Ushawahi kununua gari Be Forward?

Ushawahi kununua gari Be Forward?

Kwa hio hela ni bora ninunue a more good looking car, kuna gari inaitwa toyota fielder iko underated sijui niseme discouraged na wanunuzi ila its a very good looking car and very economical iko na engine kama ya ist tu. Ni type ya corolla ila body yake ni kama wish, spacio,isis,opa.

Bei yake ipo reasonable sana ukiangalia ya tokea 2009-2013 zinanunulika kwa bei poa na zina looks fiti venye uki compared na huto tu toy twa vitz!
Daah kila mtu ana "tastes" zake kiukweli Fielder ina sura mbaya kwangu hatarii sina hata sifa 1 ya kuipa kiukweli.

Samahani lkn mkuu.
 
Ninavyojua ni kuwa in order to discourage the importation of used stuff, high tax is imposed on such items!
Walitakiwa wa-discourage importation of used cars kama kungekuwa na viwanda vya magari nchini. Sasa hapo maana take ni mini?
 
Ukiagiza kupitia Beforward kwenye BF Supported I.D weka 500291 utapata punguzo kwenye gharama za kununua gari
 
Ukiagiza kupitia Beforward kwenye BF Supported I.D weka 500291 utapata punguzo kwenye gharama za kununua gari
Milikuwa naangalia hiyo kampuni ya kuuza magari used kutoka japani kama mnavyo ona bei ya hiyo nissan civilian bei yake pamoja na delivery cost plus insuarance and inspection hiyo bei ni reasonable ? Wenye uzoefu na kuimport magari kutoka japani tusaidie hapo nataka kuimport
Screenshot_2018-03-22-16-45-27.jpg
 
Kwa hio hela ni bora ninunue a more good looking car, kuna gari inaitwa toyota fielder iko underated sijui niseme discouraged na wanunuzi ila its a very good looking car and very economical iko na engine kama ya ist tu. Ni type ya corolla ila body yake ni kama wish, spacio,isis,opa.

Bei yake ipo reasonable sana ukiangalia ya tokea 2009-2013 zinanunulika kwa bei poa na zina looks fiti venye uki compared na huto tu toy twa vitz!
Kwakweli hicho ndo wahenga walisema kipenda roho!!! Yaani mtoa mada yuko tayari kununua kivitz kwa zaidi ya milioni 16 ilihali Kuna gari nzuri na zenye nafasi kama fielder!!
 
KARIBU PIA NA WENGINE MUAGIZE GARI ZENU KUPITIA SBT JAPAN, Tunarahisisha mchakato hadi kukukabidhi gari mkononi. Week 6 tu gari unakabidhiwa. Gari za uhakika kwa sasa ni SBT. Karibu, ukipenda tafadhari wasiliana nami 0692096669; au Tembelea: www.sbtjapan.com
Chagua gari kisha nipe stock Id yake tukupe bei.
Nyinyi tatizo lenu gari zenu nyingi mileage inakuwa iko juu sana!! Mwaka juzi december nyumbani tuliagiza Subaru forester xt 2010 kupitia kwenu sbt japan; mileage ilikuwa inasoma 175,000km. Huo ni mfano hai tu! Naonaga mnauza mpaka brevis ina 190,000km
 
Kwa hio hela ni bora ninunue a more good looking car, kuna gari inaitwa toyota fielder iko underated sijui niseme discouraged na wanunuzi ila its a very good looking car and very economical iko na engine kama ya ist tu. Ni type ya corolla ila body yake ni kama wish, spacio,isis,opa.

Bei yake ipo reasonable sana ukiangalia ya tokea 2009-2013 zinanunulika kwa bei poa na zina looks fiti venye uki compared na huto tu toy twa vitz!
Ni corolla fielder mkuu
 
Milikuwa naangalia hiyo kampuni ya kuuza magari used kutoka japani kama mnavyo ona bei ya hiyo nissan civilian bei yake pamoja na delivery cost plus insuarance and inspection hiyo bei ni reasonable ? Wenye uzoefu na kuimport magari kutoka japani tusaidie hapo nataka kuimport View attachment 722464
Uki-import mkuu, sisi S.A Link Traders Ltd-Clearing & Forwarding Agent tutakutolea gari yako bandarini kwa bei nzuri, haraka na kwa ufanisi.
Wasiliana nasi;
S.A Link Traders Ltd,
2nd Floor-Elite City building,
Samora Avenue/Morogoro Road,
Dar es Salaam- Tanzania.
email: info@salink.co.tz
Mob: +255718 866 651 ( Call or Whatsapp )
Website: www.salink.co.tz
Facebook page: S.A LINK Traders LTD
 
Nawakubali sana. Kila hatua wanakueleza, kama huwezi kufanya mwenyewe wanakufanyia ili mradi tu gharama wanazokuambia utekeleze, na wanakuwa open.
Wabongo tunaofanya biashara mtandaoni inabidi tuige mfano wa Beforward
 
The CIF price of the car to Dar es salaam is $4000, the guy says at Dar es salaam port Taxes will be almost same price as buying price, so totall i will have to prepare about $8000, thats what i was wondering, how come taxes are so high?
inaitwa "karibu bongo"
 
Back
Top Bottom