Ushawahi kumlipia mchepuko wako kodi ya nyumba?

Ushawahi kumlipia mchepuko wako kodi ya nyumba?

Mzee Baba nimekuelewa sana
Lakin imenitokea kwa huyu manzi tu ana anamisimamo yake binafsi ambayo kila mbinu nashindwa kumnasa kirahis but anapenda vitu vya garama sana hata outing ya kwenda kulala anataka hotel ya laki tano kwa siku huwa anatafuta location mwenyewe huwa unanin is kuahirisha tu.

But madem wengine kawaida tu sana,,huo msimamo wake ndio huwa unanifanya nimtafute marakwamara na ukizingatia nishamsaidia sana
Ana kusumbua kwasababu uja mla, kuwa makin ana kutajia vitu vya galama ili ukimbie na yeye hakupendi
 
Si msaidii tu natafta mbinu za kula lakin anamisimamo sana huwez kumla kirahis
Hapana wewe ndo huwez kuna mwenzako ana mla kirahisi tu tena kwenye ghetto la kawaida Sana, Mimi nilikuwa na dem kwake papo vizur sanaa lakin alikuja kwenye ghetto nikamla tena geto nilikuwa nalala chini.
 
Nikweli mkuu kuna jamaa yangu aliniambia huyu demu unaye muhangaikia ameshaenda magetton kwa jamaa nikashangaa sana kwangu hajawahi kuja na anasema nisimle mpaka nimwoe mbona kaenda kwa mshikaj kumuuliza akasema ndio ashaendaga ila hawez kudate na huyo jamaa
Kuwa mtulivu Acha pupua we mpotezee mwez mzima
 
Ama shoo maatitudeee .... acha uzwazwa mkuu sasa hapo maana ya mchepuko iko wapiii.....?

Maana mimi najua ukikosa ndani ndio unakimbilia kwa mchepuko sasa wewe umekosa kwa mchepuko alafu unataka kupoteza hadi hela nyingine kwake wewe ni taga kama mataga wengine .

Na huyo hata ukimuacha lazima uumie sana kwa sababu hujamtumbukiza dudu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hapo msafirishe mbali huko hakikisha unamtyomba hata kwa nguvu na hata kuwa na ujanja zaidi ya hapo unapoteza nguvu zako buree huo muda bora ukacheze nao na ujue vipaji vyao
 
Mkuu nimeshaburuza wengi sana ila kwa huyo kila mbinu inakataa nafikir sio kila mwanamke anaeza kuingia kwny taget zako kirahis wengine unaliwa pesa na hupati

Sasa km mwaka mzima unahudumiana unasema wNawake unawajua.Basi umesahau mbinu muhimu sana waargertina wana methali yao wanasema mwanamke ni km kivuli ukikifuata kinaondoka ukiondoka kinakufuata..

Umebakiza mbinu moja ya mwisho kw ahapo ulipomfikisha mwanamke ukinikabidhi si malizi mwezi na lala nae.Naanza kwa kumkataa yeye kwanza then atarudi mwenyewe nagonga na pita kushoto
 
Una madhaifu, huwez zunguka na mwanamke two years hujamla na still unamuwaza na kumgharamia! Huyo ashajua madahaifu yako, ukimlipia nyumba anaweza akakuonjesha kwa mashart sana ila kisha atakuchukia sana na pia na ww itakuuma sana sana hiyo fedha na utakuwa huna la kufanya.

Iko hivi:

Wanawake hawahutaji kugharamiwa fedha nyiingi No watalaam wanasema tunakosea hapo, japo nadhan hutanielewa, hebu nikuulize wale wanaoitwa play boy hana kazi wala hana hela hela zake ni kununua nguo kali, raba kali, basi! Wale jamaa wanakula demu yoyote na demu anaweza lipia penzi hilo, na demu anamgamda hatak amuache.

Kwa nn hawa play boy wasio na hela wanakula mtu yoyote wanaemtaka

1. Wanachukua hatua na huwa wanamuongoza mwanamke sio mwanamke kuwaongoza

2. Confidence (wanajiamin)

3. Wana lugha na miondoko wanayotaka mwanamke (little swaga)

4. They dont invest in women, they invest in themselves (less is more)

5. Wanavaa vizuri (dress up)

6. Wanawake wanataka mwanamme anaetakwa na wanawake (playboy anagonga kila demu, hao hao wanamponda ila ndio hao hao anawala sana). Ukijifanya huna mademu mwanamke anaona kama kaokota mtu ambae wengine hawamtaki.


Nitarudi ukinihitaji

Sent using Jamii Forums mobile app
Daah! We mkali mwanangu umemaliza kila kitu, kama maxspesho wa kelele series.
 
Ila maisha ya jf raha sana, [emoji23][emoji23] kwaio wachangiaji wote wa huu uzi mnamnanga mtoa uzi kwamba ni boya nyie hamjawahi kuhonga?? [emoji23][emoji23] eeehh mungu baba nicheke mie, najionea maajab mie wanaume wote hawa hawajawahi kuhonga wao kila mwanamke wanampata with just a blink of an eye,, hahahaaaaa maisha ya anonymous raha sanaaa. Mwaya mkaka ww ulieomba ushauri hao wanakupotosha inshort wanakuigizia yaan kwa kifupi wanakuletea story za vijiweni kwenye kahawa, fanya vile unavyoona ni sawa km una kipato kizur hiyo 2m haitokuyumbisha kivyovyote kikipato basi honga tu mwaya achana na hawa wasanii tena nakuhakikishia hao wanaokubeza ndo wahongaji wazur hadi nyumba wanatujengea yaan dont take themserious hii forum kila mjuaji snajua kutongoza anajua kupata mbunye bila kusweat nk
 
Kuna mwanamke hapa namfatilia ni almost mwaka sasa , hajawahi kunipa game japo huwa tunatoka outing mara nyingi lkn nikimgusia mambo ya sex tunagombana hata kusikia anasema mpaka ndoa hataki kutoa mzigo ila nimekuwa msaada kwake kwa mambo mengi lkn mishen yangu ya kusex nae haijatimia,

Na kila nikitaka kuachana nae naona ananipotezea mda najikuta nimemchek na kumsaidia kitu fulan yeye hana zile papara sna na mimi but akiwa na shida atanichek, uzur nishajua ana mshikaji wake yupo nae kitambo na hilo alisema mwenyewe but Yaan tupo tu Yaan sametimes nakuwa sielew kwann tunakuwa pamoja

Now nilimwambia huko unapokaa itabid uhame maana yupo Arusha ni mbali kidogo na mjin nataka nimpagie nyumba mjin na yy kakubali na kasema ukifanya hivo atafurah na ntakuwa naenda kwake pia ..

Sasa just najiuliza hili wazo limekujaje kichwan ivi inawezekana kweli mtu ukatoa almost 2mil kumpangia mwanamke ambaye sio future yako nyumba kwa lengo tu la kutaka kufanya nae sex?

Huko napo elekea nahis ntafanya hivo nafsi ya kizinifu inaniforce hivo

Hebu tushare experiences km ushawahi kujitoa katika hilo na huku ukirefer una familia ndani inakutegea,

Huwa picha ya huyu mwanamke inaniijia kichwan jins alivyo mzur na alivyo umbika juz tu hapa nmeenda bank nikarudia njian nilitaka kwenda kutoa hizo pesa za kodi but nikamwaza mama watoto wangu na kids wangu nikasema sibora tu nikawanunulia wao vitu nikaongeza upendo kwao

But kuna nguvu kubwa sana ya mvutano baina ya nafsi yangu na napoelekea Mchepuko utashinda kodi naenda kutoa jmn daaa.

Nina akili zangu timamu tu na nahis Man wengi inawatoea hii kitu kutoa pesa na huduma kwajil ya papunch tu na ubaya ni pale unapoifukuzia na ushatoa garama zako nyingi na hujapata kuacha inakuwa ngum maana utakuwa umekula hasara.
Shkh kumbe ili kundi tupo wengi tofauti ni kuwa nilikula mzigo kwa tani yangu adi school fees ya mtoto nilikuwa nalipa sema yule dada sijui wapi nilifail maana sio rahisi kwa mwanamke kubadilisha gia ghafla vile kwa jinsi responsibilities nilivozibeba, nilichogundua hawa viumbe ata uwe na hela kama bill gate kama hauko kwenye moyo wao basi ni kama unacheza reggae kwenye matupe unazidi kujichafua tu.

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
 
Shkh kumbe ili kundi tupo wengi tofauti ni kuwa nilikula mzigo kwa tani yangu adi school fees ya mtoto nilikuwa nalipa sema yule dada sijui wapi nilifail maana sio rahisi kwa mwanamke kubadilisha gia ghafla vile kwa jinsi responsibilities nilivozibeba, nilichogundua hawa viumbe ata uwe na hela kama bill gate kama hauko kwenye moyo wao basi ni kama unacheza reggae kwenye matupe unazidi kujichafua tu.

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app

Kweli mkuu kama haupo moyon kwa mwanamke hata kuchukulia serious ni km ilivyo kwa mwanaume kuna manz kila siku analikia tuwe wote lakin sina habar nae
 
Kweli mkuu kama haupo moyon kwa mwanamke hata kuchukulia serious ni km ilivyo kwa mwanaume kuna manz kila siku analikia tuwe wote lakin sina habar nae

Vipi mkuu, ni muda kidogo umepita. Vipi, ulipata ile nyumba? Na je demu ameshahamia? 😂 Pamoja na kumpangishia nyumba bado haikusaidia kupata papuchi?🤣 Tupe mrejesho mkuu..
 
Back
Top Bottom