Ushawahi kukutana na mzimu, jini au mfumo wowote wa kichawi maishani mwako

Ushawahi kukutana na mzimu, jini au mfumo wowote wa kichawi maishani mwako

Uhalisia hakuna hivyo vitu kweli ila unaweza ukahisi unaviona kama kuota ndoto vile.

Hayo ni magonjwa ya afya ya akili. Hallucinations
Kwakua hujawahi kukutana nayo sio mbaya
Hata mie sikua naamini nlikua naona kama hekaya
Ila siku nilipokuja kuingia kwenye 18 za wajuba sasa ndio nikaamini kama haya mambo yapo
Nb:- nishaona zaidi ya mara 10 au 15
 
Naomba majina yako matatu na tarehe yako ya kuzaliwa, kisha baada ya hapo nikuthibitishie hilo katika maisha yako kuanzia leo usiku.

Nikishindwa kukuthibitishia nipigwe life ban, na nikithibitisha kumbuka kutega naweza ila kutegua siwezi.
Poker umeanza lini fix 😹😹

Anza na mimi

Jina; Lamomy Vibuyu Worldwide

Birth date: 13
 
Back
Top Bottom