Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
- Thread starter
- #101
Ulikosea ulitakiwa umalize shoo then unamwambia ngoja nichukue chakula af unasepaYahh mkuu kosa nililofanya niliiweka ile 10 mezani..
Wakati nataka niende round3 akajiongeza aiweke hela mfukoni, hapo ndipo kasheshe ilipoanzia..