What is the heck is this?
Ukikua utaacha.Hakuna uchawi,mapepe,majini hizo ni story tu
waafrica mna matatizo sanaUkikua utaacha.
Hili joka la mdimu mjomba
Hongera muajemi.waafrica mna matatizo sana
Naomba majina yako matatu na tarehe yako ya kuzaliwa, kisha baada ya hapo nikuthibitishie hilo katika maisha yako kuanzia leo usiku.Sasa utathibitisha vipi kitu ambacho hakipo mkuu
Gerald hovic butlerNaomba majina yako matatu na tarehe yako ya kuzaliwa, kisha baada ya hapo nikuthibitishie hilo katika maisha yako kuanzia leo usiku.
Nikishindwa kukuthibitishia nipigwe life ban, na nikithibitisha kumbuka kutega naweza ila kutegua siwezi.
Wewe wasema!Hakuna uchawi,mapepe,majini hizo ni story tu
Sindio 😂😆 eti tuma matatu.