Ushawahi Kuwa In Love Lakini Ukashindwa Kusema?

Nawashukuru sana TAMISEMI inazidi kutenganisha watu kabla ya kifo wengine tunapata wapenzi wapya katika maeneo yetu yaliyosahaulika
Heh kijana please usi date vitoto tafuta single mother mmoja ufaidi mema ya nchii
 
Ndio,mimi nilikuwa nampenda sana mke wa kaka yangu mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…