Ushawahi kutongozwa na Shoga? Yamenikuta leo wakuu

Ushawahi kutongozwa na Shoga? Yamenikuta leo wakuu

Nakuona [emoji849] nakuona umeweka kambi hapa!! [emoji16][emoji16][emoji16] Niseme nini sasa!! Sina la kusema.
Wee sema lolote bhana, mbna amani tyuuh, mie napiga pale pale panapouma, na huwa sipindishi kitu nachana makavu kweupeeh.

Wabaki wao kuhaha, kufoka na kutukana, huku dose inawaingia vilivyo, sitakagi unafiki mie.
 
Sikuungi mkono kwa hili hata kidogo yaan ww umruhusu mwanao wa kiume aliwe tigo kweli asee katubu hakuna dini inaruhusu
Kwani unadhani kila binadamu ana amini ktk hizo dini unazo zisema? Poleeeeeeh
 
Kuna sehemu nimesema kuhusu hilo? Wee Km unataka kuuingia huko, ingia tyuuh hakna anaekukataza, sio kuanza kuleta attacks zako hapa.
Mkuu mbona sijakuattack.

Sorry if you feel offended,good day.
 
Mkuu mbona sijakuattack.

Sorry if you feel offended,good day.
Hujani attack au huoni ulichouliza? Sija feel chchte ndo maan nkakijibu tena kiustaarabu na kukupaa muongozo juu. Labda km umewaza tofauti. Relaaaaaax.
 
Then hauna hata moja ujualo kuhusu uzazi. Wewe ni sperm donor (kama ni mwanaume) au incubator (kama ni mwanamke).

Kwa kifupi hauna uhalali wa kuwa mzazi wa mtoto yoyote yule sababu your moral compass has been damaged. Hauna hata aibu wala soni ya kimaadili .

Kwahiyo wewe unaunga mkono ushoga, wazazi wako wangekuwa homosexuals wewe leo ungepatikanaje?!
Huyo ni Shoga lazima autetee kwa nguvu zote. Au nasema uongo ndugu yangu cocastic
 
Mie sijatetea ila nimesema ukweli ambao jamii haitaki kusikia,
Kuhusu suala la ushoga anayejua ni muhusika mwenyewe, wee usie husika deal na mambo yako binafsi,

Nashangaa sana ushoga ni jambo linalopingwa kwa nguvu zote, ila ni jambo linalokua na kuenea kwa kasi zaidi. Sasa pingamizi halifanyi kazi ipasavyo au ndo ngonjera za maneno tu na sio vitendo?

Mtu kufanya mapenzi kinyume na maumbile ni matakwa yake binafsi na anatumia viungo vya mwili wake ambaye ndiye mwenye dhamana hiyo, wala hamuazimi mtu, na jambo hilo linafanywa faragha sasa kero za watu wasiohusika zinatoka wapi?

Kwa mantiki hiyo ushoga ni suala pana na mtambuka ambalo linapaswa kujadiliwa kwa kina na ufasaha sio kwa muhemko, vinginevyo ni upotevu wa muda tu.

Sorry kwa maelezo haya.
Unakuta mwanaume anapenda kumfanya mpenz wake kinyume na maumbile,

Afu akikaa pembeni nae anawashangaa mashoga wanaofanyana kinyume na maumbile[emoji18]
 
Kwahiyo unataka kuniambia Ushoga haupo? Au kila anayeeleza ukweli kuhusu ushoga bas nae ni muhusika?

Ndio maan nchi yetu viongozi huwa wanajikanyaga kwenye misimamo kuhusu jambo hili km taifa, 7bu wanajifanya ushoga haupo kimtazamo ila kiuhalisia upo tena sana,

Mwshoe wanaishia kuomba msamaha jamii na kimataifa, ngumu kumeza na hakna namna, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watanzania Ni wa AJABU Sana[emoji116][emoji26]
JamiiForums72689970.jpg
 
Sinza yamejaa kibao kuna moja lilinitokea nlilitukana kinoma sema nchi hairuhusu tu kuua tofaut na hvy nngeua mashoga kama wanne hv mpk Sasa.

Kuna siku olevl tumechelewa parade tukaenda kujificha kitaan likaja ilo shoga nalo linataka kujificha asee tulilitimua kama Mbwa.

Kuna siku shoga jingine olevl liliwah namba asbh frsh akaja mwalm wa zam akasema wasio na namba wapite mbele tukalisingizia hlo lishoga kuwa halijawah namba ila lilikuwa limewah kwakuw hatulipend tukalisingizia lilipigwa kama Mbwa mwlm mwnyw nahc alkuw alipend alilipiga kama mwizi.
 
Mtu kufanya mapenzi kinyume na maumbile ni matakwa yake binafsi na anatumia viungo vya mwili wake ambaye ndiye mwenye dhamana hiyo, wala hamuazimi mtu, na jambo hilo linafanywa faragha sasa kero za watu wasiohusika zinatoka wapi? [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827]
Kero ni Kuwa ipo kinyume Na maadili yetu,maandiko yetu ..kinyume Na Sheria zetu
Wanaharibu mpaka kizazi kijacho Hawa mabazazi.
Au Kwa mfano mkuu mtu akianza kufanya mapenzi Na Wanyama nyie mtamchukuliaje?mtamuacha kisa Ni viungo vyake?

Sometimes huwa najiuliza Hivi hawa akina Cookie Boqin Active Maxence Melo huyu mtu wamuachaje humu?
Hawajui Sheria Za hii nchi? Wanafunga jukwaa la wakubwa,kubeti Na la Dini halafu huyu mtu wanamuachia...hawajui Mimi Ni Nani? Nawapa masaa 72 warekebishe kabla sijaidondosha Jf
 
Men of nowadays sijui wamepatwa na nini. Mbona wanatamani sana kuwa wanawake?
Kuku wa siku 6 na mayai yao.
Kijana wa kiume lkn wezele wezele.
Acheni wazungu watuchezee.
We lisha wanao hiyo makitu.
 
Mtu kufanya mapenzi kinyume na maumbile ni matakwa yake binafsi na anatumia viungo vya mwili wake ambaye ndiye mwenye dhamana hiyo, wala hamuazimi mtu, na jambo hilo linafanywa faragha sasa kero za watu wasiohusika zinatoka wapi? [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827]

Aiseee mashoga mko wengi sana humu.
 
Ushoga ni swala kubwa sana bahati mbaya waTZ wengi hawalioni kwa ukubwa huo ndio maana wachache wanao elewa wanaonekana nao kama mashoga wakati wakijaribu kuelezea hali halisi
 
Ushoga ni swala kubwa sana bahati mbaya waTZ wengi hawalioni kwa ukubwa huo ndio maana wachache wanao elewa wanaonekana nao kama mashoga wakati wakijaribu kuelezea hali halisi
.
 
Sinza yamejaa kibao kuna moja lilinitokea nlilitukana kinoma sema nchi hairuhusu tu kuua tofaut na hvy nngeua mashoga kama wanne hv mpk Sasa.

Kuna siku olevl tumechelewa parade tukaenda kujificha kitaan likaja ilo shoga nalo linataka kujificha asee tulilitimua kama Mbwa.

Kuna siku shoga jingine olevl liliwah namba asbh frsh akaja mwalm wa zam akasema wasio na namba wapite mbele tukalisingizia hlo lishoga kuwa halijawah namba ila lilikuwa limewah kwakuw hatulipend tukalisingizia lilipigwa kama Mbwa mwlm mwnyw nahc alkuw alipend alilipiga kama mwizi.
Nyie watu mna dhambiii sanaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah
 
Ninyi nanyi mmezidisha maringo. Tukiwatokea mnataka thick wallet. Sasa huku tunatongozwa tukamkune mtu na mahela juu. Kina dada badilikeni haraka au soko lenu litachukuliwa na haya makitu hovyo. Wadhani nikija kwako nataka mtoto au kupunguza stress tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Miaka kama mitatu imepita niliona dem mzuuuri badoo nikamuibukia inbox na tukaelewana fresh kabisa. Siku ya kukutana akaniuliza NIKIJA WAHUDUMU WA LODGE HAWATAMIND? dadeq nikaingiwa na mashaka. Nikamuuliza ni nini unauliza/unamashaka nacho mbona sijakusoma!? Bila aibu akajibu ULIJUA MIMI DEM AU!? wakati nachat nae badoo hadi watsap swaga kama dem plus profile yake ni picha ya dem, Aisee ile siku nilihisi kumekua giza ghafla mana nilikasirika hadi macho yakawa hayaoni vizuri.

NB. Haya mapimbi yapo mkuu tena wengi sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] makubwaaaa
 
Siku iyo niko mitaa fulan kwene mishe,,, kusaka tonge ghafla kwene gari nakutana na jamaa tulifanya kazi sehemu moja ananiita boss, kuchek nkamkumbuka. kwasababu kazin hatukua na ukaribu hata mawasiliano yake sikua nayo akaomba namba nikampa. Kwa kushuka nikamlipia nauli kama ujuavyo ukiwa kama ulikua kaboss bas wa chini yako unahisi kama wajibu kuclear vitu vidogo…

Sasa usiku naona vitext vya salam najibu nachukulia poa. Heee siku ya kwanza ya pili mala kulazimisha maongeziii na wakat maada ya maana hamna….aisee kujibebisha kukawa kwingi sasa kwa heshima ili nisije mtukana nikaacha kureply na kumblock.

Bado hajaachaga kutuma text za kawaida hata kama hazijibiwi[emoji3][emoji3]Nadhan alivoniangalia aliona nafanana na wala kisamvu[emoji848]
 
Back
Top Bottom