Ushawahi kujichanganya kimapenzi mpaka ukawa unawaza hapo nyuma ulikosea wapi?

Ushawahi kujichanganya kimapenzi mpaka ukawa unawaza hapo nyuma ulikosea wapi?

Endelea kushusha vitu mtoto mzuri
Huyu ndio Grace?
1735289921264.jpg
 
S3 episode 4



mimi: Grace tena??? kwani kuna nini mama mbona sielewi

mama mkwe: hakuna ila simuelewi tu huyu Grace mbona tumekuja huku amekua tofauti sana, na walikua wanakwepa tu na kuja huku, nawaona kama wote hampo sawa



nikacheka kidogo afu nikamwambia "mama mimi na Grace tena? naona mama ushaanza kuzeeka wewe sasa"


akaniambia haya mwanangu usijiskie vibaya tu nimeona hampo sawa ikabidi nikuulize,

nikacheka tena nikamwambia mama hebu acha mawazo hayo utajipa uzee bure nae akacheka tukaishia hapo tukarudi ndani, hapo sasa mapigo ya moyo yanaenda mbio nawaza mmmh huyu mama mpaka anauliza hivo hapa kuna jambo kaona si bure, tukakaa pale kidogo badae nikawatoa tukaenda mahali pametulia tu tukaagiza vinywaji pale mimi kama kawaida napiga zangu kali mama mkwe yupo na wine(ndo mara ya kwanza namuona anakunywa) G na mtoto wapo na juice zao


basi hio siku tunapiga tu story na mama mkwe kutaniana hapa na pale, uzuri huyu mama katika kitu nilichompendea hakuwahi kabisa kukaa na mimi tukaanza kuongea mambo ya rachel tena, basi katika maongezi mama mkwe nae kachangamka akaanza kuniambia "mwanangu kweli Mungu hachagui wakati wa kukupa, ona sasa Mungu amekuleta ushakua kama ndo mwanangu mkubwa yaani nichukulie kama mama yako ukipata jambo usisite kuniambia"


nikamwambia sawa mama na mi huku npo ugenini nimepata mzazi chochote kikinisibu ntakushirikisha, hapo najitahidi sana hata G kutomwangalia kabisa maana nilishaona huyu mama ni mdadisi sana, basi tukakaa pale badae nikawapitisha supermarket nikawanunulia vitu kidogo pale nikawapeleka nyumbani mi nikaondoka zangu



Moyo wa binadamu sasa nao sijui ukoje, kwa mbali nakaa naanza kumuwaza G natamani hata anitumie sms lakini wapi, na mi kumtafuta tena naona sio maana karibu wiki 2 hata kunjibu ilikua hamna, nikaenda home nimekaa tu kila nachofanya naona hata hakiendi, imefika kama saa 4 usiku G ndo ananitumia sms " kaka asante, siku ya leo imeenda poa sana kwangu"

nikakaa nikawaza nikawa najiuliza hio kaka tena vipi, anyway nikapotezea badae nikamjibu "karibu, vipi mshalala?"

G: mie bado nipo macho ila mwanangu ameshalala

nikamjibu sawa mie bado nipo nipo tu hapa ntalala badae


badae nae anauliza hivi mama mlitoka nje mlienda kuongea nini? nikawaza, nikamwambia wala hata hakuna jambo la maana.... akajibu " mmmhh wala hata sikuamini".... hapo nakua na mashaka hata kuongea nae sana maana bado nawaza maneno ambayo mama yake aliyoniuliza mchana....


tukaagana pale siku ikawa imepita, siku zinaenda G huku kwangu wala haji tena, akituma sms ni kama za kunchora tu yaani ikawa ni " kaka shikamoo, unaendeleaje na nini..... na mi nikasema sawa kama ndo anavyotaka tuendelee huko huko tu nikawa namuitikia tu tunaongea kawaida wala hakuna anayemkumbushia mwenzake nini kilitokea


zikapita kama wiki 2 kuna siku mama mkwe alikua anaenda sijui kwenye shehere gani naona G ananitumia sms

"kaka mama leo hayupo tutakuja kulala huko na D"
Kukumbuka Conversation za Matukio ya miaka 2+
 
S3 episode 6

nimjibu kwani nilikua mbaya siku zote? akawa ananiambia hapana bana endelea kua ivo ivo tu kaka, basi hapo na mi nishaanza kupata goosebumps najikuta tu namuwaza G, mapenzi shikamoo


ikaanza phase mpya sasa na G, sio mapenzi wala nini lakini tunajikuta tunachat tu muda mwingi nikiwa sipo nae, ila sio mambo ya mapenzi wala nini, utani wa hapa na pale.... mara kaniambie ujue dada atakuja kuniua patrick, mara kaanze kusema yule mwanamke wako aliyekuja ile siku ile sitaki tena kumuona kwangu.... basi tu utani wa hapa na pale


hapo na mimi nazidi kujenga trust tu, sionyeshi kutaka sana mambo ya mapenzi, kila nikipata nafasi siachi kuwanunulia zawadi hata kama ni vitu vidogo vidogo nae anajikuta tu kama anaanza kunipenda ila sasa anakua muoga kuniambia wazi


upande wa kazini napo Mungu anasaidia hali si mbaya kibanda changu nazidi kukiendeleza, nikipata nafasi siku ntawachukua G, mtoto mama mkwe tutaenda kuangalia basi wanafurahi tu, weakness nyingine ya G niliyokuja kugundua ni jinsi alìvyokua anaona mama yake anavyonipenda na kuniamini, siku hazigandi muda unaenda hapo ni kama G alishaniamini sana tu


sasa kuna siku G ananiambia leo tutakuja kulala huko kwako ongea na mama basi, basi nikiwa kazini nikampigia mama mkwe namwambia leo watume hao waje huku sasa nataka jioni niwapeleke mahali wakale akaniambia sawa hakuna shaka mwanangu


huyu mama nikawa nasema niende nae kwa makini maana ni kama alipata mashaka mara ya kwanza sitakiwi kuondoa trust yake kabisa, basi hio siku nikamuambia G nyie tangulieni mkiweza upike kabisa ntachelewa kurudi leo, badae akanijibu akaniambia sawa ila sitaki uchelewe, nikawaza mmmhh huyu leo ana nini acha tu tutaona


nikatoka kazini narudi home nakuta pako pasafi kabisa tofauti na siku zote , kashapika chakula kipo mezani wanaangalia tv, nafika hapo G ananipokea nikawa nawaza leo hapa shughuli ipo, nikakaa nao kidogo nikaenda nikaoga tukaja kula pale, kaa kaa sebleni badae mtoto akawa anasinzia G akaenda nae akamlaza mi nimebaki zangu sebleni, badae akaja mi npo tu na simu pale akakaa kimya, nikamwambia njoo basi mbona unakaa mbali, anazuga zuga pale ananiambia mbona hapa hata sipo mbali..... hio siku nikasema leo hapana ya nini kujitesa huku, nikamwambia njoo karibu kuna kitu nikuambie... akajivuta vuta pale badae akasogea.... nikamvuta karibu pale tutakiss kama dakika hivi anahema tu, sasa hii ndo ikawa first kiss maana ile siku ilikua vuta vuta hakuna romance wala nini, sasa badae akanisukuma akaanza niuliza hivi kaka una mpango gani na mimi???


weird question!! hakuna kitu sipendi kuulizwa kama hiki, nikamuambia tupo wote leo mbona una haraka sana leo mbona tutaongea mambo yote wala usijali, akaanza kujingata ngata pale ananiuliza hivi unajua mama ataniua mimi akijua na mambo mengine kibao, nikamwambia hebu relax kabisa tutajua tu cha kufanya



badae tukakokotana hao mpaka chumbani ndo ikawa first sex kabisa na yeye akiwa amerelax, basi sex sana pale na kupeana ahadi za uongo na kweli pale vitu ambavyo hata kesho pengine huwezi kumbuka, badae tutaenda mchukua mtoto room ile nyingine tukaenda kulala


kesho ratiba zangu kama kawaida nipo kazini nawaza hivi mwisho wa hii ishu ni nini? nikawaza sana nikawa sielewi, hapo G nae sms za mahaba tu kila saa namjibu fresh tu mapenzi kiutani tani yakaanza


ikaendelea hivo kama the next two weeks hivi kila akipata chance anakuja tunasex na nini, nakumbuka tu kitu nilichofanya ni kuzingatia kujua circle yake ya hedhi nisije chekesha dunia.... mambo yakaenda poa tu mpaka siku ambayo ilikua birthday yangu hapo ndo balaa likaanza sasa



mimi sasa sio mtu wa ma party wala nini, nakumbuka niliwatoa out G na mtoto tukaenda mahali tukala piga piga picha za hapa na pale, badae jioni mama mkwe akaja tukakaa pale mpaka usiku flani ivi nikawapeleka kwao mi nikarudi kulala


mapenzii kikohozi sasa, kumbe usiku ule G kapost picha yangu tukiwa nae na mtoto akaweka caption "family" na hio siku G kuna kofia yangu nilikua naipenda sana alikua amevaa, kumbe jini langu Rachel likaona ile status bana.... japokua haikua mbaya sana ila akawasha moto kuanzia kwa G mpaka kwa mama mkwe.... hapo mi sijui kitu....



asubuhi naamka nakuta sms kama zote kutoka kwa G na rachel, G analalamika kwamba jana dada kanitukana sana na maneno kibao yaani, rachel nae huku kaniandikia sms kibao nyingi tu kuna moja anasema " naona umalaya wako umehamishia kwa mdogo wangu"


hapo rachel namba nilishafuta ila nilijua ni yeye maana namba nilikua najua inaishia na ngapi, basi sikupanic nikarelax tu nikampigia G namuuliza kuna nini kwani ndo ananiambia kuna picha nilipost tu dada kanitukana sana na mama nae kaniuliza maswali mia kidogo, nikamuuliza mama umemwambia nini anasema sijamwambia kitu kwanza mi nimemwambia siwezi kufanya ivo.... nikamwambia sawa badae ntakuchek tutajua tunafanyaje



basi haikupita muda sana nipo kazini napata sms kutoka kwa mama mkwe

"mwanangu ukitoka kazini tuonane nina kikao na wewe"
"Kikao kazi baba,,"
 
Yaani Shauku ya Wafatiliji hii Stori ni kusikia katoto ka watu (G) kanatafunwa hata bila chumvi,, Kuna watu wamesogeza viti vyao siti ya mbele kabsa kushabikia Katoto ka watu kanavyovurugwa😡😡
Nipo kwenye bench za Bugando hospital nafuatilia episodes za uzi kusogeza muda.
 
Back
Top Bottom