The Garang
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 2,880
- 4,830
Wasaalam,
Hivi ushawahi enda sehemu kwa rafiki yako, ndugu yako kusalimiaa etc.
Chakula kimepikwa na muda wa kula umewadia lakin mnaambiwa msubjri hadi mwenye mji afike ndipo mle kwa pamoja.
Sasaa fikiria ulikuwa umeenda tangia asubuhi sasa msosi umepikwa wa jioni unatakiwa ule uende zako lakini huwezi kula hadi mwenye mji arudi, ukiaga kuondoka unaambiwa subiri kidogo ndo anakaribia tule kwa pamoja.
Anyway, kwanini ukalishe watu njaa kisa kumsubiri mme/mke arudi toka safarini au kazini, kwanini asitengewe msosi wake pembeni akija ale kivyake wakati huo wengine ndiyo mda wenu wa kulala lakini inakubidi usubirie.