Ushawahi kukutana na mzimu, jini au mfumo wowote wa kichawi maishani mwako

Naomba majina yako matatu na tarehe yako ya kuzaliwa, kisha baada ya hapo nikuthibitishie hilo katika maisha yako kuanzia leo usiku.

Nikishindwa kukuthibitishia nipigwe life ban, na nikithibitisha kumbuka kutega naweza ila kutegua siwezi.
Gerald hovic butler
tarehe 20
 
Nilisha wahi kukutana na miale ya wachawi mwanza wanaita chenge.Ikaja dar ilikua mida ya saa tisa usiku nawahi kwenda sehem nilikutana na mazonge zonge yale yalikua majini aiseee sema kipindj kile nilikua mtu wa kanisani sana ile ndo ilinisaidia sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ