UhaiWakuu
kumekuwepo na mijadala mingi humu ya mivutano baina ya wanaokubali uwepo wa Mungu na wasioamini uwepo huo
Mungu mala zote ni mtenda miujiza,na amekuwa akifanya hivyo mala zote kwa waja wake, amekuwa akiponya magonjwa yaliyoshindikana,vipofu wanaona,viziwi wanasikia,viwete,bubu,wasio na kazi, watoto, mume,mke nk wote wamekuwa wakiuona mkono wa BWANA/ALLAH.
Tuambie mkuu, ulipokea muujiza gani kutoka kwa Mungu ukaamini uwepo wake?
KARIBUNI.
Au huku Mungu kaua hawa watoto labda kuna kitu amekasirika mkuu🤔Mungu gani mtoa miujiza ameshindwa na anashindwa kuwasaidia maelfu ya watoto na wanawake waliokufa na wanaokufa kwa njaa, vita, magonjwa, umaskini na majanga mbalimbali ya asili..!!!
Maelfu ya watoto na wanawake wamekufa sana hapa duniani, Na huyo Mungu mnayedai ni mtenda miujiza hajafanya chochote wala kusaidia lolote...👇View attachment 3259456View attachment 3259458
Huyo Mungu kama yupo hana msaada wowote wala muujiza wowote.
Huyo Mungu hafai kabisa anastahili kufurushwa huko alipo.
View attachment 3259455
Tunauana wenyewe kwa wenyewe kisha tunaomba miujiza...Au huku Mungu kaua hawa watoto labda kuna kitu amekasirika mkuu🤔
Kwa hiyo mkuu kuna namna Mungu mkamilifu kaumba vitu visivyo vikamilifu ?Tunauana wenyewe kwa wenyewe kisha tunaomba miujiza...
Haya maswali ni magumu sana kama mtu ataamua kuyajibu inavyostahili.Kwa hiyo mkuu kuna namna Mungu mkamilifu kaumba vitu visivyo vikamilifu ?