Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Mkuu, hilo ni swala zito sana lazima tujue hatima yake. Anyway, jana usiku nilikuwa Bar fulani napiga vyombo, mbele yangu kuna jamaa fulani jeupe lina ma tatoo na limevaa vesti na pensi fupi mno lilikuwa na demu wake, at first nilidhani jamaa ni lidume kama sisi bana[emoji23][emoji23][emoji23]unavyopenda umbea mkuu
Baada ya muda kwenda jamaa likaanza kutingisha matako na kurembua huku linarusha mikono kama demu huku yule demu bado lipo nae, in short jamaa ukiliangalia huwezi kudhani ni bwabwa. Hiyo stori ya hao wanandoa imenikumbusha hilo jamaa la jana usiku