KING ASSENGA
JF-Expert Member
- Oct 8, 2016
- 928
- 1,478
Shetani anavuta wenye ushetani yaani huwezi kutafutwa bila sababu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3]daahJifanye shoga zaidi yake, hatokufuata tena
Nimekuvua nguo chutamaSinza yamejaa kibao kuna moja lilinitokea nlilitukana kinoma sema nchi hairuhusu tu kuua tofaut na hvy nngeua mashoga kama wanne hv mpk Sasa.
Kuna siku olevl tumechelewa parade tukaenda kujificha kitaan likaja ilo shoga nalo linataka kujificha asee tulilitimua kama Mbwa.
Kuna siku shoga jingine olevl liliwah namba asbh frsh akaja mwalm wa zam akasema wasio na namba wapite mbele tukalisingizia hlo lishoga kuwa halijawah namba ila lilikuwa limewah kwakuw hatulipend tukalisingizia lilipigwa kama Mbwa mwlm mwnyw nahc alkuw alipend alilipiga kama mwizi.
Kunywa Pepsi nalipaMie sijatetea ila nimesema ukweli ambao jamii haitaki kusikia,
Kuhusu suala la ushoga anayejua ni muhusika mwenyewe, wee usie husika deal na mambo yako binafsi,
Nashangaa sana ushoga ni jambo linalopingwa kwa nguvu zote, ila ni jambo linalokua na kuenea kwa kasi zaidi. Sasa pingamizi halifanyi kazi ipasavyo au ndo ngonjera za maneno tu na sio vitendo?
Mtu kufanya mapenzi kinyume na maumbile ni matakwa yake binafsi na anatumia viungo vya mwili wake ambaye ndiye mwenye dhamana hiyo, wala hamuazimi mtu, na jambo hilo linafanywa faragha sasa kero za watu wasiohusika zinatoka wapi?
Kwa mantiki hiyo ushoga ni suala pana na mtambuka ambalo linapaswa kujadiliwa kwa kina na ufasaha sio kwa muhemko, vinginevyo ni upotevu wa muda tu.
Sorry kwa maelezo haya.
Nshawahi kwa mangi mpwaa, [emoji23][emoji23][emoji23]Kunywa Pepsi nalipa
Mimi nilikuwa nilikuwaa nachat na mskaji ,chalii tu white aliniomva urafiki fb ,nikaingia kwenye page yake nikaona anapiga picha na mastaa ,yuko na kina lina kwenye swiming sikutilia shaka ,tukapiga stori fb akaniambia yuko mwaka wa mwisho chuo na anakaa kinondoni ,nikamwambia ok basi akaomba namba ya cm nikampa ,sasa tumeendelea watsap siku moja akaniambia bro nataka kukufahamu zaidi naomba kujua unapoishi nikamwambia usiwe na shida mdogo wangu ntakuelekeza ,basi tukapotezana siku moja akanitext dear vip ,za siku nyingi??,nikamjibu poa kishingo upande nikajifariji hii dear maana yake atakuwa amemaanisha mpendwa,maana mwanaume kukuita dear inaleta ukakasi,nikachukulia poa ,ameendelea nilipokuja kushtuka alipoanza kuniita MY wee nikamwambia nini maana ya my na wewe ni mwanaume mwenzangu akaniambia hamna shida nimeona hamna ubaya asee alikula block afu baada ya siku mbili naona wamemtoa kwenye gazeti dogo kaharibu ndoa y mbunge asee..dahNipo zangu facebook juzi kwanza nikaona messeji inbox inaanza na "hi" kucheki nikaijibu baada ya muda huyo mtu akatuma friend request nikaona ni rafiki tu kama marafiki wengine nimechat nae anaanza kuniita " my" nikamuuliza we chalii una maana gani akasema oooh hakuna shida.
Nikahisi huyu ni choko nikalipotezea kumbe aliona nilipost kule facebook business groups issue za kuweka matangazo ya biashara nikashangaa watssap messeji zinaingia balaa na mapicha ametuma picha kama saba hivi akiwa uchi nyingine akiwa na mapozi ya ajabu ajabu nilimtukana hakuelewa nilichokifanya nikaenda kuchek facebook profile picture yake nikaona comment ya mtu niliyehisi ni dada yake kumbe ni dada yake kweli nilichokifanya ni kumtumia dadake picha zote na messeji za huyo chaliii ni nikamwambia amuonye huyo choko la sivyo nitamvunja shingo.
Cha ajabu wakuu yule dada amejibu mchana huu eti anasema anashangaa na ameshtuka kwani alikua hajui kuwa mdogo wake ni punga
Nifanyeje hawa viumbe waache kunifata inbox cha ajabu sina ukaribu na mapunga nasema hivi kwasababu huu mwaka ni mara ya pili nikitongozwa na punga mwanzo aliyekuja ilibidi nimtishe kabisa kuwa nitampeleka polisi ndo akaacha.
Hii ni balaa tupu kama mnakumbuka uzi wangu ilivyotokea arusha basi mtaelewa. Be careful mnaotumia hususan facebook ni majanga matupu halafu huyo chalii ukimuona ni kijana mwenye heshima zake na maisha mazuri kimuonekano unaweza usidhani ni choko. Hawa viumbe wanazidi kwa kasi ya ajabu sana....wakuu hii ndo imenitokea kutongozwa na choko.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]wahuni bhnSinza yamejaa kibao kuna moja lilinitokea nlilitukana kinoma sema nchi hairuhusu tu kuua tofaut na hvy nngeua mashoga kama wanne hv mpk Sasa.
Kuna siku olevl tumechelewa parade tukaenda kujificha kitaan likaja ilo shoga nalo linataka kujificha asee tulilitimua kama Mbwa.
Kuna siku shoga jingine olevl liliwah namba asbh frsh akaja mwalm wa zam akasema wasio na namba wapite mbele tukalisingizia hlo lishoga kuwa halijawah namba ila lilikuwa limewah kwakuw hatulipend tukalisingizia lilipigwa kama Mbwa mwlm mwnyw nahc alkuw alipend alilipiga kama mwizi.
Hahaaaaa hakuna mwanaume anayeweza kupretend hivyo mkuu.Jifanye shoga zaidi yake, hatokufuata tena
Mkuu we ni upinde kumbe? duhKwani hao mashoga wanazaliwa kwa mama tyuuh? Yaan hawana baba zao?
😬😬Hebu nipe namba zake nimsalimie