Ushawahi kutongozwa na Shoga? Yamenikuta leo wakuu

Shetani anavuta wenye ushetani yaani huwezi kutafutwa bila sababu
 
Nimekuvua nguo chutama
 
Kunywa Pepsi nalipa
 
Mimi nilikuwa nilikuwaa nachat na mskaji ,chalii tu white aliniomva urafiki fb ,nikaingia kwenye page yake nikaona anapiga picha na mastaa ,yuko na kina lina kwenye swiming sikutilia shaka ,tukapiga stori fb akaniambia yuko mwaka wa mwisho chuo na anakaa kinondoni ,nikamwambia ok basi akaomba namba ya cm nikampa ,sasa tumeendelea watsap siku moja akaniambia bro nataka kukufahamu zaidi naomba kujua unapoishi nikamwambia usiwe na shida mdogo wangu ntakuelekeza ,basi tukapotezana siku moja akanitext dear vip ,za siku nyingi??,nikamjibu poa kishingo upande nikajifariji hii dear maana yake atakuwa amemaanisha mpendwa,maana mwanaume kukuita dear inaleta ukakasi,nikachukulia poa ,ameendelea nilipokuja kushtuka alipoanza kuniita MY wee nikamwambia nini maana ya my na wewe ni mwanaume mwenzangu akaniambia hamna shida nimeona hamna ubaya asee alikula block afu baada ya siku mbili naona wamemtoa kwenye gazeti dogo kaharibu ndoa y mbunge asee..dah
 
Daa Ina maana mashoga ni wengi sana SS ivi
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]wahuni bhn
 
Mimi sijawahi kutana na punga ila kuna kipindi niko chuo nakaa Hostel fulani za mtu binafsi karibu na Mabibo Hostel tulikuwa tunakaa na jamaa mmoja hapo hostel jina F*** Huyo jamaa alikuwa anafundisha chuo fulani kule mataa barabara ya nyerere ila alikuja kusoma Masters pale UD,

Huyu jamaa uongeaji wake,uvaaji wake,utembeaji wake unaashiria jambo.Tulikuwa hatumtengi,anaweza akukuambia mtoke akakupa ofa mkala na kunywa sana tu,kwa kifupi alikuwa vizuri hata ukiingia room kwake pale hostel utabaini ni mtu ambaye yuko vizuri kiuchumi.

Siku moja huyu jamaa walitoka na mshikaji mmoja G** aliyekuwa anasoma chuo pale karibu na DIT naye alikuwa ni mkazi wa hiyo hostel yetu,wameenda huko wamekula sana bata na huyo F*** ambaye ndio alikuwa mdhamini,sasa waliporudi Hostel usiku wako njwiii yule jamaa F*** akamkaribisha G** room kwake alale,G** akaona mbona powa tu asubuhi akiamka ataenda room kwake,kwenye ile hostel vyumba vyote vitanda ni deka,hivyo G** alipofika mle chumbani alitaka kulala kitanda cha juu ila F*** akamwambia alale tu cha kitanda cha chini ambako ndiko anakolala yeye,G** akaona poa tu kwa kuwa yeye analala hapo chini basi mwenye chumba atalala kitanda cha juu.

Jamaa G** alipokuwa hapo kitandani akamuona F*** anavua suruari na shati akabaki na chupi kisha akaja kulala alipolala yeye G** hivyo akaanza kupata wasiwasi labda jamaa anataka kumbandua akawaza jamaa akimgusa tu ngumi zitaanza lakini cha kushangaza jamaa alipopanda kitandani hakufanya chochote wakawa wamelala tu,ila sasa cha kushanganza wakati wamelala G** akaona jamaa anajisogeza kwake anamletea zigo mpaka likamgusa kwenye mashine halafu mwenye zigo akaanza kama kukata mauno.Naam hayo ndio yaliyojiri na stori yangu inaishia hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…