Ushawahi kununua gari Be Forward?

Ushawahi kununua gari Be Forward?

Mbona kufahamu kodi ya gari inayopaswa kulipwa ni very simple.. ingia website ya TRA kisha nenda 'calculator and tools' hapo utaona namna kodi inavyokadiriwa usiogope. Ila ukiona gharama ya kodi hapo ni kubwa na unadhani sio afiki unaweza kukata rufaa kwa kamishna wa kodi hapo bandarini.
is it work? Yaan unakata rufaa wanakupunguzia
 
Hiyo gari mpk uipate itagharimu milioni kama 20 na kidogo. Halafu hiyo bei kama kubwa sana kwa vitz. Mie nilinunua Harrier usd 3900 mwaka juzi ya 2004
Japo sijui vzr mambo ya kodi za bandarini lkn naona km mnamvunja moyo, vitz 20mln si ni heri akaitafute ktk show Rooms za hapa Dar?
Pia vp juu ya usahihi wa ile online TRA vat calcutaion? Si that not reliabke? Nikiitumia napata km 3/4 ya CIF. Imekaaje iyo?
 
Tax of cars importation is so transparency.....chagua gari unataka either befoward, trade car view au hata kwa mtu kwenye hyo nchi.

Kwenye TRA website kuna calculator ambayo iko user-friendly mtu yeyote anaweza kutumia

How is work! Iko hivi calculator ina base on brand, model, year of manufacture and engine capacity Cc....hvyo vitu kwa sababu ya mchanganuo wa kodi zetu i.e import duty, excise duty(kodi ya uchakavu) and VAT plus other costs like registration cost, Railway development levy.

So kabla ujaagiza gari au kununua huko unapopajua unatakiwa kujua kila gharama kuanzia port charges, Tax etc.

Hivi vitu viko wazi kabsa, usikubali kuyumbishwa.
 
TRA calculator kuna estimations ya kila aina ya gari kutoka na year of manufacture

So mathematical inafanyika hivi, tax based on whichever is higher
1. iF your CIF invoice is below than tax calculator estimation, tax charge based on calculator, while
2.If your CIF invoice is higher than tax calculator estimation,tax charge base on your invoice CIF.

Tax is simply complex kidogo and its a law(kutokujua sheria sio kukwepa kodi),

so tuache kusikiliza story za mitaani, kitu ujui ask(nenda ofisi za TRA au find consultant)
 
Japo sijui vzr mambo ya kodi za bandarini lkn naona km mnamvunja moyo, vitz 20mln si ni heri akaitafute ktk show Rooms za hapa Dar?
Pia vp juu ya usahihi wa ile online TRA vat calcutaion? Si that not reliabke? Nikiitumia napata km 3/4 ya CIF. Imekaaje iyo?
Hiyo vitz anayoitafuta ni ya mwaka 2012 sio zile vitz za kizamani jana nilii-google ni ya kisasa sana. Unaweza ukaangalia namba yake ya BF kisha google utaona hilo gari na baadae chukua details zake na kuweka kwenye tax calculator ya TRA utaona gharama za kodi. Hiyo kusema ni mara 2 ya CIF ni makadirio tu inaweza kuwa 90% au 98% ila tunakadira kama mara 2 ya CIF price

Vitz yenyewe hiyo hapo chini
BE FORWARD : 2012 TOYOTA Vitz
 
The CIF price of the car to Dar es salaam is $4000, the guy says at Dar es salaam port Taxes will be almost same price as buying price, so totall i will have to prepare about $8000, thats what i was wondering, how come taxes are so high?
ingiza details za gari katika link hiyo hapo chini utapata jibu la kiasi cha kodi cha kulipa sisi tumekadiria kwa uzoefu kuwa inakaribia bei ya gari

Used Motor Vehicle Valuation System - Used Motor Vehicle Valuation System
 
The CIF price of the car to Dar es salaam is $4000, the guy says at Dar es salaam port Taxes will be almost same price as buying price, so totall i will have to prepare about $8000, thats what i was wondering, how come taxes are so high?

Huu ndio ukweli

Nimethibisha kwasababu nimeshalipa

8000 USD itatoshereza kila kitu gari nitakuwa home kwako.
 
Hiyo CIF ni Cost Insurance and Freight hizi ni gharama ya gari,bima ya gari yako na gharama ya usafiri mpaka nchi uliopo na hiyo FOB ni Free on Board hii bei ya gari tu likiwa kule Japan.
Cargo Inspection Freight....sio Insurance
 
Hili swala sijawahi kulielewa, kwanini gari toleo jipya kodi yake ni kubwa kuliko Matoleo ya zamani, hawaoni kama wanafanya nchi yetu kuwa dampo maana watu wanaagiza gari za hadi miaka ya 90 kisa kodi yake ni ndogo. Mwenye uelewa na hizi kodi anisaidie
 
Okey nimeomba quotation kwa gar flani iv wanasema CIF ni $4000 mpaka Dar, hiyo inamaanisha mimi nitagharamikia Kodi tu right?
Ina maana hapo unatakiwa umalizane na TRA...kodi ambayo roughly ni dola 4000 tena.....ina maana total mpaka gari mkononi ni dola 8000
 
Hiyo vitz anayoitafuta ni ya mwaka 2012 sio zile vitz za kizamani jana nilii-google ni ya kisasa sana. Unaweza ukaangalia namba yake ya BF kisha google utaona hilo gari na baadae chukua details zake na kuweka kwenye tax calculator ya TRA utaona gharama za kodi. Hiyo kusema ni mara 2 ya CIF ni makadirio tu inaweza kuwa 90% au 98% ila tunakadira kama mara 2 ya CIF price

Vitz yenyewe hiyo hapo chini
BE FORWARD : 2012 TOYOTA Vitz

Kama ni vitz ya 2012, kodi yake haizidi 5.5m
 
Salaam wakuu, nimeshawishika kununua gari (kuagiza) kwa kutumia huu mtandao wa BE FORWARD, Kinachonishangaza ni bei zao wanazoandika mtandaoni, waweza kuta $1500 unapata IST au VITZ nzuri kabisa nashindwa kuelewa hizi bei ni za kweli au kuna additional costs. Mwenye uelewa anisaidie tafadhali.
Bei za kweli mkuu,ukiangalia hizo bei ni ghali sana kifananisha na kienda aan mwenyewe,binafsi nimesha wahi kenda Japan unaweza kupata gazi mpaka dola 150 za kimarekani....

Kumbuka vile vile kuna usafirishahi si chini ya dollar 1000 ya kimarekani
 
the best of bforward wana repsentatives hapa Dar...
 
Kama ni vitz ya 2012, kodi yake haizidi 5.5m
Reference Number: 17183094839
Make: TOYOTA
Model: VITZ
Body Type: HATCHBACK
Year of Manufacture: 2012
Country: JAPAN
Fuel Type: PETROL
Engine Capacity: 501 - 1000 CC
Customs Value CIF (USD): 3,688.00
Import Duty (USD): 922.00
Excise Duty (USD): 0.00
Excise Duty due to Age (USD): 0.00
VAT (USD): 879.65
Custom Processing Fee (USD): 22.13
Railway Dev Levy (USD): 55.32
Total Import Taxes (USD): 1,879.09
Total Import Taxes (TSHS): 4,239,104.55
Vehicle Registration Fee (TSHS): 450,000.00
TOTAL TAXES (TSHS): 4,689,104.55
 
Back
Top Bottom