BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
Yeah ukipata anaekupenda toka moyon mjali, ukikutana na hawa wezi wa mijini muibiane vilivyo.
Kuna mwanamke hapa namfatilia ni almost mwaka sasa , hajawahi kunipa game japo huwa tunatoka outing mara nyingi lkn nikimgusia mambo ya sex tunagombana hata kusikia anasema mpaka ndoa hataki kutoa mzigo ila nimekuwa msaada kwake kwa mambo mengi lkn mishen yangu ya kusex nae haijatimia,
Na kila nikitaka kuachana nae naona ananipotezea mda najikuta nimemchek na kumsaidia kitu fulan yeye hana zile papara sna na mimi but akiwa na shida atanichek, uzur nishajua ana mshikaji wake yupo nae kitambo na hilo alisema mwenyewe but Yaan tupo tu Yaan sametimes nakuwa sielew kwann tunakuwa pamoja
Now nilimwambia huko unapokaa itabid uhame maana yupo Arusha ni mbali kidogo na mjin nataka nimpagie nyumba mjin na yy kakubali na kasema ukifanya hivo atafurah na ntakuwa naenda kwake pia ..
Sasa just najiuliza hili wazo limekujaje kichwan ivi inawezekana kweli mtu ukatoa almost 2mil kumpangia mwanamke ambaye sio future yako nyumba kwa lengo tu la kutaka kufanya nae sex?
Huko napo elekea nahis ntafanya hivo nafsi ya kizinifu inaniforce hivo
Hebu tushare experiences km ushawahi kujitoa katika hilo na huku ukirefer una familia ndani inakutegea,
Huwa picha ya huyu mwanamke inaniijia kichwan jins alivyo mzur na alivyo umbika juz tu hapa nmeenda bank nikarudia njian nilitaka kwenda kutoa hizo pesa za kodi but nikamwaza mama watoto wangu na kids wangu nikasema sibora tu nikawanunulia wao vitu nikaongeza upendo kwao
But kuna nguvu kubwa sana ya mvutano baina ya nafsi yangu na napoelekea Mchepuko utashinda kodi naenda kutoa jmn daaa.
Nina akili zangu timamu tu na nahis Man wengi inawatoea hii kitu kutoa pesa na huduma kwajil ya papunch tu na ubaya ni pale unapoifukuzia na ushatoa garama zako nyingi na hujapata kuacha inakuwa ngum maana utakuwa umekula hasara.
Anatafuta location mwenyewe,ya kulala....HOTEL YA LAKI TANO...KWA HIYO MKUU,ANAENDA KULALA MWENYEWE?AU UNALALA NAE,KAMA DADA YAKO?AU SIJAKUELEWA?
MTOA MADA PIMBI SANA,UNGEKUWA KARIBU NINGEKUWASHA MAKOFI AKILI IKURUDI[emoji35][emoji84]
Huwezi amini. Unaweza kuta kuna boya anamla kilaini tu ila kwako anakaza pengine kwa jinsi unavyomuona wa matawi.
Sex ulianza ukiwa na miaka mingapi???
Mpaka umeoa ulishatembea na wanawake wangapi???
Nachokiona mimi ni mshamba wa wanawake kaweka post yake tu comment au basi mtu aliyelogwa.Kifupi sio mtu timamu hapa
Mtoa mada
Kuanzia Sasa nakutunuku cheo Cha KAPTENI SEVU E HOO[emoji116]View attachment 1769873
Kosa kubwa la kwanza ulilolifanya, ni kuanza ku spend hela nyingi kwa mwanamke kabla hujamla. Kwahiyo sasa unaona shida kuachana nae maana unawaza hela zako nyingi ulizotumia zitakua zimeenda bure! Na huyo mwanamke analijua hilo, ndio maana anaendelea kukuvuta ili aendelee kukutumia zaidi. Na wewe unadhani kuwa ukiendelea kupandisha dau ndio utampata! Ila amin amin nakuambia, huyu mwanamke hutakaa umle labda umuwekee madawa ya kulevya umbake!!! Hii ni kwasababu yeye mwenyewe anajua kabisa kwamba ukishamla utakata mrija wa hela na wakati yeye bado hajamalizana na wewe.
Kosa la pili, kila siku nasema humu. Unapoanzisha mahusiano na mwanamke, hasa kama huyo mwanamke ni mzuri, una kipindi kifupi sana cha kuhakikisha umemla! Mimi hua nasema isizidi wiki mbili, maana ikishazidi hapo kumbuka mwanamke mzuri ana wanaume wengi wanaomfukuzia kwa mbinu mbalimbali. Kadri muda unavyopita bila kumla, ndivyo mvuto wako kwake unavyoenda ukipungua na mwisho anakua hana tena mzuka na wewe. Anabaki kukuchuna tu.
Mwisho kabisa nikushauri tu. Hakuna papuchi yenye thamani kubwa kiasi icho ambacho unataka kutoa. Hata ikitokea ukaja kumla, utajilaumu sana kwanini ulitumie hela zako nyingi wakati hautakuta maajabu yoyote.
Pole bro. unaenda kufa kabla ya siku si zako.yaani unaendeshwa na nguvu zake za kichawi.Kwa sababu umesema unafamilia nenda kamshirikishe mkeo atakusaidia mkuu.otherwise jihadhari pia maana unaweza uza hata asets zakoKuna mwanamke hapa namfatilia ni almost mwaka sasa , hajawahi kunipa game japo huwa tunatoka outing mara nyingi lkn nikimgusia mambo ya sex tunagombana hata kusikia anasema mpaka ndoa hataki kutoa mzigo ila nimekuwa msaada kwake kwa mambo mengi lkn mishen yangu ya kusex nae haijatimia,
Na kila nikitaka kuachana nae naona ananipotezea mda najikuta nimemchek na kumsaidia kitu fulan yeye hana zile papara sna na mimi but akiwa na shida atanichek, uzur nishajua ana mshikaji wake yupo nae kitambo na hilo alisema mwenyewe but Yaan tupo tu Yaan sametimes nakuwa sielew kwann tunakuwa pamoja
Now nilimwambia huko unapokaa itabid uhame maana yupo Arusha ni mbali kidogo na mjin nataka nimpagie nyumba mjin na yy kakubali na kasema ukifanya hivo atafurah na ntakuwa naenda kwake pia ..
Sasa just najiuliza hili wazo limekujaje kichwan ivi inawezekana kweli mtu ukatoa almost 2mil kumpangia mwanamke ambaye sio future yako nyumba kwa lengo tu la kutaka kufanya nae sex?
Huko napo elekea nahis ntafanya hivo nafsi ya kizinifu inaniforce hivo
Hebu tushare experiences km ushawahi kujitoa katika hilo na huku ukirefer una familia ndani inakutegea,
Huwa picha ya huyu mwanamke inaniijia kichwan jins alivyo mzur na alivyo umbika juz tu hapa nmeenda bank nikarudia njian nilitaka kwenda kutoa hizo pesa za kodi but nikamwaza mama watoto wangu na kids wangu nikasema sibora tu nikawanunulia wao vitu nikaongeza upendo kwao
But kuna nguvu kubwa sana ya mvutano baina ya nafsi yangu na napoelekea Mchepuko utashinda kodi naenda kutoa jmn daaa.
Nina akili zangu timamu tu na nahis Man wengi inawatoea hii kitu kutoa pesa na huduma kwajil ya papunch tu na ubaya ni pale unapoifukuzia na ushatoa garama zako nyingi na hujapata kuacha inakuwa ngum maana utakuwa umekula hasara.
Mkuu unaenda kuharibu maisha yako kwa kitu kidogo ambacho unaweza kukiepuka.....
Hiyo nafsi iliyokusitisha usifanye muamala endelea kuisikiliza.
Huyo dada hana cha kukupa zaidi ya alivyonavyo mkeo.
Ungempotezea tangu wiki 2 angeshakuja mwenyewe ukatafuna bila kupenda...ila umezubaa anaweza asirud nyumaSasa huyu manzi ngoja nimpotezee tu atanifilis
Kaka pole hutokea moyo ukizama
Kemea nafsi yako
Hiyo hela heri umpe mkeo akafanye hata shopping...hebu amka asubuhi mpe mkeo 2,000,000 akiuliza za nini mwambie za matumizi yako binafsi uone utakavyopalilia penzi
Wanawake huwa na mwanaume anayejua hapindui.....atakachoomba atapata na mbususu hakupi!!! Shtuka!!!!!
Wanaume wenzio watakupiga madongo tu hapa wakati wanahonga hadi nyumba za urithi!!!!
Labda Ni mwislam mke wa pili au hajui Kama jamaa ameoa maana wanaume mnaweza vua Pete au hamvaia au kudanganya sijaoa nataka kukuoa wewe tuMkuu tumia akili kidogo.Umeoa na yeye ana mtu wake japo yuko mbali. Acha. Focus kwenye furure na familia yako. Kama hayuko tayari umle mpaka ndoa na umesema una mke huoni unatudanganya?
Ni ndoa gani hiyo wakati nyote mna wapenzi wenu na hamjaachana tena na wewe una mtoto? Usidanganyike na uzuri wa mtu wa pembeni wakati una wako acha baki njia kuu jenga mji wako ukiwa bado kijana. Wazuri hawaishi
Kiongozi nakutakia kazi njema ya kuendelea kushika mapembe.Kuna mwanamke hapa namfatilia ni almost mwaka sasa , hajawahi kunipa game japo huwa tunatoka outing mara nyingi lkn nikimgusia mambo ya sex tunagombana hata kusikia anasema mpaka ndoa hataki kutoa mzigo ila nimekuwa msaada kwake kwa mambo mengi lkn mishen yangu ya kusex nae haijatimia,
Na kila nikitaka kuachana nae naona ananipotezea mda najikuta nimemchek na kumsaidia kitu fulan yeye hana zile papara sna na mimi but akiwa na shida atanichek, uzur nishajua ana mshikaji wake yupo nae kitambo na hilo alisema mwenyewe but Yaan tupo tu Yaan sametimes nakuwa sielew kwann tunakuwa pamoja
Now nilimwambia huko unapokaa itabid uhame maana yupo Arusha ni mbali kidogo na mjin nataka nimpagie nyumba mjin na yy kakubali na kasema ukifanya hivo atafurah na ntakuwa naenda kwake pia ..
Sasa just najiuliza hili wazo limekujaje kichwan ivi inawezekana kweli mtu ukatoa almost 2mil kumpangia mwanamke ambaye sio future yako nyumba kwa lengo tu la kutaka kufanya nae sex?
Huko napo elekea nahis ntafanya hivo nafsi ya kizinifu inaniforce hivo
Hebu tushare experiences km ushawahi kujitoa katika hilo na huku ukirefer una familia ndani inakutegea,
Huwa picha ya huyu mwanamke inaniijia kichwan jins alivyo mzur na alivyo umbika juz tu hapa nmeenda bank nikarudia njian nilitaka kwenda kutoa hizo pesa za kodi but nikamwaza mama watoto wangu na kids wangu nikasema sibora tu nikawanunulia wao vitu nikaongeza upendo kwao
But kuna nguvu kubwa sana ya mvutano baina ya nafsi yangu na napoelekea Mchepuko utashinda kodi naenda kutoa jmn daaa.
Nina akili zangu timamu tu na nahis Man wengi inawatoea hii kitu kutoa pesa na huduma kwajil ya papunch tu na ubaya ni pale unapoifukuzia na ushatoa garama zako nyingi na hujapata kuacha inakuwa ngum maana utakuwa umekula hasara.
Sijasoma maelezo yote lakini NENDA KAOMBEWE,unakaa na mtu mwaka mzima bila kula tunda?!! Ni dadako? Bora ungekuwa wewe ndio humtaki,sa mkikaa hua mnaongea nini?
Unalipiwa?Umefall kisawasawa!
Kiongozi nakutakia kazi njema ya kuendelea kushika mapembe.