Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 43,349
- 104,110
Una tarehe ya namba tasa isiyogawanyika kama yangu? 😹Kama hio tarehe ni ya kweli ni ya mfanano na mimi
Una tarehe ya namba tasa isiyogawanyika kama yangu? 😹Kama hio tarehe ni ya kweli ni ya mfanano na mimi
1998 ulikuwa na miaka mingapi mkuu?Naam nilisha wahi ilikua ni 1998, siwezi kusema ni akili ya kitoto ila i'm sure wale hawakuwma watu ama binadamu wa kawaida!
Labda kweye mwezi inaweza gawanyika, mi ni desembaUna tarehe ya namba tasa isiyogawanyika kama yangu? 😹
1988-1998=101998 ulikuwa na miaka mingapi mkuu?
Kumbe mjukuu wangu 😜1988-1998=10
Darasa la pili shule ya msingi Yamu.
Mimi kila kitu tasa 😹😹😹Labda kweye mwezi inaweza gawanyika, mi ni desemba
Basi shikamoo.Kumbe mjukuu wangu 😜
Mimi wa 1922 tunashare na JKN
Marhaba mjukuu wangu 😀Basi shikamoo.
Yoyote alie wachini ya 2000 namuona ni mti mzima mkamilifu ,so kama wewe ni wa 1922 ni mtu mzima waheshima na mkomavu.
Huyo atakuwa binadamu tu, siku ukikutana na mtu ana mguu mmoja, mkono mmoja, jicho moja na sikio moja huku anatembea barabarani. Hapo ndipo utaona kama wewe ni jasiri au laaUmenikumbusha 2011 nipo stand ya Mwenge nimesubiria gari la kuelekea UDSM Main Campus akaja dada mmoja anajifanya ombaomba, mwili nilijihisi kusisimka, ghafla nikajua huyu si binti wa kawaida atakuwa jini,kwakuwa niliwahi kupata story za jini,nilipata ujasiri usio wa kawaida nikamkazia macho na yeye akanikazia macho,macho yake kama yanazunguka kama goroli,mara ghafla akaniambia kaka ondoka kama ananifukuza huku ameangalia chini hakuwa tena na ujasiri wa kuniangalia machoni, kwa hasira nikamfuata nikamwambia nataka kukusaidia njoo tuongee,nilitamani kumrarua, akanigeuzia mgongo na kuondoka kwa haraka, nilitaka kuendelea kumfuata nijue ataishia wapi ila nilikuwa nimechelewa nikapanda gari na kuondoka. Tangu hapo siogopi cha jini wala nini,Mungu wetu ana nguvu sizizomithilika.
Sasa kama uchawi upo na unaujua kwanini usitumie izo njia za kichawi kujua majina yake matatu na tarehe yake ya kuzaliwa mkuu??Naomba majina yako matatu na tarehe yako ya kuzaliwa, kisha baada ya hapo nikuthibitishie hilo katika maisha yako kuanzia leo usiku.
Nikishindwa kukuthibitishia nipigwe life ban, na nikithibitisha kumbuka kutega naweza ila kutegua siwezi.
Hapana.
ChaiGerald hovic butler
tarehe 20
Pendelea kupita makaburini nyakati za usiku mnene.Aisee kuamini uchawi ni ujinga mkubwa sana ambao wa Africa wamelishwa kupitia stori lakini wao hawajawahi kushuhudia chochote kinachohusu uchawi ila wanaendelea kuamini Upo upo
Pendelea kupita makaburini nyakati za usiku mnene.
Kisha ulete mrejesho.
Fanya nilichokuagiza.Kwa hiyo mtu mzima kweli tena umeenda shule unaamini kuna watu wanasafiri na ungo nchi moja mpaka nyingine hahahahaha aisee akili nyingine zinafurahisha sana