Ugonjwa WA akili ulimfanya baba ajiue poor me I was 6 years old 1994...Mwnzo WA kutaabika MA maisha..... Rest in peace Dear Dad.. As they claim there is second life.. We will meet again.. I miss your love and care....
Pamoja nakuugua ugonjwa WA akili I was your favorite pet...
Kwani ww unataka wingi wa comments au ujifunze kitu?...Noo Mshana,sitaki hivyo..watu hawatacomment 🙄🙄
Sisi tuna ndugu alipata ugonjwa wa akili akiwa university pale Mlimani. Wenzake walisema alianza kuongea kupita kiasi wakati wa mijadala na hata darasani, akawa analazimisha kazi za group kuziwasilisha mwenyewe kwa niaba ya group, lakini alikuwa anakesha anaandika mambo marefu sana kuliko swali lenyewe na hata wakati wa presentation anataka atumie muda wote kuongea mambo yake. Akakosana na wenzake chuoni na hata walimu, na baadaye akaripotiwa kupotea. Baada ya wiki kama 3 za kumtafuta, akaonekana Mbagala akiwa mchafu sana, amekonda, anazurura hovyo mitaani. Akakamatwa akapelekwa hospitali Muhimbili wataalamu wakamtibu mwezi mzima akatoka msafi na akili zimerudi. Semester yote alibaki nyumbani akawa anaendelea na clinic Muhimbili, na baadaye chuo kikamruhusu kurudia mwaka.Habari JF,
Ningependa kujua subjective experiences zenu kuhusu kichaa.
Ushawahi kuumwa kichaa? Ushawahi kukumbana na kichaa? Ulijuaje huyu ni kichaa? Wewe au familia yenu mshawahi kuwa na kichaa? Mlienda wapi kutafuta msaada? Hospitalini? Kanisani? Kwa Mganga?
Alipona? Alipona kabisa, au alirudia kuumwa?
Nini mtazamo wako kifanyike kusaidia vichaa na familia zao, at Individual level, family support and at national level?
I know its a taboo subject, ila ningependa kuona uzoefu wenu. LETS TALK ABOUT IT hapa, tuko anonymous usiogope, kama vipi njoo na ID yako afu utiririke. 😂 😂
Sisi tuna ndugu alipata ugonjwa wa akili akiwa university pale Mlimani. Wenzake walisema alianza kuongea kupita kiasi wakati wa mijadala na hata darasani, akawa analazimisha kazi za group kuziwasilisha mwenyewe kwa niaba ya group, lakini alikuwa anakesha anaandika mambo marefu sana kuliko swali lenyewe na hata wakati wa presentation anataka atumie muda wote kuongea mambo yake. Akakosana na wenzake chuoni na hata walimu, na baadaye akaripotiwa kupotea. Baada ya wiki kama 3 za kumtafuta, akaonekana Mbagala akiwa mchafu sana, amekonda, anazurura hovyo mitaani. Akakamatwa akapelekwa hospitali Muhimbili wataalamu wakamtibu mwezi mzima akatoka msafi na akili zimerudi. Semester yote alibaki nyumbani akawa anaendelea na clinic Muhimbili, na baadaye chuo kikamruhusu kurudia mwaka.
Kufupisha, alimaliza kozi yake vizuri. Naamini nidhamu aliyozingatia ya kuhudhuria tarehe zote za clinic alizowekewa na kumeza dawa zake bila kukosa ilimsaidia. Sasa hivi ana kazi nzuri kule TCAA na ukimuona alivyo nadhifu huwezi kuamini amewahi kupata changamoto hiyo. Bado anazingatia matibabu yake, ana mke na watoto wanaosoma shule tofauti na kote wako very bright, ndio wanaoongoza madarasa yao.
kwa uzoefu huu nilioshea, nashauri sana kuwa wagonjwa wa akili wapelekwe hospitali katika vitengo maalumu vya magonjwa ya akili, na hata wakishatoka hospitali waendelee kupata support ya familia katika kuzingatia dawa na clinic schedules. Familia isiwanyanyapae, badala yake iwape nafasi ya kuonesha uwezo wao baada ya kupona. Huyo ndugu yetu ni mara moja tu alifikia hiyo hatua ya kuokota makopo, lakini tangu atoke hospitali haijarudia tena ilibaki hadithi tu kwa waliomuona wakati ule lakini sasa hivi hata ukisimulia jirani au wafanyakazi wenzake hawatakuamini, yuko safi kabisa. Hii hali inatibika, ni suala tu la kuzingatia matibabu na ushauri.
Exactly. Nilijifunza mengi tulipokuwa tunamuuguza ndugu yetu Muhimbili, wana kitengo cha rehabilitation pia kwa ajili ya wale walioharibikiwa kwa muda mrefu hadi kupoteza kila kitu including skills walizokuwa nazo kabla ya kuugua. Mgonjwa akisharudi kwenye hali ya kujielewa anapelekwa huko akajifunze upya mambo ya kumsaidia kimaisha.Asante mkuu kwa ku share..hata wale tunaowaona huko barabarani wakiokota makopo na kula jalalani ni ndugu za watu waliopotea… sad,msaada kwao haukufika in time.
Exactly. Nilijifunza mengi tulipokuwa tunamuuguza ndugu yetu Muhimbili, wana kitengo cha rehabilitation pia kwa ajili ya wale walioharibikiwa kwa muda mrefu hadi kupoteza kila kitu including skills walizokuwa nazo kabla ya kuugua. Mgonjwa akisharudi kwenye hali ya kujielewa anapelekwa huko akajifunze upya mambo ya kumsaidia kimaisha.
Kwa hiyo bado naamini kuwa hata hao wanaookota makopo na kula majalalani wakiingizwa kwenye mfumo huo wa matibabu na rehabilitation bado wanaweza kufanikiwa. Tatizo ni kwamba hakuna wa kuwajibika juu yao achukue jukumu hilo asimamie hatua zote.
Nilikutana mwaka juzi na mama mmoja, mwanaye amejifungua akapatwa kifafa cha mimba kikapelekea ukichaa kamili, hawakujua wakawa wamemleta kwa mchungaji mmoja maarufu ati aombewe ana mapepo!
Dada ana nguvu huyo, nikasaidia kuwapeleka kitengo cha wagonjwa wa akili, mle nikaingia!
Inatia huruma, vichaa kumbe vinatibika tu bwana; yule dada ametumia dawa kwa muda mrefu now ni mzima, ila hana kumbukumb kam ana mtoto😭😭😭😢😢!aliniuma balaa mikono!
Mungu awasadie wagonjwa wa akili jamani..ingawa na humu wamo!👯