is it work? Yaan unakata rufaa wanakupunguziaMbona kufahamu kodi ya gari inayopaswa kulipwa ni very simple.. ingia website ya TRA kisha nenda 'calculator and tools' hapo utaona namna kodi inavyokadiriwa usiogope. Ila ukiona gharama ya kodi hapo ni kubwa na unadhani sio afiki unaweza kukata rufaa kwa kamishna wa kodi hapo bandarini.
Japo sijui vzr mambo ya kodi za bandarini lkn naona km mnamvunja moyo, vitz 20mln si ni heri akaitafute ktk show Rooms za hapa Dar?Hiyo gari mpk uipate itagharimu milioni kama 20 na kidogo. Halafu hiyo bei kama kubwa sana kwa vitz. Mie nilinunua Harrier usd 3900 mwaka juzi ya 2004
Ushauri huu mgumu, sheria ya kodi inasema ili rufaa yako ipokelewe lzm uwe umelipia more than half of tax dueis it work? Yaan unakata rufaa wanakupunguzia
Hiyo vitz anayoitafuta ni ya mwaka 2012 sio zile vitz za kizamani jana nilii-google ni ya kisasa sana. Unaweza ukaangalia namba yake ya BF kisha google utaona hilo gari na baadae chukua details zake na kuweka kwenye tax calculator ya TRA utaona gharama za kodi. Hiyo kusema ni mara 2 ya CIF ni makadirio tu inaweza kuwa 90% au 98% ila tunakadira kama mara 2 ya CIF priceJapo sijui vzr mambo ya kodi za bandarini lkn naona km mnamvunja moyo, vitz 20mln si ni heri akaitafute ktk show Rooms za hapa Dar?
Pia vp juu ya usahihi wa ile online TRA vat calcutaion? Si that not reliabke? Nikiitumia napata km 3/4 ya CIF. Imekaaje iyo?
ingiza details za gari katika link hiyo hapo chini utapata jibu la kiasi cha kodi cha kulipa sisi tumekadiria kwa uzoefu kuwa inakaribia bei ya gariThe CIF price of the car to Dar es salaam is $4000, the guy says at Dar es salaam port Taxes will be almost same price as buying price, so totall i will have to prepare about $8000, thats what i was wondering, how come taxes are so high?
The CIF price of the car to Dar es salaam is $4000, the guy says at Dar es salaam port Taxes will be almost same price as buying price, so totall i will have to prepare about $8000, thats what i was wondering, how come taxes are so high?
Cargo Inspection Freight....sio InsuranceHiyo CIF ni Cost Insurance and Freight hizi ni gharama ya gari,bima ya gari yako na gharama ya usafiri mpaka nchi uliopo na hiyo FOB ni Free on Board hii bei ya gari tu likiwa kule Japan.
mwambie mwenzako watakachomfanya pale bandarini piaNi za kweli kabisa, ni waaminifu. Go on!
Ina maana hapo unatakiwa umalizane na TRA...kodi ambayo roughly ni dola 4000 tena.....ina maana total mpaka gari mkononi ni dola 8000Okey nimeomba quotation kwa gar flani iv wanasema CIF ni $4000 mpaka Dar, hiyo inamaanisha mimi nitagharamikia Kodi tu right?
ExactlyTwo times? What does that mean brother, do u mean tax can be up to $4k ?
mwambie mwenzako watakachomfanya pale bandarini pia
Hapo hujalipia bima na zaga zaga nyingineIna maana hapo unatakiwa umalizane na TRA...kodi ambayo roughly ni dola 4000 tena.....ina maana total mpaka gari mkononi ni dola 8000
Hiyo vitz anayoitafuta ni ya mwaka 2012 sio zile vitz za kizamani jana nilii-google ni ya kisasa sana. Unaweza ukaangalia namba yake ya BF kisha google utaona hilo gari na baadae chukua details zake na kuweka kwenye tax calculator ya TRA utaona gharama za kodi. Hiyo kusema ni mara 2 ya CIF ni makadirio tu inaweza kuwa 90% au 98% ila tunakadira kama mara 2 ya CIF price
Vitz yenyewe hiyo hapo chini
BE FORWARD : 2012 TOYOTA Vitz
Bei za kweli mkuu,ukiangalia hizo bei ni ghali sana kifananisha na kienda aan mwenyewe,binafsi nimesha wahi kenda Japan unaweza kupata gazi mpaka dola 150 za kimarekani....Salaam wakuu, nimeshawishika kununua gari (kuagiza) kwa kutumia huu mtandao wa BE FORWARD, Kinachonishangaza ni bei zao wanazoandika mtandaoni, waweza kuta $1500 unapata IST au VITZ nzuri kabisa nashindwa kuelewa hizi bei ni za kweli au kuna additional costs. Mwenye uelewa anisaidie tafadhali.
umetumia tax calculator?Kama ni vitz ya 2012, kodi yake haizidi 5.5m
Reference Number: 17183094839Kama ni vitz ya 2012, kodi yake haizidi 5.5m