Ushawahi Kupokea muujiza gani ukaamini kuwa Mungu yupo?

kuna mdogo wangu sasahivi ni marehemu tukiwa watoto miaka ya 98 alijiwekea tunda la ubuyu puani,tulihangaika sana kulitoa ndipo na utoto wangu nikaanza kuomba ghafla yule mdogo wangu akapiga chafya lile tunda la ubuyu likatoka.tangu siku ile mdogo wangu alimuamini sana Mungu ila badae alifaliki kwa kansa huku akisisiza kaka niombee tena r.i.p mdogo wangu alifaliki akiwa 20ys
 
Mungu yupo, na nimekwisha Toa ushuhuda humu kitambo Kwa topic Kama hizi.
Usipinge Ndugu yangu halafu ukapatwa na muujiza wa ajabu.
leta link au ushahidi wa huo ushuhuda wako vinginevyo kile ulichokiandika hapa ni takataka.
 
Pekua nyuzi zangu humu- ataona hizo shuhuda. Kuna kitufe kinachoitwa search humu, kibonyeze, utaziona
 
uliamini vipi kama ni Mungu katenda pasipo ushahidi? kwanza huyo Mungu hayupo.
Kuna watu humu duniani hawana roho, na hao unaweza kuwatambua kwa matendo yao. Au Hujawahi kuona mtu anafanya mambo ya ajabu kabisa pasipo hofu yoyote? Either kwa kuhatarisha maisha yake au ya wenginene!

Unakuta ni matendo ya ovyo na mabaya kupita kiasi , ila yeye anaona kawaida tu. Ndo watu walio zaliwa kama wanyama.

Hawana roho,Watu hawa wakipata elimu kidogo huwa ni watu wa kujivuna, wajuaji, wana dharau ,wenye kujiona wao ni bora zaidi ya watu wengine, Hawamtambui Mungu wala hawamjui. A

Kwa hiyo wewe usiye amini katika uwepo wa Mungu amini katika unacho kiamini , sisi tuaminio tutazidi kukukera kwa kuamini kwetu kuwa Mungu yupo leo, na kesho
 
thibitisha uwepo wake acha kuleta janjajanja.
 
uliamini vipi kama ni Mungu katenda pasipo ushahidi? kwanza huyo Mungu hayupo.
Sawa, Kila mtu na imani yake, Ila Siku yakikukuta, ndipo utajua kama yupo au hayupo. Kuna mtu ndani alikuwa kutoa mrejesho - na yeye alikuwa Kama wewe. Ngoja nimtafute aje atoe ushuhuda.
 
uliamini vipi kama ni Mungu katenda pasipo ushahidi? kwanza huyo Mungu hayupo.
Kuna mambo huwa yanatendeka Kwa sala tu nguvu zisizoonekana.
Mungu ni imani yako na ndiyo itakayo kuponya.
 
Back
Top Bottom