qarem
JF-Expert Member
- Oct 19, 2018
- 626
- 825
Hivyo vizee ni vihuni vya zamani kwanza kwa ujumla wake hio familia umeilea sana wengine wasingefika huko.. kingine hakuna ubaya,ubaya ulikua kumpiga mimba ila kwakua ulikua ushaachana na dadake huyo G ungeoa fresh tu,!!japo naona complications ni nyingi ila haikua na ulazima kufika kote huko!!
Sema ndio kama ilivyo tunatofautiana kimila na desturi..watu wa kanda ya ziwa ni complicators sana!! Wanahisi hao watoto wao sijui nyuchi zao zina free WiFi au kuna nini cha ajabu nashindwa elewa.
Sema ndio kama ilivyo tunatofautiana kimila na desturi..watu wa kanda ya ziwa ni complicators sana!! Wanahisi hao watoto wao sijui nyuchi zao zina free WiFi au kuna nini cha ajabu nashindwa elewa.