ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Fanya nilichokuagiza.
Hata mimi Niko tyr unithibitishirRed black una uhakika hakuna majini? Uko tayari nikuthibitishie.
Nashindwa kualewa
Nitalalaje sasa😱
Thibitisha mkuu..Red black una uhakika hakuna majini? Uko tayari nikuthibitishie.
Isije ukawa uliona watu wanakula ludo zao wamesizi ukahisi hao kwa mauwoga yako tu mwenyewe, watu washatukana sana hata mbwa usiku wanadhani wachawi kumbe uwoga tu.Nilishawahi kuwaona live nilikuwa natoka kuangalia sinema kwenye kibanda umiza nikawaona wamekaa kikao aise nywele zilisisimka ilikuwa yapata saa7 usiku kipindi hicho nina miaka 8 tu