falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,189
- 9,299
Daah kila mtu ana "tastes" zake kiukweli Fielder ina sura mbaya kwangu hatarii sina hata sifa 1 ya kuipa kiukweli.Kwa hio hela ni bora ninunue a more good looking car, kuna gari inaitwa toyota fielder iko underated sijui niseme discouraged na wanunuzi ila its a very good looking car and very economical iko na engine kama ya ist tu. Ni type ya corolla ila body yake ni kama wish, spacio,isis,opa.
Bei yake ipo reasonable sana ukiangalia ya tokea 2009-2013 zinanunulika kwa bei poa na zina looks fiti venye uki compared na huto tu toy twa vitz!
Gari linavyozidi upya ndio kodi inakua juuNakubali kabisa, haya ya used nadhani wanayatax sana bila sababu ya msingi hata kama ipo ni too high! huge tax one can declare!
Ninavyojua ni kuwa in order to discourage the importation of used stuff, high tax is imposed on such items!Gari linavyozidi upya ndio kodi inakua juu
Walitakiwa wa-discourage importation of used cars kama kungekuwa na viwanda vya magari nchini. Sasa hapo maana take ni mini?Ninavyojua ni kuwa in order to discourage the importation of used stuff, high tax is imposed on such items!
Nilidhani the same ila jaribu kuangalia kodi ya gari la 2016 na 2000Ninavyojua ni kuwa in order to discourage the importation of used stuff, high tax is imposed on such items!
nitaangaliaNilidhani the same ila jaribu kuangalia kodi ya gari la 2016 na 2000
Milikuwa naangalia hiyo kampuni ya kuuza magari used kutoka japani kama mnavyo ona bei ya hiyo nissan civilian bei yake pamoja na delivery cost plus insuarance and inspection hiyo bei ni reasonable ? Wenye uzoefu na kuimport magari kutoka japani tusaidie hapo nataka kuimportUkiagiza kupitia Beforward kwenye BF Supported I.D weka 500291 utapata punguzo kwenye gharama za kununua gari
Kwakweli hicho ndo wahenga walisema kipenda roho!!! Yaani mtoa mada yuko tayari kununua kivitz kwa zaidi ya milioni 16 ilihali Kuna gari nzuri na zenye nafasi kama fielder!!Kwa hio hela ni bora ninunue a more good looking car, kuna gari inaitwa toyota fielder iko underated sijui niseme discouraged na wanunuzi ila its a very good looking car and very economical iko na engine kama ya ist tu. Ni type ya corolla ila body yake ni kama wish, spacio,isis,opa.
Bei yake ipo reasonable sana ukiangalia ya tokea 2009-2013 zinanunulika kwa bei poa na zina looks fiti venye uki compared na huto tu toy twa vitz!
Anahitaji maombi huyo,Kwakweli hicho ndo wahenga walisema kipenda roho!!! Yaani mtoa mada yuko tayari kununua kivitz kwa zaidi ya milioni 16 ilihali Kuna gari nzuri na zenye nafasi kama fielder!!
Nyinyi tatizo lenu gari zenu nyingi mileage inakuwa iko juu sana!! Mwaka juzi december nyumbani tuliagiza Subaru forester xt 2010 kupitia kwenu sbt japan; mileage ilikuwa inasoma 175,000km. Huo ni mfano hai tu! Naonaga mnauza mpaka brevis ina 190,000kmKARIBU PIA NA WENGINE MUAGIZE GARI ZENU KUPITIA SBT JAPAN, Tunarahisisha mchakato hadi kukukabidhi gari mkononi. Week 6 tu gari unakabidhiwa. Gari za uhakika kwa sasa ni SBT. Karibu, ukipenda tafadhari wasiliana nami 0692096669; au Tembelea: www.sbtjapan.com
Chagua gari kisha nipe stock Id yake tukupe bei.
Ni corolla fielder mkuuKwa hio hela ni bora ninunue a more good looking car, kuna gari inaitwa toyota fielder iko underated sijui niseme discouraged na wanunuzi ila its a very good looking car and very economical iko na engine kama ya ist tu. Ni type ya corolla ila body yake ni kama wish, spacio,isis,opa.
Bei yake ipo reasonable sana ukiangalia ya tokea 2009-2013 zinanunulika kwa bei poa na zina looks fiti venye uki compared na huto tu toy twa vitz!
Ndio hio hio kiongozi, mradi umeelewaNi corolla fielder mkuu
Uki-import mkuu, sisi S.A Link Traders Ltd-Clearing & Forwarding Agent tutakutolea gari yako bandarini kwa bei nzuri, haraka na kwa ufanisi.Milikuwa naangalia hiyo kampuni ya kuuza magari used kutoka japani kama mnavyo ona bei ya hiyo nissan civilian bei yake pamoja na delivery cost plus insuarance and inspection hiyo bei ni reasonable ? Wenye uzoefu na kuimport magari kutoka japani tusaidie hapo nataka kuimport View attachment 722464
Kwanini usifanye utafiti kwanza kabla ya kubisha kitu usichokijua?Cargo Inspection Freight....sio Insurance
Nawakubali sana. Kila hatua wanakueleza, kama huwezi kufanya mwenyewe wanakufanyia ili mradi tu gharama wanazokuambia utekeleze, na wanakuwa open.Jamaa wazuri sana na wana customer services ya juu mno
Wabongo tunaofanya biashara mtandaoni inabidi tuige mfano wa BeforwardNawakubali sana. Kila hatua wanakueleza, kama huwezi kufanya mwenyewe wanakufanyia ili mradi tu gharama wanazokuambia utekeleze, na wanakuwa open.
exactlyTwo times? What does that mean brother, do u mean tax can be up to $4k ?
inaitwa "karibu bongo"The CIF price of the car to Dar es salaam is $4000, the guy says at Dar es salaam port Taxes will be almost same price as buying price, so totall i will have to prepare about $8000, thats what i was wondering, how come taxes are so high?