BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
Kaka pole hutokea moyo ukizama
Kemea nafsi yako
Hiyo hela heri umpe mkeo akafanye hata shopping...hebu amka asubuhi mpe mkeo 2,000,000 akiuliza za nini mwambie za matumizi yako binafsi uone utakavyopalilia penzi
Wanawake huwa na mwanaume anayejua hapindui.....atakachoomba atapata na mbususu hakupi!!! Shtuka!!!!!
Wanaume wenzio watakupiga madongo tu hapa wakati wanahonga hadi nyumba za urithi!!!!