Ushawahi kukatazwa kula chakula ugenini Hadi baba/mama mwenye mji afike?

Ushawahi kukatazwa kula chakula ugenini Hadi baba/mama mwenye mji afike?

Dawa ni kuingia gengeni,gonga plate Moja rudii,Omba kulala,wakikuamsha unawambia hujisikii kulaa au unawajibu hulagi masaa yakiwa yameenda[emoji1787].
Ahahaa hapo utakuwa umekomoaa sana eti Siri masaa yakiwa yameenda[emoji28][emoji28]
 
Hahahaha.... Utamaduni wa uvumilivu.Kwamba ukivumilia mpaka mwisho ndo utakula,Ukishindwa kalale lakini hautaamshwa chakula kikipakuliwa[emoji1787][emoji28] .Wao wanasema hiyo ni kutokana na uhaba wa chakula ukilinganisha na idadi ya watu waliopo,
Asiyekuwepo awekewe pemben waliyopo wafurahie msosi
 
Kijana jitahidi tafuta uhuru wa kiuchumi/ economic freedom.
Unatakiwa inaenda kwa mtu ukiwa umeshiba au ukikalishwa njaa wahi mgahawani/restaurant au dukani kwa mangi, pata chochote
Point, ukifika usionekane njaaa njaaa ikibidi unawaletea na cereals juice mbili tatu kuonesha uko fiti
 
Ila yote hiyo ni roho mbaya na roho ya kimasikini sana halaf unakuta watu wa dizain hiyo huwaga ni wachoyo na viroho mbaya sasa kwann kama haupo usitengewe cha kwako unataka kushindisha watu na njaa eti wakusubir wewe...hiyo ni roho mbaya ya kuhusudu chakula waiiii...ningempata huyo ndugu wa hvo angejuta kwa namna ningemlipua kwa kichambo
Mapaja ya kuku,kidari na firigisi ni vya baba.Watu wengine wamepevuka katika uchoyo,uroho na ulafi.Libaba zima tangu limezaliwa limekula vingapi vinono hadi lililie finyango za nyama na kupata upendeleo kama mgonjwa?😝😝😝😝😝
 
Mapaja ya kuku,kidari na firigisi ni vya baba.Watu wengine wamepevuka katika uchoyo,uroho na ulafi.Libaba zima tangu limezaliwa limekula vingapi vinono hadi lililie finyango za nyama na kupata upendeleo kama mgonjwa?[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]

Yan tena baba na mama wanatakiwa wale miguu vipapatio wawape watoto nafasi waenjoy wao walishakulaga sana waache ulafi waiiii
 
Yan tena baba na mama wanatakiwa wale miguu vipapatio wawape watoto nafasi waenjoy wao walishakulaga sana waache ulafi waiiii
MENU YA MIMI BABA KWA SIKU.
Asubuhi-Chai ya rangi kwa matembele.
Mchana-Kachumbali na viazi vitamu vya kuchemshwa.
Jioni-napunga upepo huku nakula mbuguswa au makewe.
Usiku-Unapita hola au uji wa mihogo kwa bagia mbili.
 
Back
Top Bottom