Ushawahi kujichanganya kimapenzi mpaka ukawa unawaza hapo nyuma ulikosea wapi?

hii tabia yakuleta stori na kupotea au unaweka viepisode viwili na visababu mara muda mara sijui maujinga gan ni mambo ya ajabu au ni mambo yakike. kama unaona huna mda husianzishe stori subiri hadi uwe na mda ndo mlete vistori vyenu. shain... nyi ndo mkifanikiwaga kupata viela flan vya kubadilisha mboga mnaanza kuringa. mbna mnavoanzaga stori hamsemag kama mda hautosh?
Punguza jazba Mzee, Leo ni siku ya kazi chief
 
JAMAN WENYE VISA VYENU SHUSHENI ATLEAST UZI UWE UNATEMBEA MANA JAMAA KASHAJIKUTA SUPERSTAR YANI WATU TUNA AROSTLE YE ANAWEKA VI EP VIWIL ANATULIA. SEMA HAWA WATU WENYE VISTORI VYAO WANA NATA BALAA.
Wanakuwa wanatongoza na vibinti vyetu humu hawa jamaa..., kwahiyo tuvumilie tu akague walau wawili watatu mkuu 😂😂
 
hii tabia yakuleta stori na kupotea au unaweka viepisode viwili na visababu mara muda mara sijui maujinga gan ni mambo ya ajabu au ni mambo yakike. kama unaona huna mda husianzishe stori subiri hadi uwe na mda ndo mlete vistori vyenu. shain... nyi ndo mkifanikiwaga kupata viela flan vya kubadilisha mboga mnaanza kuringa. mbna mnavoanzaga stori hamsemag kama mda hautosh?
Huyu jamaa ni Miongoni mwa Wachache Walionogewa saaaaaana na hz Episodi, zimemnyege...sh aafu akatishwe juu Kwa juu anaona km Ukatiri flaani hv,, 🤣
 
hii tabia yakuleta stori na kupotea au unaweka viepisode viwili na visababu mara muda mara sijui maujinga gan ni mambo ya ajabu au ni mambo yakike. kama unaona huna mda husianzishe stori subiri hadi uwe na mda ndo mlete vistori vyenu. shain... nyi ndo mkifanikiwaga kupata viela flan vya kubadilisha mboga mnaanza kuringa. mbna mnavoanzaga stori hamsemag kama mda hautosh?
🤣
 
Back
Top Bottom