The Garang
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 2,880
- 4,830
- Thread starter
-
- #181
Kuna nyumba zingine Hadi raha ukienda wakiona kama huko comfortable wanakususia mazaga hapo wao wanakaa mbali Ili ule usiposhiba uongeze kabisaaNipeee hiyo 5 star mkuu lkn kula kwa watu bwana unaweza banduka na aibu, kila mtu ana table manner yake kuna mtu unakula kwake ukitoka anaenda kukusema kwa watu sasa nikisikia na huo ujamaa utafia hapo so ili kulinda ujamaa na mahusiano sili kwako, siji kwako wakati wa kula na nikikumbana nacho bahati mbaya ntaomba maji ya kunywa
Kiukweli nimezaliwa kijijini, nyumba yenye neema ya chakula, babaangu kaishi sana mjini na amekua mkufunzi wangu wa maisha, chakula sio kitu kabisa chakumumiza mtu, kikiiva neema ni kupata walaji, wale na washibe, wakiondoka wakumbuke, sio kinawekwa huku watu wana njaa wanamngoja mtu as if huyo mtu ndio anatembea na funguo, mama mpaka leo anapika chakula na kibakie ikiwa atakuja mwenye njaa asikose kitu, hii nimeiga na kwangu, akija mgeni tutashughulika na kula yake na kunywa yake kadiri ya majaaliwa yetu, na Nnamshukuru Mungu kanipa mke ambae ni family woman, anapenda wageni kama mimi so watu wanaokuja home kwakweli wanainjoy na sisi tunafurahia wao wakila na kushibaKuna nyumba zingine Hadi raha ukienda wakiona kama huko comfortable wanakususia mazaga hapo wao wanakaa mbali Ili ule usiposhiba uongeze kabisaa
Sasa kama dingi alikuwa anarudi saa 2 usiku .tulikuwa tunawahi nini kula?Kwann Mzee asitengewe msosi mliopo mle
Haya ndio nilikuwa najaribu kuwaambia.Watu waache dezo.Nipeee hiyo 5 star mkuu lkn kula kwa watu bwana unaweza banduka na aibu, kila mtu ana table manner yake kuna mtu unakula kwake ukitoka anaenda kukusema kwa watu sasa nikisikia na huo ujamaa utafia hapo so ili kulinda ujamaa na mahusiano sili kwako, siji kwako wakati wa kula na nikikumbana nacho bahati mbaya ntaomba maji ya kunywa
Sawaa mkuuu,kwamba nikiwa na Hela sikalishwi kusubiri mtu??
Somehow it makes sense [emoji848]
Hongeraaa mkuu mbarikiweKiukweli nimezaliwa kijijini, nyumba yenye neema ya chakula, babaangu kaishi sana mjini na amekua mkufunzi wangu wa maisha, chakula sio kitu kabisa chakumumiza mtu, kikiiva neema ni kupata walaji, wale na washibe, wakiondoka wakumbuke, sio kinawekwa huku watu wana njaa wanamngoja mtu as if huyo mtu ndio anatembea na funguo, mama mpaka leo anapika chakula na kibakie ikiwa atakuja mwenye njaa asikose kitu, hii nimeiga na kwangu, akija mgeni tutashughulika na kula yake na kunywa yake kadiri ya majaaliwa yetu, na Nnamshukuru Mungu kanipa mke ambae ni family woman, anapenda wageni kama mimi so watu wanaokuja home kwakweli wanainjoy na sisi tunafurahia wao wakila na kushiba
Sasa mkuu we hapo nn kinakupa shida kuelewa, nachosema Kwann ye asitengewe?? Kuna ulazma gan wa kusubir ajeSasa kama dingi alikuwa anarudi saa 2 usiku .tulikuwa tunawahi nini kula?
Na hata Kama akichelewa mama ndo alikuwa na maamuzi ya kuwapukuliwa chakula.maana anajua akiwaachia Kuna watu watalala na njaa.
Wape wana msosi mkuu maisha yanapitaHongeraaa mkuu mbarikiwe
kwa hyo wewe ulikuwa unakula kabla ya baba yako kula?Mijitu michoyo utaijua tu!
hakika broWape wana msosi mkuu maisha yanapita
duuh polen sanakwa hyo wewe ulikuwa unakula kabla ya baba yako kula?
Basi wewe utakuwa kizazi cha akina junior.
Kuzaliwa 2000+.
Sisi watoto wa 1990 hatuwezi kushangaa haya umeona eh
Aisee hii imekumbusha mbali,around mwaka 2001 niliendaga kwa ndugu yangu, alikua vzur tu kiuchumi,ilkua ni 3 days visit,nafika leo, kesho nafanya yangu, keshokutwa nasepa, ilkua mara yangu ya kwanza kwenda kwake baada ya kulalamika sana kua nafika dsm ila sijawahi mtafuta, nikaona isiwe tabu,ngoja nitoe lawana,aisee NILKOMA, Nimefka jion, msos umeiva eti anasubiriwa baba afike ndo aanze yeye kupakua then wengine wafwate..in descending order..akaja saa 4 usku..nikala sikushiba, baada ya hapo kesho yake nimemalza mishe zangu mjin nikala nikarud nikalala kabsa. Next day nikasepa..sijawahi rudi ile nyumba hadi leo. Na imenisaidia,kwetu chakula kikiwa tayar bi mkubwa alkua anasema kila ale kwa muda wake..ilkua lazima ule, kama haupo utatengewa msos wako..Sasa now nina familia, nilitoa ORDER, chakula kikiiva na kimefika mezani watu wale watakavyo..nisisubiriwe kwa lolote lile. Sitak ile bad experience ninayoikumbuka had leo imkute mwingine tena kwangu...Big NoWasaalam,
Hivi ushawahi enda sehemu kwa rafiki yako, ndugu yako kusalimiaa etc.
Chakula kimepikwa na muda wa kula umewadia lakin mnaambiwa msubjri hadi mwenye mji afike ndipo mle kwa pamoja.
Sasaa fikiria ulikuwa umeenda tangia asubuhi sasa msosi umepikwa wa jioni unatakiwa ule uende zako lakini huwezi kula hadi mwenye mji arudi, ukiaga kuondoka unaambiwa subiri kidogo ndo anakaribia tule kwa pamoja.
Anyway, kwanini ukalishe watu njaa kisa kumsubiri mme/mke arudi toka safarini au kazini, kwanini asitengewe msosi wake pembeni akija ale kivyake wakati huo wengine ndiyo mda wenu wa kulala lakini inakubidi usubirie.
Huu ndo uanamme na utu sasaAisee hii imekumbusha mbali,around mwaka 2001 niliendaga kwa ndugu yangu, alikua vzur tu kiuchumi,ilkua ni 3 days visit,nafika leo, kesho nafanya yangu, keshokutwa nasepa, ilkua mara yangu ya kwanza kwenda kwake baada ya kulalamika sana kua nafika dsm ila sijawahi mtafuta, nikaona isiwe tabu,ngoja nitoe lawana,aisee NILKOMA, Nimefka jion, msos umeiva eti anasubiriwa baba afike ndo aanze yeye kupakua then wengine wafwate..in descending order..akaja saa 4 usku..nikala sikushiba, baada ya hapo kesho yake nimemalza mishe zangu mjin nikala nikarud nikalala kabsa. Next day nikasepa..sijawahi rudi ile nyumba hadi leo. Na imenisaidia,kwetu chakula kikiwa tayar bi mkubwa alkua anasema kila ale kwa muda wake..ilkua lazima ule, kama haupo utatengewa msos wako..Sasa now nina familia, nilitoa ORDER, chakula kikiiva na kimefika mezani watu wale watakavyo..nisisubiriwe kwa lolote lile. Sitak ile bad experience ninayoikumbuka had leo imkute mwingine tena kwangu...Big No