Marco Seth
JF-Expert Member
- Oct 21, 2022
- 5,373
- 6,904
- Thread starter
- #21
7🥲Shida sio iphone shida ni iphone ngapi?
Kama ni iphone zile 6, 7 lazima wakulime ban😂😂
Maana zile mikataba na Whatsapp iliisha
7🥲Shida sio iphone shida ni iphone ngapi?
Kama ni iphone zile 6, 7 lazima wakulime ban😂😂
Maana zile mikataba na Whatsapp iliisha
Hahahah aiseew😂😂Mm ni Admin wa World of Socialization
Nime add member nikapigwa ban
Na hii sio mara ya 1
😅😅Hahahah aiseew😂😂
Hiso mikataba na Whatsapp ilishaisha na ndo maana wanaban7🥲
Nitadeal na huyo aliyenisakizia ni add member kumbe na yeye alipigwa banHahahah aiseew😂😂
Ndio maanaHiso mikataba na Whatsapp ilishaisha na ndo maana wanaban
Yaani hizo apple walitanagaza kuanzia mwaka huu wanaondoa access ya WhatsappNitadeal na huyo aliyenisakizia ni add member kumbe na yeye alipigwa ban
Analeta msala kwa admin
Lakini pia kama zamani line yako ilikuwa inapigwa ban kwenye oppo halafu ukaja kuweka humo pia italimwaNdio maana
Kuna kipindi niliupdate ios bila ivyo isingefunguka
SawaHapo mkuu jitahidi kidogo urudi android TU
AiseeLakini pia kama zamani line yako ilikuwa inapigwa ban kwenye oppo halafu ukaja kuweka humo pia italimwa
Maana wana ai zinakariri namba so ikijirudia sana wanakulima ban
Mbona kinyonge au upgrade toleo kidogoSawa
Shida ni mikataba ya Whatsapp na version anayotumia ishakatwa so haitasolvewasiliana nao kupitia email
[email protected] ili ufahamu sababu ya bann
ni kweliMbona kinyonge au upgrade toleo kidogo
Asante
AiseeHivi hii kitu ni mimi tu, sijawahi ku-post kitu chochote WhatsApp...
Asante