Ushawahi kukatazwa kula chakula ugenini Hadi baba/mama mwenye mji afike?

Mimi mambo ya kwenda Kwa watu( kuwa mgeni) hovyo nilishayakataa kabisa . Mara nyingi mimi nikienda safari huwa nafikia guest hata 5000 na kahela Ka msosi . Maisha ni tight kwahiyo watu Wana weka bugeti Kali ya msosi .

Mimi nakushauri ukiwa unaenda safarini au kuwa mgeni sehemu andaa na bajeti yako mapema kabisa. Chakula kikiwepo au kisiwepo uwe na ela ya kwenda Kwa mama ntilie. Ukiona huna pesa bakia kijijini huko huko misosi ni mingi halafu bure
 
Umaskini tu 😅 hamna kingine
 
Ukiona huna pesa bakia kijijini huko huko misosi ni mingi halafu bure
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Vipi anae subiriwa akipata ajari akakimbizwa hospital????
Me binafsi sipendi mambo ya kutembelea watu.vinginevo ntakua na akiba yangu,mkizingua nakula mgahawani
 
Dawa ni kuingia gengeni,gonga plate Moja rudii,Omba kulala,wakikuamsha unawambia hujisikii kulaa au unawajibu hulagi masaa yakiwa yameenda[emoji1787].
 
ndio utamaduni wetu huo
Hahahaha.... Utamaduni wa uvumilivu.Kwamba ukivumilia mpaka mwisho ndo utakula,Ukishindwa kalale lakini hautaamshwa chakula kikipakuliwa[emoji1787][emoji28] .Wao wanasema hiyo ni kutokana na uhaba wa chakula ukilinganisha na idadi ya watu waliopo,
 
Hata siyo tabia nzuri watu wale asiyekuwepo awekewe atakikuta bana, yaani tushinde njaa sababu tunamsubiri mtu aah
 
Kijana jitahidi tafuta uhuru wa kiuchumi/ economic freedom.
Unatakiwa unaenda kwa mtu ukiwa umeshiba au ukikalishwa njaa wahi mgahawani/restaurant au dukani kwa mangi, pata chochote
Note; umaskini huleta malalamiko na chuki
 
Kwelii kabisa mie nikienda tembeleaa ndugu au rafiki nahakikisha ninahela ya nauli kabisa mambo nikiona siyo nageuza haraka sana, utasikia tu mie kesho naondoka
 
Ukiona huna pesa bakia kijijini huko huko misosi ni mingi halafu bure
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huwezi Baki Kijijin muda wotee assume umepata ajira town ila kwa kufikia inabidi ufikie kwa mtu kwanza later on mambo yakikaa uzuri utafute kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…