Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
Thanks for coming...Karibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thanks for coming...Karibu
Thanks for coming...Karibu
Ewaaa! Hapa sasa safiSeason finale
Jasiri haachi asili, nipo zangu njiani hapo Nina happy pill Moja kichwani na mzigo nimeubeba kwenye gari, Sina plan yoyote nikifika Sasa nafanyaje huku naondoka tu maana sielewi naona Kila siku Kuna jambo halipo sawa, nikiwa njiani jirani anapiga hapo naanza kudebate kichwani nipokee au nisipokee, badae napokea anauliza uko wapi namwambia nimesafiri mara Moja, basi anaanza kujielezea pale na nini mi namsikiza tu, anasema kwanza huyu mwanaume tume break up siwezi kua na mtu ananifatilia fatilia ivi, kichwani nawaza Sasa huyu nae mtu anakulipia apartment na bills zako hutaki akifatilie, stupid!!! Nikamwambia jirani badae basi tutaongea......
Mungu ni mwema nimefika salama pale napokelewa na mama na familia pale, Kuna vitu niliwachukulia nikavishusha pale basi wakawa na furaha, G nae hapo ndo ukweni mavazi ya heshima kweli anavaa nikawa nacheka tu moyoni nasema kweliii..... Tukaongea ongea tu pale na mama, nikakaa na watoto pale badae nikatoka nikaenda mtaani catch up na washkaji wa mtaani pale muda ukawa ushaenda nikarudi home tu pale, nafika nikala nikaenda kulala, G nae Sasa hapo akaanza kuniomba msamaha kaondoka hajaaga nikamwambia usijali tutayaongea tu haya.... Kesho yake imefika naona dogo wanamuandaa anaenda shule na uniform anazo kabisa nikasema hee huyu tena hawakuniambia hata anasoma shule gani sa ivi, likapita gari la shule akaondoka,nimezuga zuga pale naona pametulia tu mimi huyo nikatoka zangu
Nimekaa kidogo mama huku anapiga vipi uko wapi Sasa Kuna mtu amekuja hapa tuanze kukusaidia na we haupo, Sasa hapo nawaza nikawa sielewi, mama ni mtu flani wa dini kiasi, nawaza Sasa kama ni mganga sijui ndo kaamua kumleta nyumbani? Tangia mimi Nakua sijawahi hata kuskia anaongelea mambo hayo imekuaje tena, anyway nikasema watu wazima Wana Siri zao huwezi Jua acha niende tuone inakuaje......
Mimi huyo mpaka home, nafika kwanza nikawa sielewi, kumbe bana mama Kuna kikundi kanisani Chao Cha maombi, yaani kiufupi kimehamia nyumbani pale, kwaya zinapigwa pale watu wengi kama nini Kila mtu kashika biblia yake, kiufupi kanisa ni kama limehamia pale, nikasema eh Leo Sasa kazi ipo
Wasilimia pale, watu hawataki kupoteza muda, zikaanza nyimbo za kuabudu pale na nini, badae kijana wenu nikawekwa mtu kati pale aisee zilipigwa Sala acha kabisa, kama kuombewa aisee Ile siku niliombewa vibaya mno, badae nikaenda chumba nipo Sasa na huyu mkubwa wao wa maombi akaanza kunielezea Sasa mambo mengi kaonyeshwa sema ilikua general Sana hakua specific maana tu ananiambia Kuna mwanamke ulimuacha hajakubali ndo anapambana vita ya kiroho na wewe..... Nikaombewa tena pale, wakipumzika kidogo narudishwa tena mtu kati ni mwendo wa Sala tu yani....
Nikajua basi yameisha, aisee mwendo ukawa siku tatu wanakuja pale asubuhi wanaondoka jioni ni mwendo wa Sala tu kijana wenu nishapigishwa Toba kama zote yani, baada ya siku 3 naanza Sasa kuaga niwachukie tu familia yangu turudi Sasa mwanza maana na muda wa kazi unakaribia, ba mdogo ananipigia yupo njiani bi mkubwa alimlazimisha kuja tukae kikao Sasa, ba mdogo Kuja kufika ikabidi tukae kikao Sasa ila sister ye hayupo yupo mkoa mwingine kwake huko
Kikao kinaanza Sasa na G hapo kaitwa bila kumsahau mkubwa wa kile kikundi Cha maombi, mama akaanza kuelezea mambo mengi pale kuanzia alivyotulea na nini mpaka Mzee akapumzika, akaanza Sasa kusema nimemuita na baba Yako mdogo maana najua akili zenu nyie zinafanana hamchelewi kwenda kujazana ujinga wenu, mama akaniasa Sana kuhusu familia yangu pale na kuachana na mambo ya kijinga, nikifika mwanza nitafute kanisa permanent la kusali nimuanganishe sijui na huyo mchungaji na mambo mengi tu tukaongea pale....
Sasa inafika muda wanataka nimuombee G msamaha pale tusameheane mbele Yao nikaona huu Sasa ujinga, kama kawaida ba mdogo pale fasta akaangilia akawa anasema huyu(G) Sasa ndo anatakiwa kuomba msamaha pale aliondokaje bila kunipa taarifa, kama kawaida ba mdogo lazima atanisupport tu, basi yule Mzee pale akaingilia tukaongea yakaisha kawaida tu pale...... Kesho tukashinda pale kesho kutwa yake nikawachukua familia pale safari ikaanza.....
Hapo Sasa nimeacha mavitu yangu? Hapana!!! Ntajificha tu natumia ila nikawa nimejiahidi ntaachana nayo, tumefika mwanza hapo Sina kinyongo na G tumekua tu Sasa kama zamani walifika nyumba yenyewe Iko rough hapo ni kupambana na usafi tu, yule dada jirani nilikuja kumblock lakini nikawa najua G atapata ubuyu tu maana mtaani tena watu hawana dogo.....
Ikafika muda nikaenda kuripoti kazini, nikawa jumapili najitahidi tunaenda kusali na familia, hapo Nina Siri ya addiction yangu hata home ntajifungia kwenye gari ntatumia vitu vyangu basi sitaki mtu ajue, G ugomvi mkubwa Sasa ikawa ni swala la chakula, hapo Sina hamu nikawa kama mtoto Sasa muda wa kula ni vita basi sitaki kumkwaza najitahidi tu ivo ivo
Nimekaa kazini kama mwezi hivi Kuna siku nimeitwa kule Kwa mkurugenzi naenda namkuta yupo na bosi mwingine sehemu kitengo tofauti, kwanza akiniuliza uko sawa sa ivi namuambia tu nipo sawa Kwa Sasa, basi Kuna project Moja akawa anatuelezea pale na yule boss mwingine Sasa, badae akasema hii project nataka iende clean kabisa mpaka iishe, na Ina vishawishi vingi mnaweza kwenda kuhongwa huko mkaharibu hii kazi, akasema anatoa package ya marupurupu tofauti kabisa ya mshahara wala bonus za kazi, tukae tutafakari kama tutaweza ifanya, mtu akiona hawezi ni Bora aje aseme akawa ametupa siku 3
Milango ndo ikawa kama imefunguka Sasa ukiangalia hizo package nikasema huu mwaka wangu, Sasa kutoka ofisini pale yule boss akaanza kuniambia kijana huko ulipoenda ni hatari itabidi unipeleke aisee, namuuliza kwanini akasema hio Dili watu wamepambania Sana watu wametembea Sana Kwa watu wao inakuaje mimi natoka likizo tena ya probation nakuja kulipata kirahisi, basi mi namuambia hakuna kitu jamaa akawa hataki kabisa kuniamini....
Project ilikua kama miezi nane, hapo sisi ofisini tunakuja mara 2 tu Kwa wiki kutoa ripoti tena utawala kule sio hata kwenye department zetu, aisee hicho kipindi nilipata Sana Hela sidhani kama naweza kuja pata project kama Ile tena, maana tulifika kule tu siku ya kwanza wanaosimamia mradi wao yaani walituchana live kabisa kua hapa tukileta ujinga kwenye kuingiliana kimaslahi atakufa mtu, Kwa io kupiga deal hapa na lazima kama hutaki we Fanya kazi ila ukileta u snitch watu wako na wewe
Ofisini kule tunalipwa extra ili tusilete tamaa na huku mnapiga yaani Dili nzito nzito Kuna Hela unapewa mpaka unaogopa aisee, Kwa kifupi nilifanya Sana maendeleo ya kimaisha kipindi icho, nime struggle na addiction zangu Mungu akasaidia badae nikaacha zile pills Kwa shida ivo ivo na hayo ma tambuu, pariki mpaka na Leo mara Moja Moja Sana nikipata natumia....
Sasa na mimi kipindi icho Nakua busy na kazi alafu Wanawake nikawa nawaona kama downfall yangu tu najua nikianza mambo hayo tena ntaanguka shimoni, nipo na G wangu tu Raha Sana unaishi na mkeo kama mdogo wako, hua sijui hata maana ya kufokewa Wala kununiwa na mke naskia Kwa watu tu Mungu asaidie yasinikute..... G nae hata mtoto hajakaza kutembea mimba nyingine hio😀, Mungu akaja saidia akajifungua mapacha, hapo Rachel alishaenda dar huko akaolewa nae akajifungua mtoto huko at least mapicha picha yakapungua......
Kazini mambo yakawa yanaenda sawa tu mpaka ma elite wale wanajifanya maboss tukaanza kupatana, maana sisi ndo " boots on the ground" Dili zote za kupiga Hela lazima zitapita kwetu tu ofisini huko zaidi ya kula ac utapiga deal gani Sasa, Kwa Io michongo yote ikawa inapitia kwetu tunakula nao wao wanatubeba kwenye ripoti tu....
G Sasa hivi kamekua kajanja kweli ana duka la accessories zote za watoto, nguo,toys,suppliments,viatu n.k( wateja mkaribie Sasa), mimi namshukuru Mungu kiasi chake kanifanyia mema mengi Sana, pombe Bado tunakula Kwa Kiasi chake, madhara makubwa niliyoyapata hayo mavitu yame suppress appetite yangu sana, sio mtu wa kula kabisa, alafu usingizi Sasa mi nikilala masaa matatu yananitosha kabisa , muda mwingi usiku nikiwa na Simu utanikuta nipo reddit najifunza mambo mapya tu .......nimefanya ku summarize Ili iishe tu hapo katikati hekaheka hazikosekani
Xmas ya juzi hapo, unajua mtoto akishakua mkubwa akili itamjia tu, huyu mwanangu mkubwa ashajua G sio mama yake mzazi japokua anamuita mama na wanapendana kweli, basi sijui ikawaje hio siku akamtamkia G Sasa " niache kwanza nataka Nije niende Kwa mama yangu" nikawaza nimchape pale nikaona na Xmas hii, nikampeleka mahali tumekaa pale Kuna vitu nikamuelezea akawa amenielewa, hapo kichwani nawaza kua na wewe mwanangu utakutana nayo tu.....
Xmas nipo na ba mdogo kubwa la maadui tumechinja na familia tu pale na mama mkwe alikuwepo at least Sasa npo nae sawa, nikawa nawaza Sana mambo mengi niliyopitia Kwa mbali nikawa kama napata huzuni, ila badae nawaangalia wanangu wote wanne, nikasema bila hizi Heka Heka nilizopitia Hawa wasingekuepo, nikawaangalia tena wanangu nikapata roho ya aamani, nikajiambia, this is my family,my clan!!!!
alamsikh..... Mwisho!!!
Kumbe kamechangamkaClarification- hii story ya mary nimeiandika juu juu tu kwani sio mlengwa halisi wa hiki kisa
EPISODE 2
Basi bana nakumbuka kuna sherehe nilihudhuria ilikua birthday party ya co worker mmoja ivi nikakutana na huyu binti wa kisomali hapa nadhani ndo masaibu na mikosi ya maisha yangu yalianzia hapa.... Hiyo siku tulifanya party tu wala hatusemeshana na huyo binti, ila ali catch sana attention yangu maana alikua binti mrembo haswa, tukirudi kwenye maisha ya chuo sio kwamba sikuwahi kucheat, ila nilifanya hivo na mabinti ambao niliwaweka wazi kabisa kuwa nina serious relationship wasitegemee chochote kutoka kwangu kwamba tunaweza kua serious, after that party nikapotezea kuhusiana na huyo binti( tumuite Samira)... Kumbe Samira alikua amekuja na rafiki yake mmoja ambae anadate na huyu mfanyakazi mwenzangu ambae ndo alikua na hio shehere
Huyu jamaa sikua na mazoea nae sana zaidi ya kikazi,maana wao wakitoka job walikua wanapenda kwenda pale new africa casino wanapiga zao mitungi mpaka foleni ilegee ndo wanaondoka, sasa mimi hio lifestyle sikuweza kwenda nao sawa maana nilikua tayari naishi na Mary ni kama nilikua nishaoa na kumbuka usafiri naotumia mary nae ndo alikua anautegemea.... Sasa kumbe huyu mfanyakazi mwenzangu( tumuite John) yeye bado akawa anakutana na huyu Samira na rafiki yake Samira ambae ni mpenzi wake na John, sijui sasa story zikaanzia wapi kumbe yule Samira akawa ananidadisi kwa huyu mshkaji john kila wakikutana, ikaenda mpaka wakaanza matani kila wakikutana Samira anamtania msalimie Mume wangu Patrick!!! Hapo mi sijui lolote na wala jamaa hakuwahi kuniambia chochote....
Baada ya muda huyu jamaa John tukaanza mazoea flani tukawa weekend nyingi tunapiga wote vinywaji japo nilikua najitahidi sana kumkwepa, ikaenda hivo mpaka siku akaniita jangwani kipindi hicho pa moto moto nikaenda nipo mwenyewe, nikamkuta yupo na mpenzi wake na huyo binti Samira nae alikuwepo, mabinti wameagiza juice jamaa anakunywa grants( kipindi iko bado vijana na mshahara na posho ofisini ilikua si haba).... Ile nafika nikawasalimu kisha nikaketi, huyu samira akawa anaongea kwa utani "afadhali leo Mume wangu amekuja maana kila siku natuma salamu hata sijibiwi"
Nikawa confused kwanza ila nikajikaza nikakausha tu, nikaagiza glass tukaanza kupiga shots pale mshkaji story nyingi ndo nikajua wale mabinti wako mwaka wa pili TIA pale, hapo nikawa nampiga jicho Samira la kuibia ibia mpaka nadhani akawa kama kashtuka ivi, nikaona hapa niskae kinyonge nikawaagizia chakula wakakataa wakidai wametoka kula basi nikaongeza tena pombe pale na wao nikawaongezea juice, sasa baada ya muda john nae pombe imeanza kukolea akawa anamwambia huyu samira " haya patrick huyo hapo nimechoka kila siku unatuma tuma"...
Akili yangu ikaclick tena nikawaambia mbona siwaelewi, ndo john akaanza kuropoka " bana huyu kila siku haishi kutuma salamu kwako bora umekuja leo muongee wenyewe tu" nikawaza mbona mshkaji hajawahi kuniambia au ndo alikua ananbania white, hapo nikaweka shots kadhaa nina confidence kiaina nikamgeukia yule binti nikamwaambia hebu chukua namba zangu salam zangu unipe mwenyewe basi akaandika namba kwenye simu yake akasave....
Sikukaa sana maana Mary alishaanza kusumbua nachelewa nikaaga pale mi nikaondoka zangu, nafika home ile nafungua simu nakuta samira kantumia picha zake kama 10 ivi wala hakuna ujumbe wowote, huyu mtoto alikua mzuri huwezi amini mpaka leo picha zake kuna mahali ninazo nilishindwa kuzifuta.... Nikaangalia zile picha nikawa ninawaza hapa kazi ninayo, sema nikawa najipa moyo Mke tayari ninae hapa nikipita siangalii nyuma... Nakafungua zile picha zote sikujibu chochote nikakaa kimya tu
Kesho nipo kazini, ikaingia text kutoka kwa samira "Mme mbona jana hukujibu au ulipitia mchepuko huko nini"... Nikawaza sana badae nikamuita john nikawa namdadisi kuhusu huyu binti, nikamuuliza john ina maana katika maongezi/utani wenu hujawahi mwambie huyu binti naishi na mwanamke mimi, jamaa akasema hajawahi hata kumuambia hilo swala, hapo na mimi nipo kwenye denial mode tu ila akilini samira kashaanza kuniingia... Nikawaza nikasema potelea popote acha liwalo na liwe
Nikawa sio mtu wa mazoea ya kuchat nae kwenye simu sana mpaka weekend moja nikamtafuta tukaanza kuchat
Mimi: hujambo mke
Samira: sijambo mme, loh mwanaume ndo leo umenikumba
Mimi: kukuwaza nakuwaza sana sema nakua busy na kazi na kupambana na maisha, vipi leo una muda nataka tuonane
Samira: sijaweka vizuri ratiba zangu ila inategemea una shida gani na mimi labda naweza kuadjust ratiba
Mimi: nataka leo nimtoe mke kwenye first date ikiwezekana tuvunje kabisa undugu leo tuzindue penzi letu
(Kumbuka hapo mi naenda resi maana binti mwenyewe ndo alianza kuonyesha kunitaka)
Samirah: Patrick hivi uko serious kweli?
mimi: nipo serious sana tu we jiandae niambie saa ngapi nije nikufate
samira: Mungu wangu Patrick mi napenda utani sana sikutegemea kama we utachukulia serious kiivo, mi nakuona kama kaka yangu sio tofauti na hapo na mimi na mtu anayekunywa pombe wapi na wapi
Heeee!! Nikabaki nashangaa tu, huyu mtu mbona simuelewi hata, mbona ye ndo ameanzisha haya mambo leo hii anaruka kiasi hiki? Basi nikashikwa na hasira pale nikapotezea, huku Maisha na Mary yapo poa kabisa wala hakuna dosari yoyote ile, nikawa nawaza kwanza nahangaika nini wakati nina mke mzuri kabisa ambae hajawahi hata kunisumbua, aisee kumbe nilikua sijui kinachonisubiri mbele
Poleee dearUmeniedit sikuandika hivo sijapenda
Good job indeedSeason finale
Jasiri haachi asili, nipo zangu njiani hapo Nina happy pill Moja kichwani na mzigo nimeubeba kwenye gari, Sina plan yoyote nikifika Sasa nafanyaje huku naondoka tu maana sielewi naona Kila siku Kuna jambo halipo sawa, nikiwa njiani jirani anapiga hapo naanza kudebate kichwani nipokee au nisipokee, badae napokea anauliza uko wapi namwambia nimesafiri mara Moja, basi anaanza kujielezea pale na nini mi namsikiza tu, anasema kwanza huyu mwanaume tume break up siwezi kua na mtu ananifatilia fatilia ivi, kichwani nawaza Sasa huyu nae mtu anakulipia apartment na bills zako hutaki akifatilie, stupid!!! Nikamwambia jirani badae basi tutaongea......
Mungu ni mwema nimefika salama pale napokelewa na mama na familia pale, Kuna vitu niliwachukulia nikavishusha pale basi wakawa na furaha, G nae hapo ndo ukweni mavazi ya heshima kweli anavaa nikawa nacheka tu moyoni nasema kweliii..... Tukaongea ongea tu pale na mama, nikakaa na watoto pale badae nikatoka nikaenda mtaani catch up na washkaji wa mtaani pale muda ukawa ushaenda nikarudi home tu pale, nafika nikala nikaenda kulala, G nae Sasa hapo akaanza kuniomba msamaha kaondoka hajaaga nikamwambia usijali tutayaongea tu haya.... Kesho yake imefika naona dogo wanamuandaa anaenda shule na uniform anazo kabisa nikasema hee huyu tena hawakuniambia hata anasoma shule gani sa ivi, likapita gari la shule akaondoka,nimezuga zuga pale naona pametulia tu mimi huyo nikatoka zangu
Nimekaa kidogo mama huku anapiga vipi uko wapi Sasa Kuna mtu amekuja hapa tuanze kukusaidia na we haupo, Sasa hapo nawaza nikawa sielewi, mama ni mtu flani wa dini kiasi, nawaza Sasa kama ni mganga sijui ndo kaamua kumleta nyumbani? Tangia mimi Nakua sijawahi hata kuskia anaongelea mambo hayo imekuaje tena, anyway nikasema watu wazima Wana Siri zao huwezi Jua acha niende tuone inakuaje......
Mimi huyo mpaka home, nafika kwanza nikawa sielewi, kumbe bana mama Kuna kikundi kanisani Chao Cha maombi, yaani kiufupi kimehamia nyumbani pale, kwaya zinapigwa pale watu wengi kama nini Kila mtu kashika biblia yake, kiufupi kanisa ni kama limehamia pale, nikasema eh Leo Sasa kazi ipo
Wasilimia pale, watu hawataki kupoteza muda, zikaanza nyimbo za kuabudu pale na nini, badae kijana wenu nikawekwa mtu kati pale aisee zilipigwa Sala acha kabisa, kama kuombewa aisee Ile siku niliombewa vibaya mno, badae nikaenda chumba nipo Sasa na huyu mkubwa wao wa maombi akaanza kunielezea Sasa mambo mengi kaonyeshwa sema ilikua general Sana hakua specific maana tu ananiambia Kuna mwanamke ulimuacha hajakubali ndo anapambana vita ya kiroho na wewe..... Nikaombewa tena pale, wakipumzika kidogo narudishwa tena mtu kati ni mwendo wa Sala tu yani....
Nikajua basi yameisha, aisee mwendo ukawa siku tatu wanakuja pale asubuhi wanaondoka jioni ni mwendo wa Sala tu kijana wenu nishapigishwa Toba kama zote yani, baada ya siku 3 naanza Sasa kuaga niwachukie tu familia yangu turudi Sasa mwanza maana na muda wa kazi unakaribia, ba mdogo ananipigia yupo njiani bi mkubwa alimlazimisha kuja tukae kikao Sasa, ba mdogo Kuja kufika ikabidi tukae kikao Sasa ila sister ye hayupo yupo mkoa mwingine kwake huko
Kikao kinaanza Sasa na G hapo kaitwa bila kumsahau mkubwa wa kile kikundi Cha maombi, mama akaanza kuelezea mambo mengi pale kuanzia alivyotulea na nini mpaka Mzee akapumzika, akaanza Sasa kusema nimemuita na baba Yako mdogo maana najua akili zenu nyie zinafanana hamchelewi kwenda kujazana ujinga wenu, mama akaniasa Sana kuhusu familia yangu pale na kuachana na mambo ya kijinga, nikifika mwanza nitafute kanisa permanent la kusali nimuanganishe sijui na huyo mchungaji na mambo mengi tu tukaongea pale....
Sasa inafika muda wanataka nimuombee G msamaha pale tusameheane mbele Yao nikaona huu Sasa ujinga, kama kawaida ba mdogo pale fasta akaangilia akawa anasema huyu(G) Sasa ndo anatakiwa kuomba msamaha pale aliondokaje bila kunipa taarifa, kama kawaida ba mdogo lazima atanisupport tu, basi yule Mzee pale akaingilia tukaongea yakaisha kawaida tu pale...... Kesho tukashinda pale kesho kutwa yake nikawachukua familia pale safari ikaanza.....
Hapo Sasa nimeacha mavitu yangu? Hapana!!! Ntajificha tu natumia ila nikawa nimejiahidi ntaachana nayo, tumefika mwanza hapo Sina kinyongo na G tumekua tu Sasa kama zamani walifika nyumba yenyewe Iko rough hapo ni kupambana na usafi tu, yule dada jirani nilikuja kumblock lakini nikawa najua G atapata ubuyu tu maana mtaani tena watu hawana dogo.....
Ikafika muda nikaenda kuripoti kazini, nikawa jumapili najitahidi tunaenda kusali na familia, hapo Nina Siri ya addiction yangu hata home ntajifungia kwenye gari ntatumia vitu vyangu basi sitaki mtu ajue, G ugomvi mkubwa Sasa ikawa ni swala la chakula, hapo Sina hamu nikawa kama mtoto Sasa muda wa kula ni vita basi sitaki kumkwaza najitahidi tu ivo ivo
Nimekaa kazini kama mwezi hivi Kuna siku nimeitwa kule Kwa mkurugenzi naenda namkuta yupo na bosi mwingine sehemu kitengo tofauti, kwanza akiniuliza uko sawa sa ivi namuambia tu nipo sawa Kwa Sasa, basi Kuna project Moja akawa anatuelezea pale na yule boss mwingine Sasa, badae akasema hii project nataka iende clean kabisa mpaka iishe, na Ina vishawishi vingi mnaweza kwenda kuhongwa huko mkaharibu hii kazi, akasema anatoa package ya marupurupu tofauti kabisa ya mshahara wala bonus za kazi, tukae tutafakari kama tutaweza ifanya, mtu akiona hawezi ni Bora aje aseme akawa ametupa siku 3
Milango ndo ikawa kama imefunguka Sasa ukiangalia hizo package nikasema huu mwaka wangu, Sasa kutoka ofisini pale yule boss akaanza kuniambia kijana huko ulipoenda ni hatari itabidi unipeleke aisee, namuuliza kwanini akasema hio Dili watu wamepambania Sana watu wametembea Sana Kwa watu wao inakuaje mimi natoka likizo tena ya probation nakuja kulipata kirahisi, basi mi namuambia hakuna kitu jamaa akawa hataki kabisa kuniamini....
Project ilikua kama miezi nane, hapo sisi ofisini tunakuja mara 2 tu Kwa wiki kutoa ripoti tena utawala kule sio hata kwenye department zetu, aisee hicho kipindi nilipata Sana Hela sidhani kama naweza kuja pata project kama Ile tena, maana tulifika kule tu siku ya kwanza wanaosimamia mradi wao yaani walituchana live kabisa kua hapa tukileta ujinga kwenye kuingiliana kimaslahi atakufa mtu, Kwa io kupiga deal hapa na lazima kama hutaki we Fanya kazi ila ukileta u snitch watu wako na wewe
Ofisini kule tunalipwa extra ili tusilete tamaa na huku mnapiga yaani Dili nzito nzito Kuna Hela unapewa mpaka unaogopa aisee, Kwa kifupi nilifanya Sana maendeleo ya kimaisha kipindi icho, nime struggle na addiction zangu Mungu akasaidia badae nikaacha zile pills Kwa shida ivo ivo na hayo ma tambuu, pariki mpaka na Leo mara Moja Moja Sana nikipata natumia....
Sasa na mimi kipindi icho Nakua busy na kazi alafu Wanawake nikawa nawaona kama downfall yangu tu najua nikianza mambo hayo tena ntaanguka shimoni, nipo na G wangu tu Raha Sana unaishi na mkeo kama mdogo wako, hua sijui hata maana ya kufokewa Wala kununiwa na mke naskia Kwa watu tu Mungu asaidie yasinikute..... G nae hata mtoto hajakaza kutembea mimba nyingine hio😀, Mungu akaja saidia akajifungua mapacha, hapo Rachel alishaenda dar huko akaolewa nae akajifungua mtoto huko at least mapicha picha yakapungua......
Kazini mambo yakawa yanaenda sawa tu mpaka ma elite wale wanajifanya maboss tukaanza kupatana, maana sisi ndo " boots on the ground" Dili zote za kupiga Hela lazima zitapita kwetu tu ofisini huko zaidi ya kula ac utapiga deal gani Sasa, Kwa Io michongo yote ikawa inapitia kwetu tunakula nao wao wanatubeba kwenye ripoti tu....
G Sasa hivi kamekua kajanja kweli ana duka la accessories zote za watoto, nguo,toys,suppliments,viatu n.k( wateja mkaribie Sasa), mimi namshukuru Mungu kiasi chake kanifanyia mema mengi Sana, pombe Bado tunakula Kwa Kiasi chake, madhara makubwa niliyoyapata hayo mavitu yame suppress appetite yangu sana, sio mtu wa kula kabisa, alafu usingizi Sasa mi nikilala masaa matatu yananitosha kabisa , muda mwingi usiku nikiwa na Simu utanikuta nipo reddit najifunza mambo mapya tu .......nimefanya ku summarize Ili iishe tu hapo katikati hekaheka hazikosekani
Xmas ya juzi hapo, unajua mtoto akishakua mkubwa akili itamjia tu, huyu mwanangu mkubwa ashajua G sio mama yake mzazi japokua anamuita mama na wanapendana kweli, basi sijui ikawaje hio siku akamtamkia G Sasa " niache kwanza nataka Nije niende Kwa mama yangu" nikawaza nimchape pale nikaona na Xmas hii, nikampeleka mahali tumekaa pale Kuna vitu nikamuelezea akawa amenielewa, hapo kichwani nawaza kua na wewe mwanangu utakutana nayo tu.....
Xmas nipo na ba mdogo kubwa la maadui tumechinja na familia tu pale na mama mkwe alikuwepo at least Sasa npo nae sawa, nikawa nawaza Sana mambo mengi niliyopitia Kwa mbali nikawa kama napata huzuni, ila badae nawaangalia wanangu wote wanne, nikasema bila hizi Heka Heka nilizopitia Hawa wasingekuepo, nikawaangalia tena wanangu nikapata roho ya aamani, nikajiambia, this is my family,my clan!!!!
alamsikh..... Mwisho!!!
Mechi yaijapigwa hii mkuu wahusika wapo kwenye maandalizidaah aisee mambo mengi muda mchache.
BTW wakuu mnisaidie hii mechi hapo ndo inaandaliwa, imeshapigwa na sasa ni 5 minutes break au imeisha?
👇👇
Kitandani naona Rachel kamzidi mdogo akemkuu patrick swali la kizushi...kati ya G na Rachel nani mzuri kumzidi mwenzie?
Rachel mzuri na malayamkuu patrick swali la kizushi...kati ya G na Rachel nani mzuri kumzidi mwenzie?
kwaiyo huyo bibie ndo anapoza injini kabla haijatekenywa au sio?😆Mechi yaijapigwa hii mkuu wahusika wapo kwenye maandalizi
KIUFUPI WE NI MBUSI, KIAZI, ETC.Soma vizuri yupo Dar,kaolewa ana mtoto,G ana duka lake G ni km mdogo wake,hamfokei n.k heshima km zote
Ushakuwa sugu au bado?Mapenzi!!
Yamenitesa sana