Ushawahi kukatazwa kula chakula ugenini Hadi baba/mama mwenye mji afike?

Wasaalam,

Hivi ushawahi enda sehemu kwa rafiki yako,ndugu yako kusalimiaa etc.

Chakula kimepikwa na muda wa kula umewadia lakin mnaambiwa msubjri Hadi mwenye mji afike ndipo mle kwa pamoja.

Sasaa fikiria ulikuwa umeenda tangia asubuhi sasa msosi umepikwa wa jioni unatakiwa ule uende zako lakini huwezi kula Hadi mwenye mji arudi, ukiaga kuondoka unaambiwa subiri kidogo ndo anakaribia tule kwa pamoja.

Anyway, Kwann ukalishe watu njaa kisa kumsubiri mme/mke arudi toka safarini au kazini, Kwann asitengewe msosi wake pemben akija ale kivyake wakati huo wengine ndiyo mda wenu wa kulala lakin inakubidi usubirie.
Mimi mambo ya kwenda Kwa watu( kuwa mgeni) hovyo nilishayakataa kabisa . Mara nyingi mimi nikienda safari huwa nafikia guest hata 5000 na kahela Ka msosi . Maisha ni tight kwahiyo watu Wana weka bugeti Kali ya msosi .

Mimi nakushauri ukiwa unaenda safarini au kuwa mgeni sehemu andaa na bajeti yako mapema kabisa. Chakula kikiwepo au kisiwepo uwe na ela ya kwenda Kwa mama ntilie. Ukiona huna pesa bakia kijijini huko huko misosi ni mingi halafu bure
 
Ila ukiwa na makazi na kama wewe ndo mwenye nyumba naamaanisha ndo baba au mama unatakiwa uwe strait kwa kuweka uwazi na uhuru kwa waliopo na hata wageni kwamba jaman chakula kikiwepo kuleni habar za kusubir sijui nani aje ndo kiliwe sio mpango na hata mgeni akija kama chakula kipo apewe na kama kakuta kilishaisha basi apewe chochote kilichopo hata chai huo ndo uungwana sio kuleta masharti kama ya waganga sio mpango na ukifanya hvo jua kwamba hata watoto unaowalea watachukua hiyo na wakiwa na kwao watafanya hvo hvo...ila sasa kuna watu maisha yao ni chakula yan wanaabudu chakula hadi huruma ndio utawakuta na masharti ya kijingajinga kama hayo
Umaskini tu 😅 hamna kingine
 
Mimi mambo ya kwenda Kwa watu( kuwa mgeni) hovyo nilishayakataa kabisa . Mara nyingi mimi nikienda safari huwa nafikia guest hata 5000 na kahela Ka msosi . Maisha ni tight kwahiyo watu Wana weka bugeti Kali ya msosi . Mimi nakushauri ukiwa unaenda safarini au kuwa mgeni sehemu andaa na bajeti yako mapema kabisa. Chakula kikiwepo au kisiwepo uwe na ela ya kwenda Kwa mama ntilie. Ukiona huna pesa bakia kijijini huko huko misosi ni mingi halafu bure
Ukiona huna pesa bakia kijijini huko huko misosi ni mingi halafu bure
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Vipi anae subiriwa akipata ajari akakimbizwa hospital????
Me binafsi sipendi mambo ya kutembelea watu.vinginevo ntakua na akiba yangu,mkizingua nakula mgahawani
 
Wasaalam,

Hivi ushawahi enda sehemu kwa rafiki yako,ndugu yako kusalimiaa etc.

Chakula kimepikwa na muda wa kula umewadia lakin mnaambiwa msubjri Hadi mwenye mji afike ndipo mle kwa pamoja.

Sasaa fikiria ulikuwa umeenda tangia asubuhi sasa msosi umepikwa wa jioni unatakiwa ule uende zako lakini huwezi kula Hadi mwenye mji arudi, ukiaga kuondoka unaambiwa subiri kidogo ndo anakaribia tule kwa pamoja.

Anyway, Kwann ukalishe watu njaa kisa kumsubiri mme/mke arudi toka safarini au kazini, Kwann asitengewe msosi wake pemben akija ale kivyake wakati huo wengine ndiyo mda wenu wa kulala lakin inakubidi usubirie.
Dawa ni kuingia gengeni,gonga plate Moja rudii,Omba kulala,wakikuamsha unawambia hujisikii kulaa au unawajibu hulagi masaa yakiwa yameenda[emoji1787].
 
ndio utamaduni wetu huo
Hahahaha.... Utamaduni wa uvumilivu.Kwamba ukivumilia mpaka mwisho ndo utakula,Ukishindwa kalale lakini hautaamshwa chakula kikipakuliwa[emoji1787][emoji28] .Wao wanasema hiyo ni kutokana na uhaba wa chakula ukilinganisha na idadi ya watu waliopo,
 
Wasaalam,

Hivi ushawahi enda sehemu kwa rafiki yako,ndugu yako kusalimiaa etc.

Chakula kimepikwa na muda wa kula umewadia lakin mnaambiwa msubjri Hadi mwenye mji afike ndipo mle kwa pamoja.

Sasaa fikiria ulikuwa umeenda tangia asubuhi sasa msosi umepikwa wa jioni unatakiwa ule uende zako lakini huwezi kula Hadi mwenye mji arudi, ukiaga kuondoka unaambiwa subiri kidogo ndo anakaribia tule kwa pamoja.

Anyway, Kwann ukalishe watu njaa kisa kumsubiri mme/mke arudi toka safarini au kazini, Kwann asitengewe msosi wake pemben akija ale kivyake wakati huo wengine ndiyo mda wenu wa kulala lakin inakubidi usubirie.
Kijana jitahidi tafuta uhuru wa kiuchumi/ economic freedom.
Unatakiwa unaenda kwa mtu ukiwa umeshiba au ukikalishwa njaa wahi mgahawani/restaurant au dukani kwa mangi, pata chochote
Note; umaskini huleta malalamiko na chuki
 
Mimi mambo ya kwenda Kwa watu( kuwa mgeni) hovyo nilishayakataa kabisa . Mara nyingi mimi nikienda safari huwa nafikia guest hata 5000 na kahela Ka msosi . Maisha ni tight kwahiyo watu Wana weka bugeti Kali ya msosi . Mimi nakushauri ukiwa unaenda safarini au kuwa mgeni sehemu andaa na bajeti yako mapema kabisa. Chakula kikiwepo au kisiwepo uwe na ela ya kwenda Kwa mama ntilie. Ukiona huna pesa bakia kijijini huko huko misosi ni mingi halafu bure
Kwelii kabisa mie nikienda tembeleaa ndugu au rafiki nahakikisha ninahela ya nauli kabisa mambo nikiona siyo nageuza haraka sana, utasikia tu mie kesho naondoka
 
Ukiona huna pesa bakia kijijini huko huko misosi ni mingi halafu bure
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huwezi Baki Kijijin muda wotee assume umepata ajira town ila kwa kufikia inabidi ufikie kwa mtu kwanza later on mambo yakikaa uzuri utafute kwako
 
Back
Top Bottom