Ushawahi kupata mwenza humu JamiiForums?

Ukiachwa achikq ndio
Usipofanya hivyo utateseka sana
Utaona kila aliye karibu na X wako anakung’ong’a [emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa kwaann nawee uwe karibu na X wa mtuuu?? Mie mtu akiwa karibu na X wangu namrogaaaa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ushindweeeeeee na ulegeeeeee.

Nakupeleka kwa mwamposaaa.
 
Na wana ishia kusema "hakuna kitu palee maji mara 1" afu huku jukwaani wanakupa hype kukujazaa, JF sihamiiiiiii

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] lakini ni dhambi wanafanya
 
Kuna mmoja alimtoa mtu Mwanza akaja akampa elfu saba sijui na ngapi hivi, ili trend sana hapa JF
Kumbe ni mtoa uzi ndo alifanya yale mambo? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sasa kwaann nawee uwe karibu na X wa mtuuu?? Mie mtu akiwa karibu na X wangu namrogaaaa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Akishamua ex si wako tena watu wanakaa nae tu karibu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan anawapangaa tyuuh na wanapangikaaaa kweli. Hana bayaaa kaka wa watu.

Uwiiiiiih lol
Anajituma kwa kweli si haba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…