Sitaki goganisha magari watu wakawagawana vipisi vya viungo vyangu.Mitandao ya kijamii alimaarufu kama social media imekuwa nyenzo moja wapo tena kubwa sana ya watu kuanzishia mahusiano kwa miaka ya hivi karibuni.
Yaani unakutana na mtu online mnachat, mnabadilishana namba mnakutana live mnakulana na mishe zengine zinaendelea.
Imefikia hatua mpaka watu wanaingia kwenye ndoa ukifatilia walikutania wapi? Utaambiwa FB, mara insta mara twitter mara sijui wapi siku hizi mitandao ni mingi.
Je?? Humu JamiiForums, ushawahi kukutana na mtu mpaka mkawa wapenzi?
Japo naamini kwa nature ya JF ni ngumu kidogo watu ku'interact kwenye masuala binafsi ila kuna wale martin kadinda, duduke, nyoka pangoni, wanangu wa ngono zembe wao kupata mpenzi ni popote hata msibani.
........
Kama uliwahi kupata mpenzi em tuambie ilikuaje kuaje? Na mpaka sasa mmefikia hatua gani?
Mi ntakuchukua lakini siyo bureWewe kaka yangu hufai kabisa, ona unavyonigawa bure bure
Mnaficha vipara Kwa mawigiKhaaa
Tuna vipara na hamtuambii tufuge nywele πππππ
Depal[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] gud aftanuni apusteaz
AbeeDepal
Nimefika mlongo
Siiamini JF mchumbaKwani huniaminiii mchumbaaa?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wali? Pilau kabisa
Mi nafanyaga jokes kumbe wahuni wanamega mix kabisa na vubuyu vya asaliKwamba wewe bado haujatega mizinga?
Mweeeeh[emoji5]Ukiachwa achikq ndio
Usipofanya hivyo utateseka sana
Utaona kila aliye karibu na X wako anakungβongβa [emoji23][emoji23][emoji23]
Ndiyo hivyo[emoji16]Mi nafanyaga jokes kumbe wahuni wanamega mix kabisa na vubuyu vya asali
Hivyo eeeehNa mmejaaliwa