Ushawahi kujichanganya kimapenzi mpaka ukawa unawaza hapo nyuma ulikosea wapi?

Dah pale unapodhani patrickk anaelekea kupata nafuu majanga ndio yanazidi kuongezeka pole sana mkuu mpaka ukawa teja sio mchezo pole sana, kweli ulijichanganya mpaka ukawaza hapo nyuma ulikosea wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…