Ushawahi kupigwa ban na WhatsApp bila sababu ya msingi?

Marco Seth

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2022
Posts
5,373
Reaction score
6,904
Hii December nimepigwa ban mara sita
Nimetumia number mpya hiyo hiyo ikapigwa ban
Nimeadd member kwenye group nikapigwa ban


Nimetuma text kwa chatgpt nikapigwa ban
Kurud hiv vitu vikawa vinarecover
Kutuma text kidogo ti ban

Ban ban
Christmas ban


Je wewe hii hali ishawahi kukutokea?
Ni wakati gani?
 
Bila shaka ni oppo A83 au A57
 
Simu anayotumia ndo tatizo
Wakati mwingine, hawana sababu ya maana. Mimi, nilikuwa natumia line mbili, kwa handset mbili tofauti. Line yangu ya Yas, nikaambiwa eti natumia Whatsapp isiyo rasmi, wakati sio kweli . Wakanipa link ya whatsapp official. Nika download. Wakati naendelea kujisajili, ikagoma na kuambiwa nitumie whatsapp rasmi. Nikabadili handset, majibu yakawa hivyo hivyo. Nikaamua kuachana na kutaka kuwa na line mbili za Whatsapp!
 
Unatumia simu gani?
 
Hivyo hivyo wanasema
Your using unofficial Whatsapp
 
Ilitokea December last year
Nilivyoweka line ingn ya voda
Hiyo shida ikatokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…