakuna namna ya kurekebisha hapa....huyu nae akijua, amejitunza kote huko leo hii ajue nilimtoa usichana kumbe nina mke, nikasema hapa there is no winning nimejichanganya tu tena sana
Nafika home nakuta Mary ashalewa tena, analia tu, dah nikasema ndo maisha gani haya tena, ikawa hakuna namna nambembeleza tu ikabidi pombe zote nitoe ndani nikazifungia kwenye gari, imefika muda nikatoka kwenda kumtafutia chakula nae katoka kuna grocery pembeni kaenda kanunua wine tena, narud hayupo kumkuta ndo huko tena analia tu watu wanamshangaa nikajiskia vibaya sana, sikuwahi kumuona hata amelewa tangu nimjue, nikambembeleza tukaenda home, yule dada wa grocery akaniambia mdogo wangu badae uje
Nikarudi home Mary kula akagoma nikambembeleza akawa amelala, nikatoka mpaka grocery hapo kichwa kina moto nikabugia konyagi ndogo kwanza bila hata kupumzika, yule sister wa grocery alikua mshkaji wangu kiaina ila Mary hakua na mazoea kabisa na majirani, ananiuliza kulikoni wifi kafanyaje ikabidi nimueleze tu ilivyokua, nae akaanza kunchamba na mwenzake "kaka una mke mzuri hivo anafanya kazi nzuri unataka nini tena"
Akili ikaruka, kazini sijaaga, kuna Mary hapa sijui nadeal nae vipi, Kuna samira hapa nae namfanyaje, aisee sikuwahi kua na siku nzito kiasi hiko
Sawa 😂😂Tulia dada hii story bado sana yanii hapa ni trela tu, ngoja niandike hata episode moja hapa nikiwa napata kinywaji kidogo
stor nzur sana tuko pamoja mpk iisheeeJana nimemaliza season 1, kua mvumilivu tu mkuu story haishii kwa rachel tu, ila ntajitahidi