The Garang
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 2,880
- 4,830
Kabisa yani hata ukiwa na njaa unaogopa sema unanjaaNyumba za watu zina mambo sana
Utafanyeje ndio upo ugenini huna budi kufuata kanuni na taratibu zote
Ukifika ugenini bhana mazoea ya kwako unayaachia kwako unaishi kama wenyeji wako ulipofikia huko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila yote hiyo ni roho mbaya na roho ya kimasikini sana halaf unakuta watu wa dizain hiyo huwaga ni wachoyo na viroho mbaya sasa kwann kama haupo usitengewe cha kwako unataka kushindisha watu na njaa eti wakusubir wewe...hiyo ni roho mbaya ya kuhusudu chakula waiiii...ningempata huyo ndugu wa hvo angejuta kwa namna ningemlipua kwa kichambo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila yote hiyo ni roho mbaya na roho ya kimasikini sana halaf unakuta watu wa dizain hiyo huwaga ni wachoyo na viroho mbaya sasa kwann kama haupo usitengewe cha kwako unataka kushindisha watu na njaa eti wakusubir wewe...hiyo ni roho mbaya ya kuhusudu chakula waiiii...ningempata huyo ndugu wa hvo angejuta kwa namna ningemlipua kwa kichambo
ukiaga kuondoka unaambiwa subiri kidogo ndo anakaribia tule kwa pamoja.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wakati mwingine hata anayesubiriwa hajui kama anasubiriwa, muda mwingine anaofanya hivyo ni mtu aliopo nyumbani
Umeongeaa pointi sana ndugu chakula kama kipo kiliwe watu waendelee na mambo mengine.Ila ukiwa na makazi na kama wewe ndo mwenye nyumba naamaanisha ndo baba au mama unatakiwa uwe strait kwa kuweka uwazi na uhuru kwa waliopo na hata wageni kwamba jaman chakula kikiwepo kuleni habar za kusubir sijui nani aje ndo kiliwe sio mpango na hata mgeni akija kama chakula kipo apewe na kama kakuta kilishaisha basi apewe chochote kilichopo hata chai huo ndo uungwana sio kuleta masharti kama ya waganga sio mpango na ukifanya hvo jua kwamba hata watoto unaowalea watachukua hiyo na wakiwa na kwao watafanya hvo hvo...ila sasa kuna watu maisha yao ni chakula yan wanaabudu chakula hadi huruma ndio utawakuta na masharti ya kijingajinga kama hayo
ndio utamaduni wetu huoIla yote hiyo ni roho mbaya na roho ya kimasikini sana halaf unakuta watu wa dizain hiyo huwaga ni wachoyo na viroho mbaya sasa kwann kama haupo usitengewe cha kwako unataka kushindisha watu na njaa eti wakusubir wewe...hiyo ni roho mbaya ya kuhusudu chakula waiiii...ningempata huyo ndugu wa hvo angejuta kwa namna ningemlipua kwa kichambo
ndio utamaduni wetu huo
Kwann uambiwe subiri kidogo mwenyewe ndo Yuko karibuKULA KWENU
Huyu jamaaa nawasiwasi huwa hapati hata wageni kwake[emoji23][emoji23]Utamaduni gan hebu nielezee vizur,utamaduni wa kusubir sijui nani aje ndo chakula kiliwe??
Asilimia kubwa watanzania ndivyo tulivyo.hauwezi kula kabla ya mtafutaji hajala.Utamaduni gan hebu nielezee vizur,utamaduni wa kusubir sijui nani aje ndo chakula kiliwe??
Sasa utakulaje na mwenye mji Bado hajala?Kwann uambiwe subiri kidogo mwenyewe ndo Yuko karibu
[emoji134][emoji134][emoji134]Sasa utakulaje na mwenye mji Bado hajala?
Lakin sio utaratibu mzuri wengine mbaki na njaa sababu mtafutaji hajarudi, what if kapitia kwa rafikiye anakula sogaAsilimia kubwa watanzania ndivyo tulivyo.hauwezi kula kabla ya mtafutaji hajala.
hata kipindi nipo home ulikuwa hauwezi kula kabla ya baba hajarudi.labda ukadokoe jikoni kwenye sufuria lakini chakula kikishatengwa mezani haugusi