Nije pm hiyo miaka miwili iwe leo leo, ili tuje kumjibu mleta mada...Nisubirie baada ya miaka miwili jirani
Vuta hata bangi basiLahaula nimekukosaa 😭
Pm kumefungwa jirani, huwezi kuingia kwa saiviNije pm hiyo miaka miwili iwe leo leo, ili tuje kumjibu mleta mada...
Nikivuta bangi utaniweka mtimani?Vuta hata bangi basi
Jirani, tupatane ili tu prove mada ya mleta mada kwamba inawezekana...Pm kumefungwa jirani, huwezi kuingia kwa saivi
Me naogopa jirani, naskia huku matapeli wa mapenzi wamejaaJirani, tupatane ili tu prove mada ya mleta mada kwamba inawezekana...
😂😂😂 sikuweziUsiskilize maneno ya watu nia yao kutuchonganisha tu
Acha wivu, warembo huwa hawana wivu.Umetuunganisha balaa😂
Hizo gia za kujimilikishaWeee ni mwehuu!!
Mimi nipo tayari kutapeliwa kimapenzi, fungua pm..Me naogopa jirani, naskia huku matapeli wa mapenzi wamejaa
😂sawa😷Acha wivu, warembo huwa hawana wivu.
Na nikikutapeli tusilaumiane...Mimi nipo tayari kutapeliwa kimapenzi, fungua pm..
Jirani sijawahi kuumizwa kimapenzi, embu fanya kunitapeli na unipige tukio mpaka nijute...Na nikikutapeli tusilaumiane...
Unachokitafuta utakipata jirani, stay tuned....Jirani sijawahi kuumizwa kimapenzi, embu fanya kunitapeli na unipige tukio mpaka nijute...
Lawana nitamuachia Muumba...
Bring it on and see you later...Unachokitafuta utakipata jirani, stay tuned....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanabadilishana tyuuuh.We shangaa utachekwa[emoji3],wenzio wanamiliki makontena humu[emoji16]
Kwani PM kazi yake nini??
We zubaa tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na anawachangqnyaa kweli kweli.Kama yule mmoja anavyowachanganya hana habari yani.
Toa ushuhudaaa shougaaa mbogaaa akee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Weee ni mwehuu!!