Haya maswali mkuu mtu akiyajibu kwa ufasaha kwa kirefu atakuwa ameandika paper kabisa. Ungeuliza moja kama lililopo kwenye title then mengine ungechomeka kulingana na response za wadau. Ila uko vizuri, it seems you are conducting a research YES?
I feel you man, usiombe aache dawa halafu kipande, mtajutaa[emoji23][emoji23]Nina dada angu ni kichaa anachukua dozi muhimbili, Kuna mtukio mengi mabaya yanatokea kwenye jamii watu huwa wanamlaumu muhusika lakini kwa experience ninayoipata kwa dada angu ugonjwa wa kichaa ni ugonjwa hatari na serikali ipo kimya.
Huyu sister akiwa njian ukiambiwa mgonjwa unakataa kabisa na ana biashara zake kabisa. Shida akiacha dawa wanaojua ndio wanaelewa mtu baki unaweza sema anajifanyisha
πππππ Acha tu.
Nina dada angu ni kichaa anachukua dozi muhimbili, Kuna mtukio mengi mabaya yanatokea kwenye jamii watu huwa wanamlaumu muhusika lakini kwa experience ninayoipata kwa dada angu ugonjwa wa kichaa ni ugonjwa hatari na serikali ipo kimya.
Huyu sister akiwa njian ukiambiwa mgonjwa unakataa kabisa na ana biashara zake kabisa. Shida akiacha dawa wanaojua ndio wanaelewa mtu baki unaweza sema anajifanyisha