Hii inshu ni more than serious sana, kuna rafiki yangu mmoja wa kike ambaye pia ni ndugu nilisoma naye O-level, chuoni pia tukaingia pamoja ila vitivo tofauti zaidi ya miaka 10 sasa, alikuwa kwenye mahusiano na jamaa tangu akiwa Advance mpk wakaoana na kupata mtoto mmoja pia kwa sasa ni mjamzito, kilichomkuta yasikie tu kwa jirani...
Jamaa yake huyu ambaye kifedha naweza sema wamebarikiwa mnoo kila kitu kipo na magari ya maana tu ila kumbe mtu anapigwa pumbu. Mke aligundua baada ya kukuta txts za ajabu ikabidi aifuatilie ile no mpk akampata jamaa anayemgonga mume wake,
Ninavyoandika hapa demu karudi kwao jamaa anatishia kujiua ikabidi tuitwe kwenda kuokoa jahazi na jamaa kakiri ni kweli amekuwa akigongwa ila asamehewe anaomba tu mke wake arudi nyumbani. Ilibidi tu niondoke bila kutia neno akijiua juu yake, Pumbaafu. Ukikutana naye ni bonge la handsome na mapafyum 24hrs.